Mawakili 386 wajitokeza kumtetea Mbowe Mahakamani 05/08/2021

mmmmh
 
Acha uongo. Unadhani kumtetea mtu mahakamani unajiandikisha kama shule?
 
Bavicha akili zenu ni pumba yani nyie nima popoma wa kiwango cha SGR ndiyo mana nduli mwenyekiti wenu ameziweka akili zenu mfukoni mwake.
Mm sio chadema wala ccm ila mbowe hua nasema huyu jamaa ni kichwa sana maana kaisimamisha chadema na kua chama pinzani kikuuu tz pia kwa misuko suko anayo pata km ingekua mm nilisha acha siasa maana km pesa anayo.Sasa leo unakuta paka moja hata pale mtaani kwao tu hata familia yao wanaliona ni kenge fulani halina hata mbele wala nyuma.Kisa kanununa kitecno chake basi kutwa kumtukana mbowe hebu tumpe heshima yake jamaa na km ana hatia tuache mahakama ifanye kazi.
 
Ficha upumbavu wako mshenzi wewe.
 
Mambo mengine serikali inafanya ya ajabu sana, ona Sasa wanavyoenda kuvuliwa nguo!
Nguo zipi zinazovuliwa kwa serikali,huoni kuwa hao mawakili Ni wafuasi wa chadema wanataka kutengeneza dili la kupiga pesa za chadema.
 
Sioni mwanga mwema kwa nchi yangu,yule IGP Jana katema ya kwake kaondoka ,suala hapa hii kesi hata tusiojua SHERIA tunasema Ni upumvavu kwa hakimu kuendesha kesi ya kihuni Kama hii,Ni matumizi mabovu ya mahakama.
 
Hivi ile hotel iliyo karibu na lenana hotel mwanza ni ya mbowe au sirro?......
 
Mnafiki na mzandiki wewe, adhabu ya kiberiti halali yako
 
Kama ni kesi ya kubambika hata angekuwa 1 anatosha, kama ni halali hata waende 100k haisaidii
 
Sirro kasema ni wakili mmoja tu ataruhusiwa kuingia mahakamani...wengine wote watakuwa waandamanaji....kuvunjwa miguu kutawahusu.

Kesho eneo la mahakama litalidwa kwa nguvu zote ili GAIDI asipate mwanya wa kuteketeza viongozi wa serikali.
 
Hata ukiwa na mawakili 1000 lakini mwisho wa siku anaye toa Hukumu ni mtu mmoja tu.
ila natoa tahadhari isije ikawa ni mbinu na ujanja unao tarajiwa kutumiwa na viongozi wa Chadema kutimiza lengo lao la kuandamana ktk viwanja vya mahakama, hivyo wanajifanya kutumia kivuli eti cha mawakili 386!! eti na wengine bado wanaendelea kujiandikisha!!!
Jeshi la Polisi liwe makini na mbinu chafu yoyote itakayo pangwa, hatutegemei kama Jeshi letu litazidiwa mbinu na wahuni wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…