Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

Yaani wewe ndio sifuri kabisa kwanza hujui hata kama kinachoendelea mahakamani ni kesi ndogo ya kuhusu namna ya ukamataji? Na hapo kesi ya ugaidi bado haijaanza jifunze kusoma kabla hujakirupuka
Watu wengi wasichokijua ni hiki. Kesi ya Mbowe bado hata haijaanza.
 
Niliwaza hivi ila nikahisi kwakuwa ikisikilizwa kwanza kesi ndogo katika kesi ya msingi nikaona bora niache kwanza, ila kwa hisia zangu naona kabisa Mh Mbowe uenda akatiwa hatiani lakini wanajaribu kuwahi asifikie huko na ndiyo maana wameenda kufungua kesi mahakama ya kimataifa kupinga kukatwa kwa Mbowe kama kulikiuka haki zake.

Ameongea vizuri mchangiaji mmoja hapo juu kwamba kesi ya msingi ya ugaidi mbona bado haijaanza kusikilizwa?? Umeelewa hilo? Kinachofanyika sasa ni kesi ndogo kuonyesha kwamba washtakiwa waliteswa sana ili wakiri kosa, na ndiyo maana mambo yanayoibuliwa kama washtakiwa eti kupewa nyama choma, ndizi na Mo Energy ya baridi yanayoelezwa na mashahidi yanalenga kuwaaminisha watu kwamba washtakiwa hawakuteswa. Pia yale maswali konki ya kwa nini washtakiwa walitolewa Cetral police na kupelekwa kituo cha Mbweni (ambako inasemekeana ndiko walikokuwa wanateswa) yanalenga kujenga hiyo hoja ya uteswaji; pia ukamataji usiofuata taratibu (PGO) nao umekuwa issue kubwa ikiwemo utaratibu mbovu wa kumsachi mtuhumiwa (Kwa mujibu wa PGO kabla ya kumsachi mtu polisi anayetaka kusaji na yeye husachiwa kwanza ili asijembambikia mtu kitu). Sasa hizo zote ni hoja za msingi sana kwa sababu ndizo eventually zitachangia kuthibitisha kwamba mashtaka yote yana msingi wa kisheria au laa.
 
Ila hivo vitu ni vyepesi sana either case kubwa au ndogo vingi ushabiki tu
Hakunaga kitu kidogo mahakamani. Then pia katika haki za binadamu hakuna kitu kidogo. Unaweza kuona hayo yanayoulizwa hapo mahakamani ni kama mambo ya kitoto lakini mpaka muda huu impact itakuwa ni kubwa sana.

Itabadilisha sana jinsi jeshi la polisi linavyojiendesha kwa kuondoa ile tabia ya kufanya kazi kwa mazoea (bila kufata Police General Order). Pia kwa upande mwingine sisi raia ambao ni ma layman wa sheria tunapata kujifunza na kutambua haki zetu.

So mimi nadhani sio jambo dogo kama unavyofikiri. Ni kesi moja ya msingi sana.
 
Mtuhumiwa mlimkamata akiwa anakunywa supu au anatembea? tayari swali hilo la wakili msomi halafu baada ya jibu hakuna kinachofuata yaani alikuwa na maana gani kuuliza swali kama hilo
Hilo swali lillilenga kuonyesha tofauti ya majibu kati ya mashahidi wawili waliohusika kuwakmata watuhumiwa.Na hili msingi wake ni kuonyesha kuwa ushahidi ni wa kupikwa.Tukio moja mmefanya pamoja kwa nini majibu yawe tofauti?
 
Hakunaga kitu kidogo mahakamani. Then pia katika haki za binadamu hakuna kitu kidogo. Unaweza kuona hayo yanayoulizwa hapo mahakamani ni kama mambo ya kitoto lakini mpaka muda huu impact itakuwa ni kubwa sana.

Itabadilisha sana jinsi jeshi la polisi linavyojiendesha kwa kuondoa ile tabia ya kufanya kazi kwa mazoea (bila kufata Police General Order). Pia kwa upande mwingine sisi raia ambao ni ma layman wa sheria tunapata kujifunza na kutambua haki zetu.

So mimi nadhani sio jambo dogo kama unavyofikiri. Ni kesi moja ya msingi sana.
Yani jeshi hili la police libadilike kisa kesi hii , nadhani huwajui vizuri police wa nchi hii au unajisahaulisha.
Hyo case ndogo vitu ni vidogo na hvo vyote ni kupoteza mda na mbowe atasota na kuachiwa late hapo chama kinakuwa kimezorota na kushindwa kuji establish ndio lengo la case Sasa kuchelewesha itakula kwa mbowe
 
kwa hivyo unakross examine kufatana na elements hizo ili kuibua mashaka......
You have nailed it brother....the burden ya walalamikaji ni ku prove their case beyond reasonable doubt! na kazi ya upande wa utetezi ni ku create reasonable doubts....ndicho wanachojaribu kufanya Kibatala na wenzie kwenye hii kesi ya Mbowe...kuonesha kuwa kuna mashaka makubwa juu ya hii kesi!
 
