Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

Hilo mbona liko wazi!?
Waarabu(waliokuwa na imani ya dini ya haki-uislamu) walikuja huku Afrika (Tanganyika) kwa lengo la biashara na kueneza dini, badala ya kuwahubiria amani wakawakamata na kwenda kuwauza kama wanyama pamoja na kuuwa waliokaidi maelekezo.
Liko wapi wazi? Weka ushahidi, usilete habari za kujazwa wewe ujinga ukafikiri sote tu wakujazwa ujinga.
 
Hilo mbona liko wazi!?
Waarabu(waliokuwa na imani ya dini ya haki-uislamu) walikuja huku Afrika (Tanganyika) kwa lengo la biashara na kueneza dini, badala ya kuwahubiria amani wakawakamata na kwenda kuwauza kama wanyama pamoja na kuuwa waliokaidi maelekezo.
Alshabab na wafuga majini leo wanajifanya watakatifu dunia hii!!!
 
Walikufa kwa ahadi zao, hawakuuliwa.

Walioua watumwa kwa Kimbari ni Argentina, nchi ya Kikatoliki, umeshajiuliza vipi Argentina mtu mweusi ni wa kutafutwa?
Hivi Babu zetu walichukuliwa kizembe unafikiri...kulikuwa na vita ,nakutokana na teknolojia ndogo waliuawa wengi .Wafia Dini msiwe waoga kuukabili ukweli..you have nothing to loosen!
 
Hivi Babu zetu walichukuliwa kizembe unafikiri...kulikuwa na vita ,nakutokana na teknolojia ndogo waliuawa wengi .Wafia Dini msiwe waoga kuukabili ukweli..you have nothing to loosen!
Machifu na watemi waliwauza watu wao kwa shanga, kaniki na vioo vya kujitazamia.

Nafahamu huu uzi unaumiza, badala ya kujibu hoja unakuja na "strawman fallacy".

Stahamili, sindano ikuingie. Ujifikirie kanisa unalolifata ni la Mungu au Shetani?
 
Shule za makazi (Residential Schools) zilikuwa za mtandao wa shule za bweni ambazo ziliundwa ili kuingiza watoto wa kiasili (natives) katika utamaduni wa Kanada. Shule hizo ziliendeshwa na serikali ya Kanada na mashirika ya kidini (Kikatoliki).

Watoto hao walichukuliwa kutoka kwa familia zao na kulazimishwa kuhudhuria shule hizo ambapo waliadhibiwa kwa kuzungumza lugha yao ya asili na kutekeleza utamaduni wao. Watoto wengi waliteswa na unyanyasaji na kutelekezwa katika shule hizi.

Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Kanada imeandika kwamba angalau watoto 4,100 walikufa walipokuwa wakisoma shule za makazi (residential schools) . Hivi majuzi, makaburi yasiyo na alama yenye mabaki ya watoto 215 yamepatikana nchini Kanada katika shule ya zamani ya makazi.

Makaburi mengine 751 ambayo hayakuwa na alama yalipatikana katika shule nyingine ya makazi. Ugunduzi huu umesababisha maombolezo mengi na wito wa uwajibikaji.

Chanzo: Why Canada is mourning the deaths of hundreds of children

====

Note: Taarifa ya July 15, 2021
Aione pia kubwa jinga MK254
 
Kanisa katoliki? Kina martin luther walishaana nalo karne nyingi. Hilo kanisa ni taasisi kubwa duniani na halina uadilifu katika historia yake. Ukishabikia udini itabidi dini yako unayoiamini nayo ichungunzwe kama nayo ni safi au ni chafu wakati nayo historia inaonesha haina uzuri mambo ni yaleyale ya ubaya kwa binadamu
 
Kanisa katoliki? Kina martina luther walishaana nalo karne nyingi. Hilo kanisa ni taasisi kubwa duniani na halina uadilifu katika historia yake. Ukishabikia udini itabidi dini yako unayoiamini nayo ichungunzwe kama nayo ni safi au ni chafu wakati nayo historia inaonesha haina uzuri mambo ni yaleyale ya ubaya kwa binadamu
Huyo unaemtaja ni wa kanisa la Lutheran , au siyo? Nalo lina mauaji yake...

Mauaji ya Kanisa la Monrovia​


Mauaji ya Kanisa la Monrovia , pia yanajulikana kama mauaji ya Kanisa la Kilutheri la Mtakatifu Petro , yalikuwa ukatili mbaya zaidi wa Vita vya Kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Liberia . Takriban watu 600 waliuawa katika kanisa hilo katika wilaya ya Sinkor ya Monrovia mnamo tarehe 29 Julai 1990. Mauaji hayo yalitekelezwa na takriban wanajeshi 30 wa serikali watiifu kwa Rais Samuel Doe . Wahalifu hao walikuwa wa kabila la Doe's Krahn huku wengi wa wahasiriwa wakitoka makabila ya Gio na Mano , ambayo yalikuwa yanawaunga mkono waasi.
Mauaji ya Kanisa la Monrovia

Soma zaidi: killings Lutheran church - Google Suche
 
Liko wapi wazi? Weka ushahidi, usilete habari za kujazwa wewe ujinga ukafikiri sote tu wakujazwa ujinga.
Umewahi kusoma Jihad za Tarsina, Almoravid na War Jabi huko West na North Africa kuwalazimisha Waafrika kuingia kwenye Uislamu??
 
Umewahi kusoma Jihad za Tarsina, Almoravid na War Jabi huko West na North Africa kuwalazimisha Waafrika kuingia kwenye Uislamu??
Unamaanisha nini kwa neno "jihad"?

Umeisoma post namba 1? Una lipi la kusema kuhusu hayo mauaji ya kimbari yaliyogunduliwa kwenye shule za bweni za kikatoliki? Qaliua kutiwa kafara ya damu ya binadam au vipi? Au waliua kwa chuki tu? Au waliua kwa kupenda kuua.
 
Inasikitisha sana hii report.

Pia ninasikitishwa sana na matumizi ya neno angalau kwenye taarifa zinazohusu hasara au idadi ya vifo. Kwa nini tusiendelee kutumia neno WAPATAO kwa kuelezea idadi?
View attachment 2614021

Nikosoe kama nakosea
Huyo ni AI Chatgpt aliyetafsiri, habari yenyewe ipo kwa Kingereza.
 
Back
Top Bottom