Thaari
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 402
- 645
Yeah hii taarifa Bado Ina utata mkubwa sana ni mwaka wa Tano najaribu kuifuatiliaHiyo habari imeletwa na BBC,wewe unaitumia kwa lengo tofauti na upotoshaji mkubwa!Mpaka umeiita ni Dini ya kishetani!
Hapo ndipo lengo lako lilipo!
Lakini pia kwenye taarifa hiyo inasema Bado vyanzo vya vifo havijajulikana na sababu havijajulikana!Vifo vimetokea kati ya 1890 to 1970,ndani ya miaka 80,makaburi yanakuja kugundulika miaka 40 baadae!Wewe uliepewa taarifa unaishia kuuita Dini ya kishetani!
Nje kidogo ya mada:Naelewa kwanini serikali ya Canada iliamua kuanzisha hizo shule na kupeleka watoto kutoka asili tofauti tofauti na kushirikiana na RC katika Hilo!
Hawana tofauti sana na alichokuja kufanya Nyerere Ili kutufanya tuwe wamoja na ukabila kutotamalaki!Kuchanganya wanafunzi kutoka maeneo tofauti!
Juzi tu huko India,Hao Indegous people wameuwa watu takribani 50 Kwa Imani zao za asili!
Pengine Canada isingekuwa hii ya Leo kama hatua hizo zisingechukuliwa!
Na nazani unaweza kumrekebisha maana mwenzetu hata maana ya neno "kimbari"Hana ufahamu nalo