Mauaji ya kimbari ya watoto wadogo yaligunduliwa shule za Kikatoliki Canada

Nimepitia habari na comments za humu!Mleta mada na baadhi ya wachangiaji Naona wako nje kabisa na hata lengo la mleta habari limeonekana kwenye baadhi ya comment zake!
Mauaji ni jambo ovu,waliotenda hayo mauaji wawajibike wao Kwa binafsi Yao!Kuihukumu dini Kwa matendo ya watu wendawazimu ni kukosea!Dini haiwezi kuua,Bali watu ndio hutenda hayo mauaji!
Sio maelekezo ya Dini yaliyopelekea mauaji hayo Bali ni watu waovu wametenda hayo!
Nisisitize kutoihukumu Dini Kwa matendo ya wendawazimu wachache!
 
1.Sinjar Massacre
2.Hamidian Massacres/ Armenia Genocide.
3.Greek Genocide, Pontic Genocide
4.Aurangzeb/Mughal Empire Genocide
5.Amir Abdur Rahman/Emir of Afghanistan Hazara Genocide
 
Kwa mauaji kama haya, hiyo "dini" iliyoyafanya ni dhahiri shahiri ya kishetani.
Dah,
Inasikitisha saana, u
Kuona wengine mashetani na wewe ni malaika
Hiyo dini yako unayoabudu walichukuliwa watumwa kibao wakiafrica kwenda kwao...mbona mpaka leo mabaki yao hayajawahi onekana...utalinganisha na walioenda America na kwingineko tunakowaona leo
Unamaanisha tukuhukumu leo kwa dhambi aliotenda babu wa babu yako

Utashangaa siku utakapofika huko unaowaita Mashetani ndio watakuwa getini kukuelekeza kwenye meza ya hukumu kabla hujaenda kutana na shetani mwenyewe

Shame on you
 
Hivi neno KIMBARI linamaana gani kiswahili? Ninaposikia mauaji ya KIMBARI najua KIMBARI ni eneo yalipofanyika mauaji hayo.. Sasa hivi Habari ya Leo imenifanya nihisi KIMBARI Ina tafsiri zaidi ya ninavyofikiria. Naanza kuhisi KIMBARI ni Kama HALAIKI! [emoji848]
 
Kufukunyua kote habari ni kwasababu unataka perception kwa RC uwe tofauti.
 
Ulitaka kusema jambo ajuza faiza fox ila umeshindwa tu kulisema
 
Allahu akbar
Hawajui kwa mauaji hayo wanasaidia kumhubiri Allah na Uislam.
Allahu Ahmaq
Namsifu Allah kwa kuachia mauaji haya ya watoto wadogo ili Dini yake ya uislam ionekane ya haki na kweli. Amin
 
1.Sinjar Massacre
2.Hamidian Massacres/ Armenia Genocide.
3.Greek Genocide, Pontic Genocide
4.Aurangzeb/Mughal Empire Genocide
5.Amir Abdur Rahman/Emir of Afghanistan Hazara Genocide
Ukishasema Massacres, Genocide haiwezi kuwa jihadi hiyo.
Jihadi ni kama crusade.
Wajuvi wanaweza kunisahihisha.
 
Kwa trend hii Nasubiri mlipuko toka kwa watoto wa Papa.
 
Hizo taasisi za elimu za kikatoliki zinaendeshwa na kanisa katoliki, lini kanisa katoliki lilitowa ufafanuzi wa haya mauaji ya "residential schools ", waliohusika walichukuliwa hatua gani?

Hapo huwezi kuliondoa kanisa katika hilo sakata.
 
Ni kweli kama mmeleta mara anavyosifia Waislam Waarabu kueanunua Babu zetu kwa shanga za viunoni!?
 
1.Sinjar Massacre
2.Hamidian Massacres/ Armenia Genocide.
3.Greek Genocide, Pontic Genocide
4.Aurangzeb/Mughal Empire Genocide
5.Amir Abdur Rahman/Emir of Afghanistan Hazara Genocide
Hiyo ndiyo maana ya neno jihad? Au unaota?
 
Imetokea mwaka gani hii? I mean hayo mauaji yalifanyika lini?
The Kamloops school, which operated between 1890 and 1969, held up to 500 Indigenous students at any one time, many sent to live at the school hundreds of kilometres from their families. Between 1969 and 1978, it was used as a residence for students attending local day schools.

Of the remains found, 50 children are believed to have already been identified, said Stephanie Scott, executive director of the National Centre for Truth and Reconciliation. Their deaths, where known, range from 1900 to 1971.
 
Hizo taasisi za elimu za kikatoliki zinaendeshwa na kanisa katoliki, lini kanisa katoliki lilitowa ufafanuzi wa haya mauaji ya "residential schools ", waliohusika walichukuliwa hatua gani?

Hapo huwezi kuliondoa kanisa katika hilo sakata.
Narudia,waliotenda hayo maovu ya mauaji ni watu!Hebu tueleze,kama ni maelekezo ya Dini,Tanzania ni wapi yamefanyika mauaji ya namna hiyo?Au Tanzania hakuna taasisi za RC zenye shule,hopsitali NK?Au maelekezo ya RC ni kuwa mauaji yafanyike Canada pekee?
Lengo lako hasa ni kutumia habari ya hio kuchafua Imani ya watu wa RC Kwa manufaa Yako binafsi!
Ukiipenda Imani Yako inatosha,sio lazima uchukie Imani za wengine!Utaupa tabu tu moyo wako na kuishi bila furaha!
 
1)Ipo mistari inayoamrisha mauwaji ya kimbari kwenye biblia, au biblia siyo maandiko ya dini?

2) mauwaji kanisani kwa Tanzania yapo mengi tuombe Mungu yasifikie ya Kenya juzi. Jisomee: https://www.google.com/url?sa=t&sou...QtwJ6BAgkEAI&usg=AOvVaw3Zu29QwjZhhxnSmMWpEhnp

Pia kuna kanisa Tanzania, ushahidi upo, lilikuwa linalawiti wanafunzi kwa Kimbari. Kuwafanya wansgunzi kuwa mashoga kwankimbaru, hiyo ni zaidi ya kuwauwa. Jisomee: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…