Hawana nameno mengi wao ni ku like na comment fupi fupi tu.
Hv mumeo alikuacha!? Au bado upo kwenye ndoaNamshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
Aanze na weweNamshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
Mzee anafahamu protocol za kiusalama..Hiyo distance ya ukaaji nimeielewa sana
Ova
Yeye mwenyewe hawajuiNamshauri Mello akawatqje watu wanaotukana matusi hapa JF, wakamatwe na polisi
Utaona tu comment zao mfano.... (aisee...kumbe. kazi kwelikweli)πππHawana nameno mengi wao ni ku like na comment fupi fupi tu.
Ila nusu ya wana jamii forums wangekuwa hivyo au robo tu hili jukwaa lingekuwa halipo, lipo hapa kwa maoni mazito ya wanachama.
Thank you madam..We Umeonesha ushoga wako humu kabisa yaani dume Zima umepakwa mafuta aisee hii kali
Sawa...ila ukikutana na chatu ana kwa ana...aloneπππ..only you with your fu@££d arse..ndio utajua huku umeshachelewa strong womanJF isn't for the weak, kakune nazi.
Barua haipelekwi na mitutu ya bunduki, kuna namna ya kupeleka wito"Maafisa wa serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums" Gerson Msigwa.
Barua ya wito kwa jambo gani; na ushirikiano upi anaotakiwa kuutoa Maxence?
Itakuwaje JF waseme "uvamizi" kwa maofisa wanaokwenda kuwaslisha barua ya wito?
Mimi nimeweka picha ya rais na mwanae, kulikuwa na haja gani kunishambulia?Ku
Wewe baba yako kama anakaa na wewe kwenye kilabu za mataputapu shauri yake, huyu mzazi wake anamuweka kwenye nafasi
Mtoto wa Rais lazima aishi kama mtoto wa RaisMimi nimeweka picha ya rais na mwanae, kulikuwa na haja gani kunishambulia?
"Maafisa wa serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums" Gerson Msigwa.
Barua ya wito kwa jambo gani; na ushirikiano upi anaotakiwa kuutoa Maxence?
Itakuwaje JF waseme "uvamizi" kwa maofisa wanaokwenda kuwaslisha barua ya wito?