Unakataa maswali ya hovyo kwa kupendekeza yasiyo ya hovyo huku ukiuliza ya hovyo!Bongo Raha sana na Mimi nimejifunza leo kuachana na Mambo ya hovyo!
 
Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.

Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi wanaomba kwenda msalani). Binafsi, naomba niwe tofauti. Mawakili wengi wa Kitanzania wanafanya mambo mengi kwa kukariri.

Ningependa maswali yafuatayo yaulizwe, either ndani au nje ya mahakama.

1. Je, Serikali imewahi kumhukumu au kumtuhumu Mbowe kwa tukio lolote la ugaidi ambalo liliwahi kufanyika ndani au nje ya nchi?

2. Ni kawaida sana kuona vikundi vya kigaidi vikiwa na majina ya kujitambulisha. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, kikundi cha kigaidi anachodaiwa kuongoza Mbowe kinaitwaje?

3. Mbowe anajulikana zaidi nchini kama Mwanasiasa. Ugaidi kwa tafsiri ni lazima uwe na agenda fulani. Je, kwa mujibu wa uchunguzi wa Polisi, nini ni agenda ya kundi ambalo analodaiwa kuongoza Mbowe?

Sitegemei kama upande wa Mashtaka umejiandaa kujibu maswali ya namna hii hasa kama yataulizwa mwanzoni kabisa wa kesi. Majibu ya haya maswali kutoka kwenye vinywa vya upande wa mashtaka yana implications kubwa sana baada ya kesi, whether Mbowe amefungwa au ameachiwa huru.

Mawakili wa Mbowe, acheni kukariri kuhoji mapungufu ya technicalities. Hata kama kuna upungufu huko, kuyakomalia hayo hakuwezi kufanya kesi ifutwe kirahisi kama mnavyodhani. Nendeni moja kwa moja kwenye msingi wa kesi.
Haraka ya nini?
Si ungengoja kesi iishe ndo ulalame?
La sivyo kajiunge upande uutakao pale mahakamani.
 
😁😁😁
UP6ii.jpg
 
Mkuu, usidhani sikuelewi au sijui unachokisema. Nadhani tofauti yetu ni mtazamo wa kwa nini kesi hii imefunguliwa in the first place. Kwa jinsi mawakili wanavyokalia maswali ya namna hii, ndiyo adhma ya serikali inapotimia, ambayo kwa upande wangu nadhani ni kumtoa tu Mbowe kwenye ulingo wa siasa kwa muda fulani. Hawana nia ya kumfunga Mbowe, hilo mimi naamini kabisa.

Waachane na preliminary examinations hizo, kama maswali ya msingi kama niliyosema hayawezi kuulizwa wakati huu, waipe pressure serikali na upande wa mashitaka kwa kuomba kesi iende kwenye trial na judgement haraka halafu wakayaulize haya maswali huko. Hilo litawavuruga zaidi maana nia ni kuipeleka kesi taratibu kwa jinsi inavyowezekana.
Sawa mkuu, kimtazamo tu, umesikia malalamiko ya watuhumiwa wale watatu jinsi wanavyosema walitembezewa kipigo Cha mbwa koko?

Sasa lazima upande wa utetezi wajihami kuwaokoa. Hapo walipo kwenye kesi ndogo ndiyo inaatafuta ukweli ulipo. Kesi kubwa itakuwa ni rahisi kupata majibu na kufikia mwisho.
 
Yani jeshi hili la police libadilike kisa kesi hii , nadhani huwajui vizuri police wa nchi hii au unajisahaulisha.
Hyo case ndogo vitu ni vidogo na hvo vyote ni kupoteza mda na mbowe atasota na kuachiwa late hapo chama kinakuwa kimezorota na kushindwa kuji establish ndio lengo la case Sasa kuchelewesha itakula kwa mbowe
Okay ifikie mahali nisema kuwa that's a matter of perspectives. Seems kuwa wewe umeshaamua kuwa hilo ni suala dogo na halina maana kwa mtazamo wako. Basi niseme tu kuwa niliyoyaandika hapo juu ni mtizamo wangu wala sio lazima uwe sawa na wako mkuu.

Tuokoe muda.
 
Yaani wewe ndio sifuri kabisa kwanza hujui hata kama kinachoendelea mahakamani ni kesi ndogo ya kuhusu namna ya ukamataji? Na hapo kesi ya ugaidi bado haijaanza jifunze kusoma kabla hujakirupuka
Kilaza bush lawayer amekurupuka tu huko alipotoka anaandika maruweruwe yake tu hapa.
 
Back
Top Bottom