ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawa watakuwa wanataka kumdhoofisha Rais makusudi.Wasakwe Kwa gharama yeyote Ili waseme waliowatuma.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Miongoni mwa watu wasio na weledi nchi hii ni Polisi, usijisahaulishe.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Wamefanya mauaji Yale ili kufanya kitisho kwa wengineNina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Na wengine 82 tuliombiwa na Tanganyika law Society na Mwakubusi wote wakiikoso serikali nani amewateka, anawafuga, amewaua?Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Nilitaka uone kuwa kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana, lakini ukifanya jambo fulani ambalo hata kama ni dogo likawakera wenye nafasi zao basi utashughulikiwa.Sasa swali hilo unakosea kunirudishia mimi,mimi nilikuuliza kama lengo la utekaji ni kuwatisha wakosoaji,sasa Huyo Marehem Ally na hao uliowataja wewe mbona hawakuwa wakosoaji??
Msako ulipaswa kuanza kwa waliofanya kwa sativa, waliomteka na kumpeleka oysterbay polisi. Lakini hadi leo kimyaHawa watakuwa wanataka kumdhoofisha Rais makusudi.Wasakwe Kwa gharama yeyote Ili waseme waliowatuma.
Rais...hakuna utekaji ni "drama" tu!Hawa watakuwa wanataka kumdhoofisha Rais makusudi.
Drama...kwa Kiswahili ni "kuigiza"Wasakwe Kwa gharama yeyote Ili waseme waliowatuma.
Kama ni hivyo,kwa kuwa huyu alikuwa ni kiongozi wa chadema na inasemekana alikamatwa na polisi na kisha akapatikana akiwa amefariki basi tusubiri taarifa ya uchunguzi kutoka kwao hao polisi,keep in mind kuwa wanasiasa wana mambo mengi yanayoweza kukustaajabisha sometimes.Nilitaka uone kuwa kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana, lakini ukifanya jambo fulani ambalo hata kama ni dogo likawakera wenye nafasi zao basi utashughulikiwa.
Katibu wa chadema sumbawanga ndugu Dioniz kipanya hadi sasa ni mwezi wa pili katekwa, kuna video clip aliweka hiyo ndio inasemekana iliwakera wenye nafasi zao.
Kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana. Hiyo ndio ilikua point yangu
Mimi sio Chadema ila ni Mtanzania sikubaliani na utekaji, utesaji, uuaji unaofanywa na hawa wahuni , serikali ya awamu ya sita wanachezea sana maisha ya Watanzania kuliko awama zote.Nilitaka uone kuwa kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana, lakini ukifanya jambo fulani ambalo hata kama ni dogo likawakera wenye nafasi zao basi utashughulikiwa.
Katibu wa chadema sumbawanga ndugu Dioniz kipanya hadi sasa ni mwezi wa pili katekwa, kuna video clip aliweka hiyo ndio inasemekana iliwakera wenye nafasi zao.
Kutekwa sio lazima uwe mkosoaji sana. Hiyo ndio ilikua point yangu
Wewe unawaza kama Mimi mkuu, mpaka sasa Mimi sidhani kama mama anatoa baraka kwa matukio ya namna hiyo sidhani.Waliofanya Tukio ni usalama kabisa lakni inaonekana aliewatuma amefanya sabotage ya makusudi huwez kumteka mtu Leo kesho mnamtelekeza hata watu hawajasahau. Lengo Lao ni kuamsha taharuki na chuki kwa Jamii ili serikali ichukiwe. Mama anapigwa vita na wengi ndani ya Chama hakutakiwa kuridhika na Majibu rahisi ya vyombo vya ulinzi kuwa ni Drama. Yaani hata kama ni Drama zilipaswa kukomeshwa Maana Zina lengo la kujstify kitu fulani
Sasa kwanini serikali isifanye mpango wa maalum wa kubaini na kutokomeza hicho kikundi? Serikali inawaacha genge wapete, wateke, watese, waue yenyewe iko kimya? Kuna serikali hapo au ni washiriki?Binafsi naona haya matukio yanafanana na ni mpango wa kikundi cha watu chenye mpango wa kukichafua kikundi kingine
Haya matukio kwanzia kupotea watoto, utekaji wa watu wazima na kauli tata zinazotolewa na watu ambao wanajua nikisema hivi Sina kazi ila wanaamua kusema, yanaonesha wazi kuna kundi limejipanga kufanya haya matukio ili kumchafua mtu au kikundi fulani
Style yao ni ileile na lengo lao ni kuzua taharuki ili asakamwe mtu au kundi fulani kwa yanayoendelea..
