Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

Dah! Mavaz yake kwakwel hayaendan na tukio la kupigiwa salut.
Ivi gvt dressing code siku hizi haifuatiliwi sana eeh??
 
Kumbukumbu yangu ya JKT inaniambia kuwa kama mtu anastahili salute hata kama angekuwa amevaa bukta utampigia tu. Ila yule anayepiga kama hajavaa kirasmi wana namna yao ya kutoa heshima. Kwa hiyo katika hili Makonda hana kosa. Najua wenye kuelewa itifaki za kijeshi wamenielewa.
 
Chadema ndio maana mnapata kura elfu 12 kwa majimbo 2..yani vitu kama hivi eti ndio boja zenu
Hivi watu wakikuta umeinamishwa na kukemea utalalama kuwa hizo lawama no Sera za Chadema kwa vile hiyo 0 ni mali yako na ndio maana wanapata kura elfu 12 kwa kufatilia mambo sio yao?
 
Wanasubiria kununuliwa soda vazi sio tija kwao
 
Kuna vitu vya kujadili, ina maana hapo kaonekana makonda tu, mbona hujaongelea kapeti ambalo limechanika na huku yeye ni kiongozi wa mkoa, lkn vipi mbona hujaongelea kina baba wawili wamevaa nguo za kiraia, hawajachomekea kwani wao hawapo kazin au, kwani mlitaka makonda avaaje?
 
Leo kalizua Moshi
 
Hao Polisi wenyewe wako hovyo hovyo....Hakuna Dress code...Wengine wamevaa vazi la field na Viatu vyepesi badala ya boots....wengine wapo kiraia....huyu anangalia huko mwingine Kule..
Yani wote ni shaghalabagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…