Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Nimepitia habari na comments za humu!Mleta mada na baadhi ya wachangiaji Naona wako nje kabisa na hata lengo la mleta habari limeonekana kwenye baadhi ya comment zake!
Mauaji ni jambo ovu,waliotenda hayo mauaji wawajibike wao Kwa binafsi Yao!Kuihukumu dini Kwa matendo ya watu wendawazimu ni kukosea!Dini haiwezi kuua,Bali watu ndio hutenda hayo mauaji!
Sio maelekezo ya Dini yaliyopelekea mauaji hayo Bali ni watu waovu wametenda hayo!
Nisisitize kutoihukumu Dini Kwa matendo ya wendawazimu wachache!