Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

Tusubiri tuone ila hii kesi imemkalia mbowe vibaya,na kwa ushahidi ulivyonyooka ..sijui
Ushahidi unaungwa na kila shahidi nanatofautiana namwengine ndio kunyooka?

Yaani mnajidhalilisha vibaya sana ham na uwezo mbona jaji anakubaliana na yanayofichuliwa na mawakili wa utetezi kuubariki lakni maamuzi anatoa kichwani mwake bila vifungu vya sheria.

Mtabebwa sana lakni maji yakishamwagika hayazoleki tena.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kesi dhidi ya Mbowe ina faida au hasara gani kwa taifa?
 
Hii hoja ya kubebwa imekuwa ikitumika vibaya na wapinzani..mbona ushahidi wa kwenye kesi ya mbowe upo wazi kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga
Kesi ya Sabaya CCTV camera zinamuonyesha kabisa kavamia duka na anapiga watu, huo ni ushahidi wa kuunga? Au ni wewe tu hujaziona hizo?
 
Tusaidie majibu yaliyotolewa baada ya Wakili Msomi kuuliza kuhusu "What is terrorism na who are terrorists?(Terrorists).Akili siyo nywele...
Hangaya na watu wake wanaenda kuumbuka!
 
Tusaidie majibu yaliyotolewa baada ya Wakili Msomi kuuliza kuhusu "What is terrorism na who are terrorists?(Terrorists).Akili siyo nywele...
Hangaya na watu wake wanaenda kuumbuka!
Haya ni maswali ya kitoto ..niyakuuwauliza watoto wa shule ya msingi.
 
Wanamwita eti ni shujaa , tuone huo ushujaa upo wapi
 
Mkumbushe basi ili shujaa wenu ashinde
 
Mtu kakutwa na Desa huko! Yaani wanafunzi kaingia examination room na desa.
Sema.na hilo
 
Unatumia akili kubwa kujibu hoja za mpumbavu
Pole sana
 
Kama umeacha unafiki embu eleza hayo mapingamizi 'MENGI' yaliyotupiliwa mbali ni mangapi?

Nani asojua jaji anateuliwa na MTU anayetamani Mbowe afungwe!! Na pengine afe kabisa!! Ili asiteseke kuiba kura.

Ni marangapi wamemshitaki Mbowe na wenzie na washtakiwa wakashinda sanyingine kwenye rufaa ikiwemo kesi ya mdada alopigwa risasi na mafulishi (sivyema kumtaja)...

Kwanini mnakuwaga wazito kuelewa na kukumbuka? Au ubongo wenu uko makalioni unachanganyika na mafi???
 
Mkumbushe basi ili shujaa wenu ashinde
Bado anajievalute! Na baadaye atachagua kutumikia maagizo au taaluma yake! Na inavyoonekana atausikiliza moyo wake na kuamua kuitendea haki taaluma yake na kutenda haki! Nimkumbushe TU, na kukukumbusha na wewe kuwa Mungu wa haki hadhihakiwi kamwe kwani hutenda na kujibu maombi magumu!
 
Haya maneno tumeshayazoea ndio kichaka chenu cha kujifichia
Nijuavyo hata mazuzu ni matajiri, hivyo tusikariri kuwa anayeweza kuwa tajiri ni mwenye haiba Fulani, pekee, na utajiri upo anuai hata utajiri was ujinga,chuki,choyo,roho mbaya,ukatili upo.
 
Kiini macho tuu...mahakama na SERIKALI wameandaa hii kesi....mahakama inatoa nyaraka kwa mashaidi....na wanaendelea kukaa Kama semina kadri kesi inavyoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…