Mawaziri waliotemwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Ardhi inateswa na rushwa sn
 
Yule naibu wa Maliasili kwa kweli ni zero kabisa.Kama January tu.Sema Mary na Ms Mabula wana damu ya kunguni.Maana January kabadilishiwq wizara pamoja na kuvurunda.
 
Walistahili kufukuzwa.Bado wafuatao

Ndunguru
Chana
Siluswa
 
Yeyote mwenye accomplishment za mama mabula.azisema hapa. Naona alipwaya sana zaidi ya kujipigia chapuo eneo la NHC la kawe packers kujitwalia
 
Hadi leo hii serikali yetu ina wizara gapi?
 
Waliostahili kuachwa ni
1. Mzee wa mawe.
2. Kaka yake na Februari,
3. Nape
4. Chana,
5. Masauni,
6. Makame.........
 
Nakupa pole humjui Jerry Silaa, hapo ndio amepata fursa ya kutengeneza pesa za kampeni.

Wengi huwa hamjui kama Jerry ni Mchaga.
 
Waliostahili kuachwa ni
1. Mzee wa mawe.
2. Kaka yake na Februari,
3. Nape
4. Chana,
5. Masauni,
6. Makame.........
Ukiwaacha hawa kwenye hilo bunge la Mahoka utamteuwa nani?

Tatizo linaanzia kwa aina ya watu wanaopitishwa kugombea ubunge


Dawa ya jambo hili wabunge wasiwe mawaziri, Rais awe na mamlaka ya kumteuwa Mtanzania yeyote kuwa Waziri.
 
Kwa nini wale wenye vinasaba na Kanda ya ziwa wanaachwa? Je ni kwa sababu hua ni wazarendo ? Mashimba Ndaki mwenyewe alisha pigwa chini, ila sisi wananchi tunajua watu wa Kanda Ile ni wazarendo na wapiga kazi
 
Huyo Mabula Jimbo la Ilemela Lina Barabara mbovu balaa,bora akae kando!
 
Kweli Mkuu hiyo Barabara Mimi tangu nipo mdogo na sasa Nina miaka 40,naenda Mwakaleli kwa Babu Barabara hiyo haina lami mpaka leo,achilia Mwakibete pia Mwandosya kwao pia aanapita hiyo njia,sasa sijui shida ni nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…