Maumivu ya wamiliki wa European cars!

Simply wewe kaendeshe Toyota Allex au Runx ukitoka hapo ingia kwenye VW Golf.

Kama usipoona utofauti basi kuna tatizo mahali.
Mkuu hilo sio swali nililokua nimeuliza.

Mdau alisema utamu wa gari za ulaya uwe na gari nyingine pembeni ndio utafaidi utamu wake, ndio nikauliza utanu gani kama inataka ilelewe kama yai?

Utofauti mwingine wa haya magari naujua.

Ahsante.
 
Kuna gari namba C na zipo njema kuliko namba E.

Suala ni utunzaji na kupenda kitu chako.

Mwingine kununua kitu chochote OG ni kawaida achilia mbali spare parts.
Ni kweli kabisa, gari ni utunzaji.
Mimi nina la Reg A, nimelilamba kwa rangi, tairi mpya na viti hadi kila anaeliona anafikiri ni forgery.
 
Hawa walio jificha humu, hii habari wanayo!!?

CLICK HAPO

Wajerumani na wajapani wa tuangoma, kwa mabonge, tandahimba, mbinga, mrenyi, mabogini mpo!!? CLICK HAPO
 
[emoji55][emoji55][emoji765]
 
Toyota Hilux ni kiboko, hata Waingereza katika kipindi cha Top Gear walikubali, its literally indestructible.
Ukiona hata magaidi wanatumia Toyota Hilux basi hii gari ni all weather.
 
Toyota Hilux ni kiboko, hata Waingereza katika kipindi cha Top Gear walikubali, its literally indestructible.
Ukiona hata magaidi wanatumia Toyota Hilux basi hii gari ni all weather.
America wamesha lalamika sana kuhusu hizi gari! Makundi yoooote ya kigaidi kuanzia al_kaida, isis na wengine woote wanatumia hizi gari na landcruiser hardtop wakidai nani anao wafadhili!!? Alafu wao wanakuja na vifaru na ndege na bado wanatoa jasho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] toyota nyoko sana, alafu unakuta vyuma vyote vipo kwenye order
 
Waambie waulizie shock up za harrier 2nd gen mpya sio used waje na majibu
 
Siku ingine utajifunza kutonunua gari kwa madalali huwa awakwambii ukweli Ili likufie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…