100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Mimi ni mwanachama wa ccm. Ila siku zote natamani yatokee mabadiliko ya kisiasa nchini, ili na wengine nao watawale.Una kadi kabisa?
Huyu mwana jamii forums mwenzetu Mdude_Nyagali alichukuliwa nyumbani kwake akiwa amelala na familia yake! Na mpaka sasa hajulikani alipo! Huyu Mheshimiwa na member mwenzetu Tundu Lissu mpaka sasa yupo Ukonga kwa kesi isiyo na kichwa wala miguuu ya uhaini!Mungu atulinde...
kama aliyechoma picha aliuawa...
vuta picha adhabu atakayopewa mwana jf anayekosoa serikali...
Walioiga uhalifu wa dhalimu magu ndio wako kwenye utekeleza wa walichojifunza kwa dhalimu yule.Sasa hv nani kavamia hapo JF?
Kuna watu muda huu washafuta post zao zote za kukosoa serikaliyaani kupitia huu uzi nimeona rangi halisi ya waTz...
Watu ni wanafiki, halafu waoga balaa, yaani keyboard warriors wapo hapa...
Dhalimu magu ndio muasisi wa huu upuuzi. Kuna wakati walifunga mitandao, hadi jf tukapewa link ndani ya jukwaa la Kenya talk. Naona kwa sasa walioiga upuuzi ule wanautumia.Dkt Magufuli has no part kabisa kwenye uuaji. Ni mtakatifu Dkt Magufuli. Ila wabaya wake wali manage kupandikiza mbegu za chuki. Na bado mtakoma
Ili iweje?wanataka details zetu
Kila mtu atafikiwa ?Msigwa aliahidi kuwa kila mtu atafikiwa
Yaani washindwe kuiga utakatifu wa JK Nyerere then wakaige kwa JPM?Naona kwa sasa walioiga upuuzi ule wanautumia.
MEDIA House zote Tanzania kimya kuripoti habari hii ya kustua, kama vile mwenzao ambaye ni chombo cha habari hajakumbwa na uvamizi
Hali hii ya vyombo ya habari ku 'mute' ina dalili mbaya kwa uhuru wa vyombo ya habari na kukosa utetezi kutoka ndani ya tasnia / sector ya habari
Unafutaje mkuu?tusanuane jmnKuna watu muda huu washafuta post zao zote za kukosoa serikali