Nikiwaambia jpm wetu angemtuma waziri mnabisha.
Mseveni, kagame umewaona huko?unajua kwa nini? Si wababe? Lazima kulinda status walijua mzungu anaweza washushushia heshima .
Kilichowafanya wafanywe vile kule ni vitu vifuatavyo:
1. Demokrasia: Wazungu wanafahamu kuwa viongozi wa Afrika wameiba kura kupata urais, hakuna demokrasia
2. Mahakama: Wanafahamu kuwa Afrika hakuna utawala wa sheria na mahakama haziko huru.
3. Wizi: Wanafahamu kuwa viongozi wa kiafrika ni wezi tu kama wezi wengine, wanaibia watu wao wenyewe na kwenda kuficha ulaya na marekani, wanajisikia kichefuchevu kuwatazama.
4. Msimano: Hawaeleweki, hawana msimamo kwenye maswala ya kimataifa, eti hawafungamani na upande wowote. Duniani hakuna kitu kama hiko, hata bibilia inakataa watu kuwa vuguvugu.
5. Ombaomba: Wanaomba mno, hapo wanafahamu kuwa kuja kwao kwenye msiba ni kisingizio tu, lakini wamekuja kuomba hiki na kile, hili na lile kutoka kwa viongozi wakizungu waliochaguliwa kidemokrasia kwelikweli na watu wao watakaokwenda kuhudhuria mazishi. Yaani wameficha mabakuli yao kwenye vilemba na kanzu zao. Hawakusanyi kodi huko kwao wanataka kupewa tu za walipakodi wa kizungu,