Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Basi Ben asingekufa acha kuwaaminisha madogo upuuzi wafe kifala.
 
Nice to see you again ,ni leo niliwaza kuwa huyu kiumbe yu wapi .

Anyway muda wowote nitashusha uzi nimsifie mama kwa mengi aliyofanya ninapofanya kazi maana nasikia JF imevamiwa ila Mimi sinaga shida na uongozi kabisa si eti ?
Nipo ndugu yangu MENEMENE TEKERI NA PERESI wakati mwingine nabanwa tu na majukumu. Wewe hunaga shida kabisa 😅😅😅😅😅😅😅 kuvamiwa ni kawaida kwa hizi Serikali za kiafrika.
 
Sawa

Mimi ni miongoni mwa wanachama wa mwanzo wa Chadema tawi la Keys Kisutu Majamatini

Ahsante sana 🙏
 
Nipo ndugu yangu MENEMENE TEKERI NA PERESI wakati mwingine nabanwa tu na majukumu. Wewe hunaga shida kabisa 😅😅😅😅😅😅😅 kuvamiwa ni kawaida kwa hizi Serikali za kiafrika.
Hapo sawa maana naogopa nisijeunganishwa na aliyejitoa muhanga ilihali yeye kajificha ,inabidi niwe karibu na nyie wenye ndugu wanaotumika kuwasaka hao wadunguaji .

Nimefurahi kukuona ,pole na majukum kwaheri dada
.
 
Hii mbegu ya upumbavu na akili finyu kwa abduli na mama yake sijui wamerithishwa na nani, au ndio kusema hawa ndugu zetu wasiokuwa na vichogo huwa ni wajinga wajinga by default???
Dogo kuwa na heshima Kuna wazaramo tusiokuwa na vichogo
 
Sio siri hali sio nzuri kwa sasa tuchukue tahadhari zaidi members wenzangu haya mambo ya kukosoa wenye nchi wenyewe hawataki wanataka tuwadiscuss wakina diamond na the like..

Hali hii inaogofya sana. Sasa mfano kwenye hizo data wakakosea badala wamtarget member x wao wakamtarget member y si watamuua mtu asie na hatia maana hawa wasio julikana wanaonyesha kabisa sio watu wenye uweredi kihivyo wanapapara nyingi.

Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kila member.
 
Nadhani issue itakuwa andiko la MALCOM ambaye katoa andiko zuri sana kuhusu task Force na KITENGO, ni kama kaivua nguo Taasisi, 🤔🤔
mkuu naomba link nikale madini kabla haya majamaa maoga hayajatuvamia hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…