Mawakili kesi ya Mbowe na wenzake watatu walibadili mbinu baada ya kuona kila pingamizi la utetezi linagonga mwamba

Je unajua kwamba Samia Suluhu Hassan akihojiwa na BBC SWAHILI, alisema kwamba MBOWE ni GAIDI?

Je MBOWE kaacha lini ugaidi? Naomba majibu, na nitakudai
Ghwa Kukajha, mi binafsi ndiyo maana napenda hii kesi iishie huko huko mahakamani. Wao, ndiyo watuambie, kwa USHAHIDI uliotolewa, kuna UGAIDI hapo?
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Hapo namba 5 hapo ni balaa !!
 
Ghwa Kukajha, mi binafsi ndiyo maana napenda hii kesi iishie huko huko mahakamani. Wao, ndiyo watuambie, kwa USHAHIDI uliotolewa, kuna UGAIDI hapo?
Wanatia huruma, walisema DDP na IGP ni mashahidi, mbona wameshindwa kuwaleta mahakamani wale za chambe kutoka kwa Jopo la mawakili wasomi waandamizi wakiongozwa na MAN OF THE MATCH, WAKILI MSOMI PETER KIBATALA
 
Roho mbaya haitawasaidia lolote...

Baada ya hii kesi watu watakuwa makini sana na namna wanavofanya mambo yao

Vile vile Jeshi la police litapoteza uaminifu baina yao wenyewe,,,na wale makomandoo wastaafu wataendelea kuwa walinzi wa mheshimiwa...

Na sasa kina kingai na genge lake wajipange sana
 
Hawezi toka sasa hivi hata kama ameomba watazungusha kesi iendelee
 
Je unajua kwamba Samia Suluhu Hassan akihojiwa na BBC SWAHILI, alisema kwamba MBOWE ni GAIDI?

Je MBOWE kaacha lini ugaidi? Naomba majibu, na nitakudai
Nachojua hata kama ameombwa kumwachia hawezi mwachia sasa hivi ataprove failure.kwahiyo watazungushwa weee siku zitapita.

Mpaka aachiwe lazima kuwe na ushahidi kuwa sio gaid. Sasa nani ataleta ushahidi huo kama sio kuacha kesi iendelee?

Tutaona huko mbele unless kuna makubaliano nje ya pazia
 
Ona sasa nimekosa kupigwa mzinga! ☹️ Haya yote yamesababishwa na yule Swilla! Amenivuruga sana mwezi huu, kiasi hata cha kusahau kama kuna Valentine!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ngoja tuone, maana hadi hapa tumeshaona kiasi na tuna shauku ya kuona zaidi...
 
Ila walishindwa kupangua ukweli kuwa Mbowe alimtumia pesa Urio
 
Kesi imedhihirisha maovu na uwezo mdogo kiakili wa polisi wa Tanzania walio wengi
 

 
Tulisikia pia Mh Hussein Mwinyi naye kuna muamala wake
Hayuko mahakamani. Pili haikuwa kweli msingi wa maneno hayo ni huu hapa chini

Before the law (court) the defense doesn't have to prove anything they say, they can say anything they want, without proving it. What a shame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…