Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

Sio kwa ubaya ila kwa mshahara wako sidhani kama unapaswa kubaki na hiyo, balance ni muhimu matumizi kuendana na kipato

Kwa jinsi unavyotumia ina maana kufanya manunuzi madogo ya mkupuo utakomba vijisenti vyote vya benki

Nakushauri kama ceiling yako ni 450k kwa mwezi, upo vyema ila jitahidi upunguze ili walau asilimia 35 mpaka 40 ya mshahara ibaki baada ya purukushani zote za mwezi

Kutegemea na mishe zako unaweza kupunguza kwenye bando, na extra kama hizo juisi za buku kila siku na mwisho wa siku kila senti ina hesabu yake, unaweza kuona hizo ndogo unazopunguza ni vijisenti

ila baada ya muda zinatosha hata kufanya vitu vidogo
 
Huu mwezi nitaanza kupika nione kama nitaweza kubalance laki 2 kwa mwezi.
 
Utakuwa ulikuwa unaishi mbagala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…