Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vipi!!

Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano leo mzee wa “what is terrorism” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
 
Endelea kufuatilia huenda ukajifunza kitu!

Jaji huyu aliwahi kuitupa kesi huko Mwanza baada ya kujiridhisha kuwa quotes za Sheria zilizotumiwa hazikuwa relevant sawa na pingamizi alilolitupa Leo!

Kasahau kuwa alishawahi kufanya rulling inayofanana na aliyoitupa! Hakufanya kwa maana ya kuwa alisahu bali analinda mkate wake kwani hajiongozi bali anaelekezwa la kufanya!

Haishangazi kwani nchi ina mhimili mmoja TU Kwa sasa yaani executive tangu awamu ya tano!

Je, umejifunza lolote mpaka hapo?
 
Saiv viazi vya chandimu vinadai wasusie mahakama yajayo yanafurahisha [emoji23][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
 
Hapo vipi!!

Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano leo mzee wa “what is terrorism” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
Subiri mwisho wa mwisho. Kuna mtu ataonekana kichaka kabisa
 
mimi ninachokiona mawakili wa serikali wanajifunza kadili siku zinvyozidi kwenda kutokana na mashahidi wao wanavyojieleza.
hivyo wanapoona hali inakua ngumu wanajalibu kulekebisha kwa kubadilisha nyaraka au kuongezea maneno.
na kwabahati mbaya jaji huyu wa sasa anaonekana kuwabeba sana mawakili wenzake wa serikali.
nafikili kesi inge endelea na yule jaji wa mwanzo sizani kama angefanya anavyofanya huyu wa sasa.

LAKINI NAAMINI HAKUNA JAMBO AU TUKIO AMBALO HALINA NAMNA INGINE YA KUFANYA.

kwanini serikali inafanya haya yote juu ya mtu huyu.anaeitwa mbowe!!?

inaonekana wana hofu na chadema.

vyama chungu nzima wamefanikiwa kuviua,lakini chadema ikiwa chini ya huyu jamaa.kila wwnavyofanya inazidi kujiimalisha na kufanya mambo mapya hata serkali yenyewe inashangaa...

kama chadema inaweza kususia chaguz hadi serkali za mitaa,inaondoa hadi wabunge wanaongizwa kwa ubabaishaji.
lakini bado inanguvu.
mabaya zaidi imeweka mkakatu wa kujenga ofisi kuu kila mkoa na wilaya.

kiukweli serikali zetu hizi za kiafrika haziwezi kulala usingizi.

naamini mbowe ni mtu muhimu sana kwenye haya yote.
hivyo hata huko aliko awe muangalifu sana hasa kiafya.
 
Hapo vipi!!

Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano leo mzee wa “what is terrorism” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
......and as for you, tell us now: what is terrorism?
 
Kesi mpaka ije imalizike ni mchakato mrefu. Unaweza kuona kama wanazidiwa, ingawa mimi sioni hivyo. Lakini ujue pia hii ni hatua ya Mahakama Kuu. Bado kuna Mahakama ya Rufaa, ambayo kwa Tanzania ndiyo ya mwisho. Kuna fursa nyingine ya Mahakama ya Afrika Mashariki na ya Afrika (ambazo hukumu zao ni pursuasive), endapo upande usioridhika utaamua kukata rufaa au kupeleka shauri kwenye hizo mahakama. Hivyo, ni mapema mno kuona upande uliozidiwa na above all cha muhimu ni ushahidi unaotolewa ni kwa kiasi gani/uzito gani unawatia hatiani bila kuacha chembe ya shaka watuhumiwa.
 
Kinachofuata sasa ni ushirikina tuuu maana mbinu zote zimesha kata.
 
Hapo vipi!!

Kesi mpaka ije imalizike ni mchakato mrefu. Unaweza kuona kama wanazidiwa, ingawa mimi sioni hivyo. Lakini ujue pia hii ni hatua ya Mahakama Kuu. Bado kuna Mahakama ya Rufaa, ambayo kwa Tanzania ndiyo ya mwisho. Kuna fursa nyingine ya Mahakama ya Afrika Mashariki na ya Afrika (ambazo hukumu zao ni pursuasive), endapo upande usioridhika utaamua kukata rufaa au kupeleka shauri kwenye hizo mahakama. Hivyo, ni mapema mno kuona upande uliozidiwa na above all cha muhimu ni ushahidi unaotolewa ni kwa kiasi gani/uzito gani unawatia hatiani bila kuacha chembe ya shaka watuhumiwa.
Tusubiri tuone ila hii kesi imemkalia mbowe vibaya,na kwa ushahidi ulivyonyooka ..sijui
 
Hapo vipi!!

Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano leo mzee wa “what is terrorism” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
1636523440817.jpg

Mkuu puumbu si mzigo kwasababu ni la kwako.
 
Back
Top Bottom