Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

Mkuu ilikiwaje lile desa likapenya toka stoo hadi kizimbani ?
 
Kweli Mungu katupa haki ya kutoa mawazo watu wote tunaouvuta pumzi. Hata wewe pia!
 
Wewe acha bangi, hujui mantiki ya wakili kuweka pingamizi, unaongea tu upumbavu upumbavu humu wakati wewe ni Layman. You're nothing but a lunatic.
 
Katika kesi hii nimeshuhudia utofauti kubwa mno kati ya Mawakili wa umma na Mawakili wa Kujitegemea. sijui wenzangu na nyie mme -note hii kitu, bila mkakati na Jaji - sijui kama hii kesi ingekuwa hai hadi leo.
 
Wacha wasusie waone anafungwa na viboko juu
Mfano akifungwa wewe personally utafaidika na nini? Wenzako wanagombea madaraka na wengine wanatetea ugali wao hapo mahakamani, sasa wewe mwenzangu na miye unafaidika na nini hasa?
 
Mfano akifungwa wewe personally utafaidika na nini? Wenzako wanagombea madaraka na wengine wanatetea ugali wao hapo mahakamani, sasa wewe mwenzangu na miye unafaidika na nini hasa?
Huyo sio mwanasiasa ni guidi mwenye kampuni yake ya chadema
 
Acha mihemmko ya kichama
Au hujui kusoma vyema kutokana na akili yako nyembamba.
Kwa ufupi mawakili wa Mbowe ndio best of the best ukilinganisha na hao wa ccm. Jaji ndie anawabeba!
 
Hao mawakili wa Mbowe wapo kimkakati,na wanajua wanachokifanya.pamoja na hayo mapingamizi kutupwa,lakini wanasheria hao ile tu kugundua hizo weakness inaonesha wako makini Sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu huo ndio ukweli, inaonekana wameshajua mchezo mzima umepangwa kuanzia jaji hadi mapolisi. Hawa wanakusanya vilelezo wakamchomoe mahakama ya Rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…