Ushahidi mbona upo IKULUKwahiyo ushahidi wa hayo unayosema upo wapi mkuu. Najua ni makisio yako na makadirio yako tu haya. Huma ushahidi na unachuki na uislamu (simtetei Rais) lakini ukiangalia tu wewe una shida na chuki binafsi na uislamu.
Okay ulitaka awe anauwa waislamu ili useme Hana udini si ndy?.
Umeshawahi kuingia ikulu wewe? Ina mageti mangapi na madirisha mangapi?. Vitasa vyake vya milango vipoje?. Sio wewe hata huyo mtu wa karibu aliewahi kufika ikulu huna. kazi yako ni kuropoka.Ushahidi mbona upo IKULU
Sawa,kote wamekufa vipindi vya uchaguzi,kule bara na huku visiwani, sasa ufumbuzi ni nini ili watu wasife tena?Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Sikuwahi hata siku moja kuona "alipo upiga mwingi", Samia, na sijawahi hata siku moja kuwa na mawazo ya namna hiyo juu ya huyu mwanamnke mwovu kabisa.Upo sahihi lkn unakumbuka kipindi hadi tukaanza kusema mama anaupiga mwingi, labda kama alikuwa ameficha makucha.
Huna adabu mtoto wa nje ya ndoa wwe?Wee mzee punguza ujinga
Wajinga na wapuuzi ni haki wapotezwe,hata Mungu aliangamiza wajinga na wapuuzi.Kwa hiyo unafurahia kabisa mtu kupotezwa???
Never turn back.Awamu hii hatushindwi.Nguvu ya umma lazima ishinde maana ni nguvu ya Mungu.Shetani lazima tumshinde.