Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #41
Kuhama yanga sio shida kwetu na hatukuwahi kuwa na shida nae kwa hilo, tatizo lilianza aliposema kuwa yanga wamemtupia majini.Angalau yule anapopolewa kwa mafyongo yake. Mayele sababu ya kupopolewa ni nini? Kuhama Yanga?
Msimu unaisha huo mlicho ambulia ni haya maneno kweli nyie ni mbumbumbuMayele alikosea kucheza utopoloni. Sio tanzania .hao utopolo akili hawana. .mchezaji wao yeyote akiwa mzuri akiondoka lazma watamchukia .angalia Morriston,feisal na sasa mayele. Hyo timu ndo tabia zake.we timu inaandika barua kuomba wapewe goli wana akili hao?
Hapana. Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakimfuatilia Mayelle na wachambuzi wao. Akifunga wanampost kuwa kafunga, asipopangwa wanasema anasugua benchi, hilo la majini limeongezea kasi tu.Kuhama yanga sio shida kwetu na hatukuwahi kuwa na shida nae kwa hilo, tatizo lilianza aliposema kuwa yanga wamemtupia majini.
Unajua kwanini wana yanga wamekasirika ni kwasababu brand yao inafedheheshwa. Mayele anatakiwa ajue yanga ni timu ya wanachamamayele aliondoka na tukampa heshima zote shida alijitokeza na kudai ametupiwa majini. Mbona yanga wametoka wengi tu na wapo huko wanaendelea na maisha yao
Before hajaropoka nani alimtukana?Mayelle anasema anaandamwa mitandaoni. Yaani anaweza weka picha ya mwanae uzi wote ukajaa vyura.
34 yrs old huko mikia tasaf ndiko kunakomfaa kabisa ili aje aone Yanga ni kubwa namna gani tutakapowakanda 7-0 huku yeye akiwepo uwanjaniAkuye kwa munyama awanyooshe
Hizo ni habari hata erasto nyoni wa mirembe dodoma anaandikwa nazo. Ukishakuwa mchezaji nyota lazima ufuatiliwe, napinga hiyo ya kusema wachambuzi wa yanga.Hapana. Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakimfuatilia Mayelle na wachambuzi wao. Akifunga wanampost kuwa kafunga, asipopangwa wanasema anasugua benchi, hilo la majini limeongezea kasi tu.
We pimbi wakati msuva anaondoka Yanga ulikua kwenu mpitimbi itakuaMayele alikosea kucheza utopoloni. Sio tanzania .hao utopolo akili hawana. .mchezaji wao yeyote akiwa mzuri akiondoka lazma watamchukia .angalia Morriston,feisal na sasa mayele. Hyo timu ndo tabia zake.we timu inaandika barua kuomba wapewe goli wana akili hao?
Kwa hio mnategemea mtaenda nusu fainali na Mayele?Akuye kwa munyama awanyooshe
Alikuwa anakejeliwa kuwa hapangwi ila akifunga alikuwa akisifiwa na wengine walikuwa wakimringishia pamoja na kuondoka Yanga inaperfom. Aliposema katupiwa majini ndo ikawa balaa.Before hajaropoka nani alimtukana?
Acheze mpira huku mtandaoni hakuna msaada wowote atapotea na nia yao ni kumtoa kwenye reliAlikuwa anakejeliwa kuwa hapangwi ila akifunga alikuwa akisifiwa na wengine walikuwa wakimringishia pamoja na kuondoka Yanga inaperfom. Aliposema katupiwa majini ndo ikawa balaa.
Kuna wachambuzi wa Yanga mitandoni wana page kabisa zina logo ya Yanga tu. Kazi zao huwa kuisifia Yanga au kuwaponda wapinzani. Hata Simba inao. Sio wachambuzi rasmi.Hizo ni habari hata erasto nyoni wa mirembe dodoma anaandikwa nazo. Ukishakuwa mchezaji nyota lazima ufuatiliwe, napinga hiyo ya kusema wachambuzi wa yanga.
Hakuwa anakejeliwa, ni kawaida hata huko ulaya tunaona takwimu kwenye vyombo vya habari kwa mfano Messi acheza mechi 7 bila kufunga goli, sasa hiyo ni kejeli?Alikuwa anakejeliwa kuwa hapangwi ila akifunga alikuwa akisifiwa na wengine walikuwa wakimringishia pamoja na kuondoka Yanga inaperfom. Aliposema katupiwa majini ndo ikawa balaa.
Ndo weshamtoa anasema amesaini tu mkataba miguu ikavimba kama puto. Sijui alitupiwa jini pulizo? Hahaha, Tanzania burudani sana.Acheze mpira huku mtandaoni hakuna msaada wowote atapotea na nia yao ni kumtoa kwenye reli
Sasa kama inafahamika sio rasmi utasemaje kuwa ni wa Yanga? Hao wanafanya kwa maslahi yao binafsi na sio ya Yanga.Kuna wachambuzi wa Yanga mitandoni wana page kabisa zina logo ya Yanga tu. Kazi zao huwa kuisifia Yanga au kuwaponda wapinzani. Hata Simba inao. Sio wachambuzi rasmi.
Ok, wachambuzi wanaoisema yanga bila mkataba na yanga.Sasa kama inafahamika sio rasmi utasemaje kuwa ni wa Yanga? Hao wanafanya kwa maslahi yao binafsi na sio ya Yanga.
😂 anatafuta kisingizio tu, mbona nabi hatujamrushia majini?Ndo weshamtoa anasema amesaini tu mkataba miguu ikavimba kama puto. Sijui alitupiwa jini pulizo? Hahaha, Tanzania burudani sana.
Apambane na hao wachambuzi na sio YangaOk, wachambuzi wanaoisema yanga bila mkataba na yanga.
Mkuu moyo wa mtu kichaka huwezi jua wenzio hapo ofisi za Yanga. Hahaha.😂 anatafuta kisingizio tu, mbona nabi hatujamrushia majini?
Huyo mayele ajifunze kunyamaza vinginevyo tutautoa uo uvimbe mguuni kwa kuukata kabisa huo mguu.Mkuu moyo wa mtu kichaka huwezi jua wenzio hapo ofisi za Yanga. Hahaha.