Wahuni wapo kila mahali, hadi kwenye nyumba za ibada Wahuni hawakosekani, usijali muda utawaibuwa huko waliko!!The gang …carying machine gun, Hand cuffs and driving Land cruiser car [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! How can you tell people they are not Police
Lile tukio la yule Hamza aliyeua askari, askari wapo hapa na hapa wanamkosa risasi, tena wapo wengi.Wewe walishakuonyesha huo weledi mpaka uwasifie? Hebu tuambia mfano mmoja wa kitu walichokifanya kwa weledi tangu awamu ya 5
Hakika.Samia nchi imemshinda!
"To tell the Tale"TWISHI ufanya mauaji kwa namna Tofauti
Wanaweza wakakuacha “u survive to tell the tail” uku ukiwa kilema ili watu wengine waogopa maana utasimulia
Wanaweza wakakuua Kama ally kibao ili waliozunguka waogope
Au wanaweza wakakupoteza mazima kaka impact ya kifo chako itachafua upepo wa mob , yaan watu kuingia mtaani hapo wanakupoteza hili hata kimataifa ushahidi ukosekane, au ukapewa sumu utajiishia taratibu,
Mbali zaidi wakazima betri ya kifuani kwa manufaa mapana ya nchi baadae
Britanicca
Genge la Wahuni! Wahuni hao wakaruhusiwa kuchukua gari mbili na silaha!Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Kulikuwa Na Traffic kwenye basi Vipi na yeye hakuzuiaNina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Hili lilikuwa ni tukio baya kutoka kinywani mwa Kiongozi awaye yoteTukiwapoteza polisi musiwatafute makofi kwa CCM.
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Chawa la chura kiziwi!Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Mauaji ya namna hii lengo lake ni kuwatia hofu wakosoaji.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Ana sura ya kikatiliCan't agree with you more, na genge Hilo ni ccm, rejea hii video, ya Dc
Mauaji hayo ya Marehemu Ally na assassination attempt ya tundu lisu ipi imekuwa kwa weledi??Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Lets say its true,Marehemu Ally alikuwa Mkosoaji wa nini??Mauaji ya namna hii lengo lake ni kuwatia hofu wakosoaji.
Waliomteka sativa walipatikana?Penda usipende, suala hili linawachafua nyote.
Usalama wenu muwapate hao wahuni ili umma ufahamu kuwa waliotenda haya mauaji siyo TISS au Polisi.
Sativa, mlay, mbwana kombo ni wakosoaji wa nini?Lets say its true,Marehemu Ally alikuwa Mkosoaji wa nini??
Mbona hatujawahi hata kumskia na wengine mfano mimi nimemskia kwenye Tukio hili la kutekwa na kuuwawa??
MkuuNina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Sasa swali hilo unakosea kunirudishia mimi,mimi nilikuuliza kama lengo la utekaji ni kuwatisha wakosoaji,sasa Huyo Marehem Ally na hao uliowataja wewe mbona hawakuwa wakosoaji??Sativa, mlay, mbwana kombo ni wakosoaji wa nini?
Mbwana kombo alitekwa akakaa zaidi ya mwezi police ndio wakatoa taarifa wanae, chadema ikaenda kumuwekea dhamana ili atoke, mahakama ikatoa dhamana Ila hadi Leo wamegoma kumuachia
Swali: mbwana kombo ni mkosoaji wa nini?