Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Ninachojiuliza utumbo utoke nje na jamaa hajalowa damu hata chembe inawezekanaje hii?
 
Ubinadamu upo. Ubinadamu ni uovu. Ukikutana na mtu ambaye si muovu ni bahati tu. Hayo aliyofanya huyu jamaa wa Afrika Kusini ndiyo mambo ya kibinadamu.

Wanyama hawauwi ovyo. Na Simba hauwi simba.
Una uhakika Simba hauwi Simba? Umesahau kesi ya yule Simba Mzee( jina nimelisahau) kule Serengeti alivyouliwa na wenzake?
 

NAKUSHAURI UDELETE HIZO PICHA!!!
JAPO SIKULAUMU KWA KUWA UMEZIWEKA BILA KUJUA NI PICHA ZIPI HAZIENDI PUBLIC, HASA ZENYE KUGUSA HISIA ZA WATU....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…