Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Pesa zipo chimbo, hawezi kuziweka kwenye acc wapige msako kwenye nyumba zakeLazima huyu jamaa ac zake zimenona
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa zipo chimbo, hawezi kuziweka kwenye acc wapige msako kwenye nyumba zakeLazima huyu jamaa ac zake zimenona
Ova
Plea bargaining mayo ni hearsay?Nilidhani wana fact kumbe hear say! Ushahidi ukiwa wa wazi na upo sahihi wamfungulie mashitaka sio kukurupuka na barua za kishabiki.
Vip kuhusu CAG na Spika kwa Tanzania?Sema tu kwa vile ni Tanzania.
Jaji haondolewi kizembe sehemu nyinginezo.
Kaa kimya ili uisitiri udhalilishaji wa familia yako dhidi ya upumbavu huu. Mwaka 2016 Magufuli alianzisha mfumo wa malipo ya Serikali kwa Control number. Ni kitu gani kilichosababisha kupokea hela za plea bargain kwa hard cash?Ushahidi wao ni baada ya Rais kutamka generalities. Hawa 2 walihukumiwa makosa ya jinai wana chuki binafsi, kikawaida hela za serksli hulipwa kwa wahasibu zikakaa kwenye strongroom au safe hazikai nyumbani kwa DPP.
We ndio unachekesha... hujui hata CAG ni whisle blower ( Watch dog) tu maelezo yake ni starting point not final... Ulisikia wapi CAG anamchukulia yeyote hatua zaidi ya recommendition to other inforcement institutions.... jifunze majukumu yake ndio uje kunikosoa. Unless otherwise ni hear say.Uelewa wako una hitilafu. Unaelewa maana ya tuhuma?
Reoort ya CAG, unaita ni hearsay?
Kwa maelezo yako haya tukisema 'Rais' ndiye muhimili mkuu (kiongozi wa mihimili yote) tupo sahihi kabisa sio ?.....Umeenda kusoma au umekurupuka?
Aisee kazi tunayo Tena kubwa sana
Kasome ibara 110 ibara ndogo ya 6 na ya 7 kwa pamoja na ibara ya 120 ibara ndogo ya 5 mbona mnakuwa wazito hivi enyi watu? Kuundwa kwa hiyo tribunal board kunategemea na utashi wa Rais .
halazimishwi na katiba Wala mtu yeyote.
ndio maana katiba ikasema "rais akiona inafaa"
Nimebold ili angalau wewe na wenzio muelewe, acces katiba soma hizo ibaraka katika katiba halafu uje!
Hivi tofauti ya lawyer na advocate ni ipi? Je, anayekuwa na muhuri ni lawyer au advocate?
Mkuu DolphinT , asante umemjibu vizuri, na kwa kuongezea tuuMaswali mengine ujiongeze hata huko mtandaoni!
Mtu yeyote aliyesoma Sheria Ni lawyer au mwanasheria na anatoa msaada tu wa kisheria wakati advocate Ni mwanasheria au lawyer ambaye ameidhinishwa kufanya kazi za kisheria mahakamani Kama uwakili nakadhalika! Mfano ukimaliza chuo kikuu pale mlimani Sheria wewe Ni mwanasheria Ila ukienda kusoma pale school of law ukimaliza tutakuita advocate! Au wakili
The difference between an advocate and a lawyer is that the advocate is a licensed professional who has the right to practice law. Lawyers can only provide legal assistance to clients, while attorneys can represent clients in court. Generally speaking, anyone who has a legal education is considered to be a lawyer.27
HUU ni uhuni wa hawa mawakili na hii barua yao hakuna mtu aliyetoa hela kwenye pre bagain bila kukubali mwenyewe na kusign kuwa anakubali mbona lugemalila hakukubali na hakutoa hela huyo tito alikubali kwakuwa alikuwa na makosa akaona asiozee jelaakatoa pesa sasa unakuja kuona ulionewa wakati ulisaidiwa ili uwe hurur? mganga hana kosa hata kidogo mnajisumbua tu kumchafua
Sawa kabisa. Umelielewa swali langu. Je kusema certified lawyer ni sawa?Mkuu DolphinT , asante umemjibu vizuri, na kwa kuongezea tuu
P
- Mtu yoyote aliyesoma sheria yoyote ni lawyer, lakini advocate ni wakili anaye practice law.
- Kila advocate ni lawyer ila sio kila lawyer ni advocate
- Ili mtu kuwa advocate ni lazima usomee sheria kwa level ya LL.B lakini ili mtu kuwa mwanasheria unaweza kusoma certificate in law, ordinary diploma in law inaitwa ODL, au kusoma degree nyingine yoyote kisha ukafanya LL.M yaani masters of law, unakuwa ni mwanasheria lakini huwezi kuwa wakili!. Ili uwe wakili lazima kwanza usome LL.B kisha upite Law School of Tanzania.
- Advocate is an officer of the court, hivyo kila wakili ni afisa wa mahakama wakati sio kila mwanasheria ni ofisa wa mahakama.
- Kuna watu wengi sana wamesomea sheria na kuhitimu LL.B lakini sio mawakili kwasababu hawajaomba kuwa mawakili. Miongoni mwao kuna majaji, mahakimu, wahadhiri wa vyuo Vikuu ambao ni wanasheria wabobezi na wabobevu lakini sio mawakili.
- Ili kuwa wakili unaomba uwakili kwa Jaji Mkuu in a form of petition, ukikidhi vigezo, anapangiwa ku appear mbele ya Jaji Mkuu kuhojiwa na CJ mwenyewe in person siku hizi ni through Video Conference ya one to one.
