Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

Liko wapi wazi? Weka ushahidi, usilete habari za kujazwa wewe ujinga ukafikiri sote tu wakujazwa ujinga.
 
Alshabab na wafuga majini leo wanajifanya watakatifu dunia hii!!!
 
Walikufa kwa ahadi zao, hawakuuliwa.

Walioua watumwa kwa Kimbari ni Argentina, nchi ya Kikatoliki, umeshajiuliza vipi Argentina mtu mweusi ni wa kutafutwa?
Hivi Babu zetu walichukuliwa kizembe unafikiri...kulikuwa na vita ,nakutokana na teknolojia ndogo waliuawa wengi .Wafia Dini msiwe waoga kuukabili ukweli..you have nothing to loosen!
 
Hivi Babu zetu walichukuliwa kizembe unafikiri...kulikuwa na vita ,nakutokana na teknolojia ndogo waliuawa wengi .Wafia Dini msiwe waoga kuukabili ukweli..you have nothing to loosen!
Machifu na watemi waliwauza watu wao kwa shanga, kaniki na vioo vya kujitazamia.

Nafahamu huu uzi unaumiza, badala ya kujibu hoja unakuja na "strawman fallacy".

Stahamili, sindano ikuingie. Ujifikirie kanisa unalolifata ni la Mungu au Shetani?
 
Aione pia kubwa jinga MK254
 
Kanisa katoliki? Kina martin luther walishaana nalo karne nyingi. Hilo kanisa ni taasisi kubwa duniani na halina uadilifu katika historia yake. Ukishabikia udini itabidi dini yako unayoiamini nayo ichungunzwe kama nayo ni safi au ni chafu wakati nayo historia inaonesha haina uzuri mambo ni yaleyale ya ubaya kwa binadamu
 
Huyo unaemtaja ni wa kanisa la Lutheran , au siyo? Nalo lina mauaji yake...

Mauaji ya Kanisa la Monrovia​


Mauaji ya Kanisa la Monrovia , pia yanajulikana kama mauaji ya Kanisa la Kilutheri la Mtakatifu Petro , yalikuwa ukatili mbaya zaidi wa Vita vya Kwanza vya wenyewe kwa wenyewe vya Liberia . Takriban watu 600 waliuawa katika kanisa hilo katika wilaya ya Sinkor ya Monrovia mnamo tarehe 29 Julai 1990. Mauaji hayo yalitekelezwa na takriban wanajeshi 30 wa serikali watiifu kwa Rais Samuel Doe . Wahalifu hao walikuwa wa kabila la Doe's Krahn huku wengi wa wahasiriwa wakitoka makabila ya Gio na Mano , ambayo yalikuwa yanawaunga mkono waasi.
Mauaji ya Kanisa la Monrovia

Soma zaidi: killings Lutheran church - Google Suche
 
Kwa kuwa haya mauji kwenye taasisi nyeti za dini yanafanywa na binadamu, kuna dini ambayo haihusishwi na mauji kwa namna yoyote ile? Kama ipo tuipe credit na tuione ina Mungu
 
Liko wapi wazi? Weka ushahidi, usilete habari za kujazwa wewe ujinga ukafikiri sote tu wakujazwa ujinga.
Umewahi kusoma Jihad za Tarsina, Almoravid na War Jabi huko West na North Africa kuwalazimisha Waafrika kuingia kwenye Uislamu??
 
Umewahi kusoma Jihad za Tarsina, Almoravid na War Jabi huko West na North Africa kuwalazimisha Waafrika kuingia kwenye Uislamu??
Unamaanisha nini kwa neno "jihad"?

Umeisoma post namba 1? Una lipi la kusema kuhusu hayo mauaji ya kimbari yaliyogunduliwa kwenye shule za bweni za kikatoliki? Qaliua kutiwa kafara ya damu ya binadam au vipi? Au waliua kwa chuki tu? Au waliua kwa kupenda kuua.
 
Inasikitisha sana hii report.

Pia ninasikitishwa sana na matumizi ya neno angalau kwenye taarifa zinazohusu hasara au idadi ya vifo. Kwa nini tusiendelee kutumia neno WAPATAO kwa kuelezea idadi?
View attachment 2614021

Nikosoe kama nakosea
Huyo ni AI Chatgpt aliyetafsiri, habari yenyewe ipo kwa Kingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…