Kaka katika hali ya kawaida tu hayo hayawezi kufanyika kwa uhuru hivyo yakapita. Ndio maana nimekuuliza ni nani mwenye nguvu zaidi ambae anaweza kumkamata sativa akaenda nae police oysterbay akamlaza siku moja hapo, kesho yake akaondoka nae hadi katavi. Huyo mtu/watu wana nguvu kuliko mamlaka?Kama ni hivyo,kwa kuwa huyu alikuwa ni kiongozi wa chadema na inasemekana alikamatwa na polisi na kisha akapatikana akiwa amefariki basi tusubiri taarifa ya uchunguzi kutoka kwao hao polisi,keep in mind kuwa wanasiasa wana mambo mengi yanayoweza kukustaajabisha sometimes.
Tundu lisu alipopigwa RISASI Wilbroad Slaa alitoa kauli kuwa hawezi kusema chochote kwa kuwa anajua ndani ya chadema kwenyewe hakuko salama,unakumbuka??
Na,je ulitarajia mtu kama Wilbroad Slaa atoe kauli kama ile??je aliyoyasema yana ukweli au hayana ukweli??
Unamaanisha kuna kikundi kina nguvu kuliko serikali?Binafsi naona haya matukio yanafanana na ni mpango wa kikundi cha watu chenye mpango wa kukichafua kikundi kingine
Haya matukio kwanzia kupotea watoto, utekaji wa watu wazima na kauli tata zinazotolewa na watu ambao wanajua nikisema hivi Sina kazi ila wanaamua kusema, yanaonesha wazi kuna kundi limejipanga kufanya haya matukio ili kumchafua mtu au kikundi fulani
Style yao ni ileile na lengo lao ni kuzua taharuki ili asakamwe mtu au kundi fulani kwa yanayoendelea.. Hakuna kinachofanyika kwa bahati mbaya
Upuuzi mtupuNina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Hivi mbona mnajitoa Ufahamu kiasi hiki, Akili zenu mnazipeleka wapi..!?Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
You have got a point,what you are saying it makes a sense.Kaka katika hali ya kawaida tu hayo hayawezi kufanyika kwa uhuru hivyo yakapita. Ndio maana nimekuuliza ni nani mwenye nguvu zaidi ambae anaweza kumkamata sativa akaenda nae police oysterbay akamlaza siku moja hapo, kesho yake akaondoka nae hadi katavi. Huyo mtu/watu wana nguvu kuliko mamlaka?
Ni nani huyo ana nguvu ya kwenda makazi ya wabunge, akamshambulia mbunge kwa risasi mchana, hadi leo asijulikane?
Nani ana nguvu ya kumteka mo dewji bilionea namba moja east africa? Nani huyo asijulikane?
Ni nani mwenye nguvu ya kuzuia dhamana ya mahakama ya mbwana kombo? Mahakama knatoa dhamana Ila mtu/watu wanaizuia. Kama huyo mtu yupo unaijua tafsiri yake? Tafsiri yake ana nguvu kuliko serikali, je ni kweli kuna mtu ana nguvu kuliko serikali?
Mkuu Chiembe nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja kiukweli Jeshi la Polisi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama hawafanyi kazi kizembe hivyo, mimi nawatetea, hawa ni Green Gurd wa UVCCM maarufu CHINJACHINJA ndio wanaofanya haya mauaji na matukio ya kuteka watu hawa wapo kisiasa na kila mkoa tukianzia Dar na Arusha aidha kwa kutumwa ama kufanya wao wenyewe kwa maelekezo au mamlaka waliyopewa, na wanalindwa na wanasiasa wa ngazi za juu ndani ya chama na Serikali, wanafanya haya mauaji na utekaji, hutumia mwanya linapozuka ukinzani kati ya jeshi la Polisi na Chadema nao hufanya yao na kukaa kimya ili ionekane ni jeshi la Polisi kumbe sivyo ni uchonganishi tu, kwa hili nawatetea Jeshi la Polisi na vyombo vingine, lawama zinaelekezwa kwa Polisi kwa sababu wanashindwa kuchukua hatua na kuja na majibu yanayoridhisha, maana wao ndio wenye mamlaka ya kulinda raia na mali zao kisheria labda waseme wameshindwa jambo ambalo haliwezekani, lakini pamoja na wao kujua na yanayofanywa hawa (UVCCM) hawawezi kuchukua hatua kuogopa viongozi wa kisiasa Serikalini pamoja na chama.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane