Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

PLAUZ ikibana nyanya kiapo kinatupwa kule, atataja mpaka ambao hakuulizwa.
 
Nchi Imefika patamu sana! Unajua pale JF cctv camera zimewekwa kwenye sakafu, sasa hawa watekaji wajinga wanadhani ni kama zile za kwenye uwanja wa Mkapa.

Wamenasa na wameanikwa wote!
Ulikataa wewe siyo moderator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…