Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Mayele alikosea kucheza utopoloni. Sio tanzania .hao utopolo akili hawana. .mchezaji wao yeyote akiwa mzuri akiondoka lazma watamchukia .angalia Morriston,feisal na sasa mayele. Hyo timu ndo tabia zake.we timu inaandika barua kuomba wapewe goli wana akili hao?
Msimu unaisha huo mlicho ambulia ni haya maneno kweli nyie ni mbumbumbu
 
Kuhama yanga sio shida kwetu na hatukuwahi kuwa na shida nae kwa hilo, tatizo lilianza aliposema kuwa yanga wamemtupia majini.
Hapana. Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakimfuatilia Mayelle na wachambuzi wao. Akifunga wanampost kuwa kafunga, asipopangwa wanasema anasugua benchi, hilo la majini limeongezea kasi tu.
 
Hizo ni habari hata erasto nyoni wa mirembe dodoma anaandikwa nazo. Ukishakuwa mchezaji nyota lazima ufuatiliwe, napinga hiyo ya kusema wachambuzi wa yanga.
 
Mayele alikosea kucheza utopoloni. Sio tanzania .hao utopolo akili hawana. .mchezaji wao yeyote akiwa mzuri akiondoka lazma watamchukia .angalia Morriston,feisal na sasa mayele. Hyo timu ndo tabia zake.we timu inaandika barua kuomba wapewe goli wana akili hao?
We pimbi wakati msuva anaondoka Yanga ulikua kwenu mpitimbi itakua
 
Alikuwa anakejeliwa kuwa hapangwi ila akifunga alikuwa akisifiwa na wengine walikuwa wakimringishia pamoja na kuondoka Yanga inaperfom. Aliposema katupiwa majini ndo ikawa balaa.
Acheze mpira huku mtandaoni hakuna msaada wowote atapotea na nia yao ni kumtoa kwenye reli
 
Hizo ni habari hata erasto nyoni wa mirembe dodoma anaandikwa nazo. Ukishakuwa mchezaji nyota lazima ufuatiliwe, napinga hiyo ya kusema wachambuzi wa yanga.
Kuna wachambuzi wa Yanga mitandoni wana page kabisa zina logo ya Yanga tu. Kazi zao huwa kuisifia Yanga au kuwaponda wapinzani. Hata Simba inao. Sio wachambuzi rasmi.
 
Alikuwa anakejeliwa kuwa hapangwi ila akifunga alikuwa akisifiwa na wengine walikuwa wakimringishia pamoja na kuondoka Yanga inaperfom. Aliposema katupiwa majini ndo ikawa balaa.
Hakuwa anakejeliwa, ni kawaida hata huko ulaya tunaona takwimu kwenye vyombo vya habari kwa mfano Messi acheza mechi 7 bila kufunga goli, sasa hiyo ni kejeli?
 
Kuna wachambuzi wa Yanga mitandoni wana page kabisa zina logo ya Yanga tu. Kazi zao huwa kuisifia Yanga au kuwaponda wapinzani. Hata Simba inao. Sio wachambuzi rasmi.
Sasa kama inafahamika sio rasmi utasemaje kuwa ni wa Yanga? Hao wanafanya kwa maslahi yao binafsi na sio ya Yanga.
 
Mkuu moyo wa mtu kichaka huwezi jua wenzio hapo ofisi za Yanga. Hahaha.
Huyo mayele ajifunze kunyamaza vinginevyo tutautoa uo uvimbe mguuni kwa kuukata kabisa huo mguu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom