Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

mtandaoni tu hali ni hii..
kuna watu humu kweli kujitokeza ana kwa ana?
 
Mimi mwanchama wa ccm, ila ninaamini siku zote kwenye hiki ulicho kiandika hapa. Kwangu mimi ninaamini kwenye maslahi ya nchi kwanza! Badala ya maslahi ya chama, au kikundi cha watu wachache wenye nguvu ya pesa.
 
Hawana pesa wana njaa.Japo njaa zao ni nene nene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…