M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Untouchable or not, we ain’t retreating. Mpumbavu gani ajipeleke kutekwa, mlipojitambulisha mkamshusha Ali Kibao kwenye basi vizuri kabisa kwa kuwa aliwapa ushirikiano and guess what?!?! It’s better to die fighting na si kujipeleka kama kuku mwenye mdondo.Mexcence Melo si untouchable. Atoe ushirikiano. La sivyo na asije kuanza kulialia kama wengine. Atoe ushirikiano mambo yeshe. Ninyi mnaojifanya mnamtetea Melo mnamwingiza mkenge tu. Hamkusaidia Lissu, Mdude wala Askofu Gwajima.
We kama umekua muoga humu tu je mtaani live si ndio punga kabisa mitanzania mioga sana Yani humu tu unajambajamba hivi je ukioneshewa Bomba la bunduki usoni si utajinyea bila mpangilioSasa wewe shujaa na sio muoga kafanye harakati hizo live mtaani ..wahuni tunajua mipaka yetu...inawezekana mtaani mimi nawewe tukionana..wewe ni mtoto wa mama kabisaaaa😃😃😃.... leo dada
We ni lioga sana yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi aisee kazi ipo Kwa akili hizi za uoga Hadi mtandaoni live si ndio utajinyea mavi debeSawa mimi hata ukiniita mama nakubali...ila hao jamaa sio watu wazuri ukiingia anga zao..Usilete ushujAa wa jack chan kwenye maisha halisi
We ndio fala mkubwa, hakuna anayetukana, ila wanaeleza jinsi mtu alivyo.Namshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
Kwa nini unadhani Maxence Melo watu wanadhani ni "untouchable"? Yaani hii sentensi uliyoandika imetokana na nini?Mexcence Melo si untouchable.
Sawa..wewe ambae sio muoga jitokeze mtaani...We kama umekua muoga humu tu je mtaani live si ndio punga kabisa mitanzania mioga sana Yani humu tu unajambajamba hivi
Sawa wakija kukupaka mafuta ukiwa peke yako bila moderators wala founder wa JF kuwa karibu ndio akili itakukaa sawaWe ni lioga sana yaani mtandaoni tu unakua lioga hivi aisee kazi ipo Kwa akili hizi za uoga Hadi mtandaoni
RabaikaTunasemaga humu kula siku hawa TISS ni kundi la vilaza hawana merit yoyote ya kuitwa usalama wa taifa, kwanza wote wana vitambi na kaunda suti zao, unakwenda kuvamia chombo cha habari za mtandao.
Hawana kazi ya kufanya vilaza hao, ndio maana Kagame anatucheka sana
Kwani hapa ni mtaani tunaongelea hapa kama umekua lioga hapa sehemu amabayo hata risasi haikugusi ila unajinyea Kwa kusikia jamaa wamevamia jamii forum head quarter nakutazama jinsi Gani ulivyokua punga aiseeSawa..wewe ambae sio muoga jitokeze mtaani...
We ulishapakwa mafuta na uliruhusu vipi mtoto wa kiume upakwe mafuta aisee kumbe ndio maana umekua lioga hivi kumbe uliuponzaSawa wakija kukupaka mafuta ukiwa peke yako bila moderators wala founder wa JF kuwa karibu ndio akili itakukaa sawa
Pimbi gani?titomagoti kamjibu vizuri sana huyo pimbi
Kwa hiyo mnatafuta muumpe vinyeo vyenuMexcence Melo si untouchable. Atoe ushirikiano. La sivyo na asije kuanza kulialia kama wengine. Atoe ushirikiano mambo yeshe. Ninyi mnaojifanya mnamtetea Melo mnamwingiza mkenge tu. Hamkusaidia Lissu, Mdude wala Askofu Gwajima.
TISS = UVCCMTunasemaga humu kula siku hawa TISS ni kundi la vilaza hawana merit yoyote ya kuitwa usalama wa taifa, kwanza wote wana vitambi na kaunda suti zao, unakwenda kuvamia chombo cha habari za mtandao.
Hawana kazi ya kufanya vilaza hao, ndio maana Kagame anatucheka sana
Thank you madamKwani hapa ni mtaani tunaongelea hapa kama umekua lioga hapa sehemu amabayo hata risasi haikugusi ila unajinyea Kwa kusikia jamaa wamevamia jamii forum head quarter nakutazama jinsi Gani ulivyokua punga aisee
Sasa wewe mtoto wa kiume jitokeze mtaani..umekaa kwa shoga zako una type uharo😀😀😀We ulishapakwa mafuta na uliruhusu vipi mtoto wa kiume upakwe mafuta aisee kumbe ndio maana umekua lioga hivi kumbe uliuponza
Angejua angekaa kimya tuBarua ya wito inapelekwa na mitutu😀😀
JF isn't for the weak, kakune nazi.Acha kujipa moyo wewe...yule akishikwa hana ubavu wa kujizuia..hakuna mkakamavu kwenye kubinywa kende
Soma comment yake utanielewaPimbi gani?