Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

The gang …carying machine gun, Hand cuffs and driving Land cruiser car [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! How can you tell people they are not Police
Wahuni wapo kila mahali, hadi kwenye nyumba za ibada Wahuni hawakosekani, usijali muda utawaibuwa huko waliko!!
 
Wewe walishakuonyesha huo weledi mpaka uwasifie? Hebu tuambia mfano mmoja wa kitu walichokifanya kwa weledi tangu awamu ya 5
Lile tukio la yule Hamza aliyeua askari, askari wapo hapa na hapa wanamkosa risasi, tena wapo wengi.
Huo ndio weledi.
 
TWISHI ufanya mauaji kwa namna Tofauti

Wanaweza wakakuacha “u survive to tell the tail” uku ukiwa kilema ili watu wengine waogopa maana utasimulia

Wanaweza wakakuua Kama ally kibao ili waliozunguka waogope

Au wanaweza wakakupoteza mazima kaka impact ya kifo chako itachafua upepo wa mob , yaan watu kuingia mtaani hapo wanakupoteza hili hata kimataifa ushahidi ukosekane, au ukapewa sumu utajiishia taratibu,

Mbali zaidi wakazima betri ya kifuani kwa manufaa mapana ya nchi baadae

Britanicca
"To tell the Tale"
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Genge la Wahuni! Wahuni hao wakaruhusiwa kuchukua gari mbili na silaha!

Wakasimamisha basi mchana kweupee bila uoga!

Nadhani tuhitimishe tu kwamba Hilo lilikuwa ni tukio la kihuni
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Kulikuwa Na Traffic kwenye basi Vipi na yeye hakuzuia
 
Wahuni wanaweza kusimamisha bus mchana kweupe?
Wahuni wanamiliki pingu?

Wahuni wanatumia jina la taasisi na Tena wanatembea mchana bila hofu?
Wahuni wanamiliki tindikali?

Wahuni wanamiliki silaha za moto za kijeshi?

Hao wahuni watakuja alshabab labda
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Chawa la chura kiziwi!

Mwanzo mlikuwa mnasema Magufuli ndio anaua watu, kiko wapi sasa?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Mauaji ya namna hii lengo lake ni kuwatia hofu wakosoaji.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Mauaji hayo ya Marehemu Ally na assassination attempt ya tundu lisu ipi imekuwa kwa weledi??

It does not matterb kama yamefanyika kwa weledi au vibaya,but the issue ni kwamba damu za watu wasio na hatia zinamwagika na imefikia hatua majibu yanahitajika sasa.
 
Lets say its true,Marehemu Ally alikuwa Mkosoaji wa nini??

Mbona hatujawahi hata kumskia na wengine mfano mimi nimemskia kwenye Tukio hili la kutekwa na kuuwawa??
Sativa, mlay, mbwana kombo ni wakosoaji wa nini?
Mbwana kombo alitekwa akakaa zaidi ya mwezi police ndio wakatoa taarifa wanae, chadema ikaenda kumuwekea dhamana ili atoke, mahakama ikatoa dhamana Ila hadi Leo wamegoma kumuachia
Swali: mbwana kombo ni mkosoaji wa nini?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Mkuu
 
Sativa, mlay, mbwana kombo ni wakosoaji wa nini?
Mbwana kombo alitekwa akakaa zaidi ya mwezi police ndio wakatoa taarifa wanae, chadema ikaenda kumuwekea dhamana ili atoke, mahakama ikatoa dhamana Ila hadi Leo wamegoma kumuachia
Swali: mbwana kombo ni mkosoaji wa nini?
Sasa swali hilo unakosea kunirudishia mimi,mimi nilikuuliza kama lengo la utekaji ni kuwatisha wakosoaji,sasa Huyo Marehem Ally na hao uliowataja wewe mbona hawakuwa wakosoaji??
 
Hilo genge haliwezi kuwa la kienyeji tu lazima litakuwa na support kutoka.........
 
Back
Top Bottom