Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Hahaha. Umeona mambo yenu sasa. Mnatisha yaani.
Hawezi kutuletea kelele sisi, mashabiki ndio huumia na timu. Timu ni ya mashabiki hao wachezaji ni wakupita tu.
 
Ila jamaa hata mm sikubaliani naye anachofanya mitandaoni. Ni yule mchezaji ambaye amepata umaarufu uzeeni, ni rahisi sana kuongelea club vibaya. Si mchezaji salama kumsajili.
Ukitaka kujua mayele ana shida akilini mwake amewasema hadi mabosi zake wa sasa. Bado ni mchezaji mzuri ila haya yasasa anajiharibia future nzuri.
 
Ukitaka kujua mayele ana shida akilini mwake amewasema hadi mabosi zake wa sasa. Bado ni mchezaji mzuri ila haya yasasa anajiharibia future nzuri.
Huenda anajua umri ushatupa. Hana sajili mbili au tatu za maana. Huenda imebaki moja tu.
 
Kuna wachambuzi wa Yanga mitandoni wana page kabisa zina logo ya Yanga tu. Kazi zao huwa kuisifia Yanga au kuwaponda wapinzani. Hata Simba inao. Sio wachambuzi rasmi.
Kuna mjumbe yeyote wa kamati ya utendaji au mwajiriwa yeyote wa Yanga anayebishana naye huko mitandaoni?

Hao anaoparurana nao yupo aliyepost kadi ya uanachama au shabiki?

Kama hakuna mayele inabidi ajitathmini sana

NB: Jifunzeni kuipenda timu na si watu.
 
Jamaa habari yake ndio imeisha hivyo...

Kwanza ashukuru kwa kucheza Tanzania maana ndipo kumemfanya awe maarufu na kuonekana kwa hizo timu nyingine...
Hiki ndio kitu kikubwa anachokisahau bwana yule
Yanga ya Tanzania ndio iliomfanya aonekane na pyramids
 
Hapana. Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakimfuatilia Mayelle na wachambuzi wao. Akifunga wanampost kuwa kafunga, asipopangwa wanasema anasugua benchi, hilo la majini limeongezea kasi tu.
Jamaa alikubalika hadi na mashabiki wa Simba hasa baada ya kuhama, maana bado alikua anapata engagement kubwa sana
Leo hii tukiwauliza mashabiki 10 wa Simba kua pape sakho anacheza timu gani, mara ya mwisho kucheza ilikua lini ,sidhani hata kama watatu kati ya hao 10 wataweza kujibu, ila Mayele hata shabiki oya oya wa Simba anajua timu anayochezea
Ila jamaa haoni Hilo kaamua apambane na wote, ngoja tuone mwisho
 
Msuva.anamfikia mayele kwa lipi?
Au feisal au Morrison?
Na uenda kipindi kile anaondoka msuva hamkuwa na tabia ya kutupia watu MAJINI.na msuva kaondoka utopolo mlikuwa na hali mbaya kifedha ndo maana mkamuuza.tumia akili sio makalio kufikiri
Unaongea ushabiki na comment zako zinaashiria jina lako
 
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania”

Fiston Mayele akizungumza katika mahojiano na Azam Tv.

Hili linaloendelea litufundishe jambo, kuna mambo ya kuongea na kutokuongea, ikumbukwe yeye ndie alieanza kuirushia maneno Yanga na bado anaendelea. Sidhani kama ataiweza vita na mashabiki (maneno, ushirikina) na kama ndio mtu wa kujali yanayoandikwa mtandaoni hali itazidi kuwa mbaya kwake.

Ushauri wangu ni bora akae kimya kuliko kuendeleza maneno.

View attachment 2960619
Uto...hao
 
Ukitaka kujua mayele ana shida akilini mwake amewasema hadi mabosi zake wa sasa. Bado ni mchezaji mzuri ila haya yasasa anajiharibia future nzuri.
Yeah, yaani anasema kua kocha aliemkuta pyramids alitaka kumtoa kwa mkopo, sijui akaongea na boss wa club akazuia asitolewe
Kwa mchezaji anaejielewa haya sio mambo ya kuyaongea ingali bado unatumikia club husika Kwa wakati huo
 
Hajielewi huwezi kuwa ndani ya mkataba na timu alafu uwe huru kiasi hicho kuiongelea vibaya.
 
Back
Top Bottom