Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
tawire mkuu..!Hawataweza Kwan ni mara ya kwanza kumkamata Melo?
Hawa viongozi kilichobaki ni kuwasomea albadiri tu kama sio kuwaroga kabisa
Katika Makatibu wakuu kuwaihi kutoke wenye mienendo isiyoridhisha ktk wizara hiyo ni huyu.
Hiyo distance ya ukaaji nimeielewa sana
Hilo sasa si uwaulize waliowasilishiwa, mbona unatuuliza sisi? Instinctive reaction ya Msaliti ni kutukana na jambazi kukimbia, ya Rais mwema ni kutoa ushirikiano."Maafisa wa serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums" Gerson Msigwa.
Barua ya wito kwa jambo gani; na ushirikiano upi anaotakiwa kuutoa Maxence?
Itakuwaje JF waseme "uvamizi" kwa maofisa wanaokwenda kuwaslisha barua ya wito?
We Umeonesha ushoga wako humu kabisa yaani dume Zima umepakwa mafuta aisee hii kaliSasa wewe mtoto wa kiume jitokeze mtaani..umekaa kwa shoga zako una type uharo😀😀😀
Wewe si uko pandemic wao?So tujue hiki kitu siyo poa
Kile kitambaa cha zile suti, mita inauzwa shilingi 800, ni zile materials rejectkaunda suti zao
Actually sijawahi ona Msigwa mwenye akili rejea yule mchungaji Msigwa, mostly ni pompoma na wasaka ubwabwa, Katika namna ambayo amejibu ndo ameuinua ujinga wake ambao hata ma-boss wake hawakuwahi kuujua;
Actually sijawahi ina Msigwa mwenye akili, mostly ni pompoma na wasaka ubwabwa, Katika namna ambayo amejibu ndo ameuinua ujinga wake ambao hata ma-boss wake hawakuwahi kuujua;
1. Serikali ina utaratibu wake wa kuwasilisha barua ni either kwa kutumia wahudumu wa ofisi, madalali au wanasheria inategemea aina ya barua tena wakiwa na dispatch, hakuna haja ya kuambatana zaidi ya wawili unless ni baruti na sio barua!
2. Jana ni siku ya mapumziko ofisi ipi ambayo ilikuwa wazi jana kwa ajili ya shughuli za kiserikali? Nini kipo nyuma ya pazia?
Wewe ndio wa kwanza, ntamtumia Mello jina lako pm ukamatwe upigwe sanaWe ndio fala mkubwa, hakuna anayetukana, ila wanaeleza jinsi mtu alivyo.
Mfano huo hapo juu. Huwezi sema nimekutukana, nimeeleza jinsi ulivyo
sis tuchulie tunatafutwa kama sio kuchunguzwa..hapo je* mwenye Ofisi anasema walivamia;
* Msemaji wa Serikali anasema hawakuvamia.
* Sisi tuchukuwe lipi?
Rambo part ISawa mimi hata ukiniita mama nakubali...ila hao jamaa sio watu wazuri ukiingia anga zao..Usilete ushujAa wa jack chan kwenye maisha halisi
Kutitomagoti kamjibu vizuri sana huyo pimbi
Wewe baba yako kama anakaa na wewe kwenye kilabu za mataputapu shauri yake, huyu mzazi wake anamuweka kwenye nafasi
Tumefika pahala pa kuchekwa na Rwanda?!