- Thread starter
- #81
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Kaficha na hawezi kusema sababu ina elekea ni tuhuma za uchawi huko Mwanga ni kumebobea mambo hayo .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Kaficha na hawezi kusema sababu ina elekea ni tuhuma za uchawi huko Mwanga ni kumebobea mambo hayo .
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Ukifuatilia sana utagundua shida ni ujinga tu ambacho chanzo chake ni umasikini.
Mkuu nasikitika kukuambia mpaka Sasa hv hakuna simu yoyote wahanga wamepigiwa na mamlaka!!! Sio Mkuu wa mkoa, wilaya, OCD, Usalama, wala nani! Ama kweli tusiokua na channel tunakufa kama kuku Mkuu....Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Mh. Raisi tafadhali isaidie hii familia, mpaka sasa hivi hakuna msaada wowote waliupata!!! Saidia hii familia mama🙏🏾
CC: Dkt. Gwajima D
Kwanini umemtaja na Paul Makonda?Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT.
Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama kuku! Haijaishia hapo, watu hao walimpiga mume wa marehemu kichwani na kumkata mkono, na baada ya mauaji hayo watuumiwa walitokomea kusikojulikana!
Cha kushangaza baada ya polisi kupewa taarifa, walifika 2/11 na kiuchukua mwili na kuupeleka mochwari ya Kijiji inayoitwa Kifula, na 3/11 ndugu wa marehemu waliofuatilia hilo suala wakaambiwa na CID wa wilaya kwamba wanaweza wakauzika huo mwili!
Msaada hii familia inayohitaji ni ifuatayo:
1. Kwanini police iruhusu mwili uzikwe angali upelelezi/majibu ya mauaji hayajakamilika/hayajatolewa kwa familia?
2. Mauaji haya siyo ya kwanza kwani Kuna watu wengine walishauliwa katika mazingira kama haya na hakukuwa na ufuatiliaji wa polisi, hivyo inaonekana mauaji haya Yana baraka ya polisi/Mkuu wa wilaya!
3. Diwani wa eneo hilo (Maradona), wiki mbili kabla ya mauaji haya, aliitaka familia hii imrudishe marehemu nyumbani kwake kwani aliwahakikishia usalama wake, na baada ya marehemu kurudi tu, ndipo mauaji haya yakafanyika! Je bwana Maradona hajahusika katika mauaji haya? Pia izingatiwe kuwa Maradona ana undugu na watuhumiwa (mfano ni urafiki/ukaribu wake na bwana Mashauri ambaye ni kati ya watuhumiwa wa mauaji haya), hivyo anatumia cheo chake cha udiwani kuiangamiza hii familia.
4. Je, usalama wa hiyo familia itakuwa mikononi mwa nani? Ikizingatiwa hii familia inaendelea kupokea vitisho kutoka katika familia ya Mashauri? Ikumbukwe, mume wa marehemu ni mgonjwa Sana baada yakukatwa kichwani na kuvunjwa mkono, pia mtoto mkuwa wa marehemu (Judika Yohana Mfinanga) anaendelea kupokea vitisho toka Kwa bwana Mashauri.
Maziko yanatakiwa kufanyika kesho juma tatu, ila chondochonde Mheshiwa Rais, naomba uingilie kati mauaji haya na ikiwezekana marehemu asizikwe kesho mpaka uchunguzi wakina ufanyike.
CC:
1. Mkuu wa wilaya ya mwanga
2. CID mwanga
3.Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro
4. @PaulMakonda
5. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
6. Mh. Rais
7.Vyombo vya habari mkoa wa Kilimanjaro
NB: Samahani kwa uandishi mbaya.
Mpenda HakiHapo makonda anaingia kama nani?
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Inaonekana hiyo kata Watu wote wanajua sababu ya mauaji hayo ambayo wewe umeamua kutuficha humu.
Hapo mwanga kuna serikali za mitaa, kuna Diwani.
Haya kuna wanamtaa kama wanamtaa.
Hiyo bibi hayupo kwenye jumuiya za kidini kama Uislamu au Ukristo?
Sio rahisi mtu wa mbali asaidie jambo lililoacha maswali mengi kama ulivyoelezea.
Alafu wewe unataka Watu wapige hizo namba ulizosema niza waganga.
Toa maelezo yanayojitosheleza na jitihada mlizozifanya. Ili Watu wajue wanasaidia vipi.
0. Kabla ya tukio nini kilikuwa kinaendelea
1. Chanzo cha mauaji
2. Mgogoro ulikuwa baina ya nani na nani?
3. Mazingira na wakati tukio linafanyika?
4. Washukiwa ni kina nani na kwa nini?
5. Hatua mlizochukua katika kufuatilia jambo hilo.
Inaonekana nawe unaogopa labda kutokana na Unawajua wahusika.
Sasa humu JF unatumia Fake ID bado unaogopa kuweka mambo wazi ili upate msaada wa haraka?
Ewaa! Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Mpenda Haki
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Kwanini umemtaja na Paul Makonda?
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Kama marehemu anatuhumiwa kwa uchawi/ alikua mchawi basi sina neno amepata anachostahili. Ila kama kuna mengine sheria ifuate mkondo wake.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412Inaonekana hiyo kata Watu wote wanajua sababu ya mauaji hayo ambayo wewe umeamua kutuficha humu.
Hapo mwanga kuna serikali za mitaa, kuna Diwani.
Haya kuna wanamtaa kama wanamtaa.
Hiyo bibi hayupo kwenye jumuiya za kidini kama Uislamu au Ukristo?
Sio rahisi mtu wa mbali asaidie jambo lililoacha maswali mengi kama ulivyoelezea.
Alafu wewe unataka Watu wapige hizo namba ulizosema niza waganga.
Toa maelezo yanayojitosheleza na jitihada mlizozifanya. Ili Watu wajue wanasaidia vipi.
0. Kabla ya tukio nini kilikuwa kinaendelea
1. Chanzo cha mauaji
2. Mgogoro ulikuwa baina ya nani na nani?
3. Mazingira na wakati tukio linafanyika?
4. Washukiwa ni kina nani na kwa nini?
5. Hatua mlizochukua katika kufuatilia jambo hilo.
Inaonekana nawe unaogopa labda kutokana na Unawajua wahusika.
Sasa humu JF unatumia Fake ID bado unaogopa kuweka mambo wazi ili upate msaada wa haraka?
Hujajibu swali... kwanini umemtaja Makonda?Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412