Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Bado narudia,maovu hayo yanatendwa na watu waovu na sio Dini!1)Ipo mistari inayoamrisha mauwaji ya kimbari kwenye biblia, au biblia siyo maandiko ya dini?
2) mauwaji kanisani kwa Tanzania yapo mengi tuombe Mungu yasifikie ya Kenya juzi. Jisomee: https://www.google.com/url?sa=t&sou...QtwJ6BAgkEAI&usg=AOvVaw3Zu29QwjZhhxnSmMWpEhnp
Pia kuna kanisa Tanzania, ushahidi upo, lilikuwa linalawiti wanafunzi kwa Kimbari. Kuwafanya wansgunzi kuwa mashoga kwankimbaru, hiyo ni zaidi ya kuwauwa. Jisomee: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
Mimi tokea nazaliwa,sijawahi kuhubiriwa chuki Wala jambo lolote ovu kanisani!Zaidi lugha ambayo nimekuwa nayo na naisikia ni upendo!
Tukienda Kwa trend hiyo,hata misikitini yametokea mauaji mengi tu!Huko Iran,Afghan NK watu wameuwawa sana Tena serikali Kwa mgongo wa Dini!Ilaumiwe Dini Kwa mauaji hayo?Hujui kuwa Kuna makundi yanatumia maandiko kufanya mauaji ya wasioamini?Ilaumiwe Dini?Haya makundi ya kigaidi,yanayotumia jina la Allah kutekeleza mauji,tuilaumu Dini?
Umeweka habari ya katekista kuua kanisani,kwani katekista ndio Dini?Hiyo nayo Ilaumiwe Dini?
Vitendi vya ulawiti vipo,hata madrasa huko watoto wanalatiwa na walimu wao,kesi zipo nyingi!Ilaumiwe Dini?
Hii habari,I bet inavyojadiliwa huko Canada ni tofauti kabisa na sisi hapa bongo tunavyojadili!Sisi tupo kwenye gia ya udini badala ya kujadili Nini kilitokea,sababu na kwanini serikali haikuchukua hatua!