Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

WAUKAE Jafo ametisha aisee!!!
 
Asante Mkuu umenielewa, ni wakati sasa vyuo vyetu TZ vichukue hii system kwamba huwezi kudefend thesis/dissertation bila kupublish paper inayoendana na research yako uliyofanya, na hiyo paper uipeleke kwenye journals zinazoeleweka duniani
 
Mwambie huyo jamaa...hajui na ni mbishi hatari...huyo hata masters hana...nimemjibu hat haelewi maskini ya Mungu ubishi tu wa wabongo hat kama kitu hajui.
 
Tayari TCU wameiweka hiyo regulation lakin vyuo havisimamii..
Only Nelson Mandela hutoi mguu pale bila kupublish kwenye SCI/expanded journals wengine wanakusanya dissertation tu.
 
Mwambie huyo jamaa...hajui na ni mbishi hatari...huyo hata masters hana...nimemjibu hat haelewi maskini ya Mungu ubishi tu wa wabongo hat kama kitu hajui.
Chief ni kwamba watu huwa wanabeba mambo ya mitandaoni mazima mazima, PhD bila research na publication kwenye reputable journal hiyo siyo PhD, Hiyo ni Advanced Masters
 
Tayari TCU wameiweka hiyo regulation lakin vyuo havisimamii..
Only Nelson Mandela hutoi mguu pale bila kupublish kwenye SCI/expanded journals wengine wanakusanya dissertation tu.
Wanazuoni wapambane na hilo, bila kupublish sehemu inayoheshimika usijiite Dk.
 
Barack Obama ni University Professor/ Juryprudence Doctor lakini sijawahi kuona anatumia hizo prefix labda kwenye CV
 
Ila pia kuna kauafadhali ka kusoma ukiwa waziri mtu mzito, mtu maarufu wa serikali, maana maprofesa watakupapatikia, wengine watajipendekeza kukupa marks kubwa, kuutafuta uchawa (wakijua utawabeba kwa siku za usoni)

Tofauti na yule asie na umaarufu wowote anae haso mwanzo mwisho bila kupendelewa. Nahisi hapo ndipo utofauti wa degree, masters na Phd zao na za watu wengine unapoanzia.
 
Hongera brother Jaffo Hongera Sana Brother Jaffo
 
Uko kazini muda wote, ati unahitimu! Ndio maana ma daktari wa PhD hawanactija yoyote kwenye nchi.
 
Sijawahi kusikia mzaramo ambaye ni PhD holder, labda iwe ni PhD ya uswahilina......haya yatakuwa ni moja ya maajabu ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…