Maumivu ya kuachwa na mke huwa yanachukua muda gani kupona

Usinambie mkuu kumbe huyo duu usha mzoom live
Kabisaa.

Na nina mpango wa kuweka bango la billboard njia ya kwenda kwao. Yenye picha yake na ujumbe mzuri.

alafu nakodisha kigoma kimfuate kwake na matarumbeta.
Hapo ni kumwambia tu jinsi gani namuhitaji.

akikubali basi kaIST kako ndani ya budget yangu. Maana kwenda kazini na Bodaboda kila siku sio salama kwake๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Your browser is not able to play this audio.
. Pole sana mkuu, ila hakikisha hauskikizi nyimbo za aina hii ukiwa umejifungia mwenyewe ndani๐Ÿ˜Š
 
Sikiliza nitonye ephen anatumia I'd gani snap au insta au TikTok
 
2021 niliachana na mzazi mwenzangu tulikuwa na watoto wawili tayari, mkubwa Miaka 4 mdogo alikuwa na mwaka na nusu. Akaondoka watoto wangu akawapeleka kwao kijijini yeye akarudi mjini kula Raha, miezi ikapita nikapewa taarifa wanangu wanateseka hasa huyu mdogo amedhoofika sababu ya rishe duni. Nilifanya jukum la kuoa mke mwingine Tena kwa ndoa nilimuweka wazi ninawatoto wawili kama yupo tayari tuwalee binti akakubali nikapeleka posa nikaoa maisha yakaendelea.

Huu ni mwaka wa 5 unaenda 6 tumeongeza watoto wengine wawili maisha yanaendelea.
Kwahiyo mkuu kama ameamua kukuacha ww kubaliana na hali pambana lkn kama Kuna namna unaweza mrudisha Fanya hivyo kuvunja mji si jambo jema hasa pale ambapo tayri mnawatoto maana anaeathilika zaidi ni mtoto kukosa malezi sitahiki ya baba na mama

Kingine jaribu hata upande wa pili hii Dunia inamengi mwanamke bila kumroga atakuvuruga utashindwa kuwaza future Yako unaanza kukimbizana na mapenzi huku umri unakutupa mkono. Wanawake wazuri bado wapo, wanawake wasikivu bado wapo watakaokubaliana na hali ya kipato chako
 
naomba nishushwe maan sio kwa kupangwa huku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wiki tu kama upo serious na maisha. Kwanza kuachwa ndo mdudu gani? Mwanaume haachwi labda lofa.
 
naomba nishushwe maan sio kwa kupangwa huku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Vyote viko ndan ya uwezo wangu.
Ila nimekosea kitu leo.๐Ÿค”
Mm huwaga nina under promise na huwa nina over deliver.

Kwahiyo hata nikifanya hivi nilivyosema utajua niliahidi. Hauta kuwa na msisimko ninaotaka uwe nao.
Nitajipanga kufanya zaid ya hivi ila sikuambii kwa sasa.

Mm sio kama hawa vijana wa kufungua uzi JF na kusema mahaba.
Mm sitasema, bali nitaonyesha mahaba yangu na pia natamani iwe Kumbukumbu ambayo utakayoithamini.

Kwahiyo save the Best for the Last.
 
win-one sikuruhusu mpaka tujue id yake ya zamani ni ipi
 
ila gen Z mna maneno๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