- Sheria ya Law School imeanza mwaka 2008, hivyo mawakili wote waliohitimu kabla ya hapo walikuwa wanapata uwakili kwa ku petition only na ku appeared mbele ya Jaji Mkuu. Sasa lazima upite Law School of Tanzania
- Sio kila wakili lazima afanye kazi ya utetezi mahakamani, mawakili wengine ni mawakili wanaotoa Legal Opinion only ambao ni ushauri wa kisheria na hawaendi mahakamani.
- Hakuna umri wa mwisho wa kusomea sheria wala hakuna combination rasmi ya kusomea LL.B ukisoma chochote katika umri wowote au professional nyingine yoyote, unaweza kusomea LL.B. Prof. Pius Ng'wandu alikuwa na masters 3 na Ph.Ds tatu lakini at 65 years alisoma LL.B OUT na kuhitumu kisha akasema LST na kuwa wakili at 70 years!.
- Kwa vile Tanzania inafuata mfumo wa sheria wa English law, advocates wa nchi za Jumuiya ya Madola, hawahitaji kufanya petition to practice in Tanzania, wanahitaji just to register only!. Ili kuwa advocate UK sio lazima kuwa na LL.B, wakili maarufu Tanzania, Murtaza Lakha hakusomea sheria yoyote popote and he was the best!. Hivyo miongoni mwetu kuna Watanzania ambao can make the best advocates lakini hawakusoma sheria kama ambavyo mwandishi Martin Maranja Masese anafanya the best court reporting kuliko media yoyote.
Labda ni lugha tuu, ni certify ni kuthibitisha, kwenye lawyers certified ni advocate na sio certified lawyer, neno certified ni mtu yoyote aliyethibitishwa kufanya jambo husika kama certified accountants, certified doctors, etc.Sawa kabisa. Umelielewa swali langu. Je kusema certified lawyer ni sawa?
Kusema Certified Lawyer ni sawa na kusema Advocate?Labda ni lugha tuu, ni certify ni kuthibitisha, kwenye lawyers certified ni advocate na sio certified lawyer, neno certified ni mtu yoyote aliyethibitishwa kufanya jambo husika kama certified accountants, certified doctors, etc.
P
Huwezi kuwatenganisha JPM na Saa 100 - wote wawili walikula sahani mojaAliyekuwa Makamu wa Rais enzi hizo uzalendo wake upo wapi?. Huyo ndio suspect no. 1
Kipindi cha Magufuri na kipindi hiki cha huyu Rais ni kipindi ambacho nchi imeongozwa bila utaratibu ndiyo maana haya yote tumeshuhudia yakitokea mfano:-Kupigwa Risasi Tundu Lissu akiwa mbunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye eneo lenye ulinzi wa kila namna,Kuondolewa kwa CAG Professor Assad bila utaratibu kisa kagundua ubadhirifu mahali fulani hasa palipokuwa panamhusu mheshimiwa Rais,Kujiuzulu kwa Wabunge kwenye Chama fulani na kugombea Ubunge huo huo na watu wale wale jimbo lile lile kupitia chama tawala na kushinda kwa nguvu,Kukataza mikutano ya vyama vya siasa,kujizulu Uspika kwa bwana Job Ndugai,kuwepo wabunge 19 Bungeni ambao chama chao hakiwatambui.Sema tu kwa vile ni Tanzania.
Jaji haondolewi kizembe sehemu nyinginezo.
WABUNGE 19 WAPO KIHALALI KUTOKANA NA KUGUNDULIKA KWA UHARAMU WA CHADEMA KUWAFANYA KAMA CHOMBO CHA KUJISTAREHESHA WAKUU WA CHAMA NDIYO WAPATE UBUNGE HAO WAPO KIHALALI WALITAKA KUWEKA WENGINE KIHARAMU WAKASHTUKIWAKipindi cha Magufuri na kipindi hiki cha huyu Rais ni kipindi ambacho nchi imeongozwa bila utaratibu ndiyo maana haya yote tumeshuhudia yakitokea mfano:-Kupigwa Risasi Tundu Lissu akiwa mbunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye eneo lenye ulinzi wa kila namna,Kuondolewa kwa CAG Professor Assad bila utaratibu kisa kagundua ubadhirifu mahali fulani hasa palipokuwa panamhusu mheshimiwa Rais,Kujiuzulu kwa Wabunge kwenye Chama fulani na kugombea Ubunge huo huo na watu wale wale jimbo lile lile kupitia chama tawala na kushinda kwa nguvu,Kukataza mikutano ya vyama vya siasa,kujizulu Uspika kwa bwana Job Ndugai,kuwepo wabunge 19 Bungeni ambao chama chao hakiwatambui.
Sheria ya wapi hiyo inayowaruhusu Wabunge 19 hao kuwemo Bungeni?WABUNGE 19 WAPO KIHALALI KUTOKANA NA KUGUNDULIKA KWA UHARAMU WA CHADEMA KUWAFANYA KAMA CHOMBO CHA KUJISTAREHESHA WAKUU WA CHAMA NDIYO WAPATE UBUNGE HAO WAPO KIHALALI WALITAKA KUWEKA WENGINE KIHARAMU WAKASHTUKIWA
majina yalipitishwa na chedema na mnyika akapeleka majina fasta walipoona wamekosea kuna utamu wa watu umeachwa wakatakakwenda kuwatoa kina mamawakawahi kwenda kuapishwa mnafanya hao viburudisho vyenu muwageuze mnavyotaka mdee kawashtukia na ndiyo aana kesi haiishi chadema hawana hoja zenye nguvuSheria ya wapi hiyo inayowaruhusu Wabunge 19 hao kuwemo Bungeni?