Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Kaficha na hawezi kusema sababu ina elekea ni tuhuma za uchawi huko Mwanga ni kumebobea mambo hayo .
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Ukifuatilia sana utagundua shida ni ujinga tu ambacho chanzo chake ni umasikini.
 
Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
Mkuu nasikitika kukuambia mpaka Sasa hv hakuna simu yoyote wahanga wamepigiwa na mamlaka!!! Sio Mkuu wa mkoa, wilaya, OCD, Usalama, wala nani! Ama kweli tusiokua na channel tunakufa kama kuku Mkuu....
 
Mh. Raisi tafadhali isaidie hii familia, mpaka sasa hivi hakuna msaada wowote waliupata!!! Saidia hii familia mama🙏🏾

CC: Dkt. Gwajima D
 
Mh. Raisi tafadhali isaidie hii familia, mpaka sasa hivi hakuna msaada wowote waliupata!!! Saidia hii familia mama🙏🏾

CC: Dkt. Gwajima D
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412

CC: Dkt. Gwajima D

Inaonekana hiyo kata Watu wote wanajua sababu ya mauaji hayo ambayo wewe umeamua kutuficha humu.
Hapo mwanga kuna serikali za mitaa, kuna Diwani.
Haya kuna wanamtaa kama wanamtaa.

Hiyo bibi hayupo kwenye jumuiya za kidini kama Uislamu au Ukristo?

Sio rahisi mtu wa mbali asaidie jambo lililoacha maswali mengi kama ulivyoelezea.

Alafu wewe unataka Watu wapige hizo namba ulizosema niza waganga.

Toa maelezo yanayojitosheleza na jitihada mlizozifanya. Ili Watu wajue wanasaidia vipi.

0. Kabla ya tukio nini kilikuwa kinaendelea
1. Chanzo cha mauaji
2. Mgogoro ulikuwa baina ya nani na nani?
3. Mazingira na wakati tukio linafanyika?
4. Washukiwa ni kina nani na kwa nini?
5. Hatua mlizochukua katika kufuatilia jambo hilo.

Inaonekana nawe unaogopa labda kutokana na Unawajua wahusika.
Sasa humu JF unatumia Fake ID bado unaogopa kuweka mambo wazi ili upate msaada wa haraka?
 
Kama marehemu anatuhumiwa kwa uchawi/ alikua mchawi basi sina neno amepata anachostahili. Ila kama kuna mengine sheria ifuate mkondo wake.
 
Kwanini umemtaja na Paul Makonda?
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Kama marehemu anatuhumiwa kwa uchawi/ alikua mchawi basi sina neno amepata anachostahili. Ila kama kuna mengine sheria ifuate mkondo wake.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Jamani Mbona Hakuna Msaada wowote mpaka sasa hivi ambao hii familia imepatiwa? Au Kilimanjaro/Mwanga Hakuna Serikali???

NB: Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
CC: @AbdalahMwaipaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…