Mazishi ya Queen yamewageuza viongozi wetu Afrika kuwa watoto wa shule

Mazishi ya Queen yamewageuza viongozi wetu Afrika kuwa watoto wa shule

Aina Ile ya usafiri hatujauzoea kwa viongozi wetu, watuombe radhi. Usafiri ungestahili kwa waziri wa mambo ya nje au balozi wetu. We should not strengthen the weakest by weakening the strongest.
 
Waafrika ni watu wa ovyo sana, kazi kulalamika mambo yasiokuwa na msingi.
 
Waafrika ni watu wa ovyo sana, kazi kulalamika mambo yasiokuwa na msingi.
unakula pesa za misaada ya wazungu ndio maana unasema hivyo, lakini kama ungethamini kusimamia rasilimali za afrika, biashara kati ya afrika, kukopeshana ndani ya waafrika na kumaliza migogoro ya waafrika ndani ya afrika ungeungana na hawa wanaolalamikia viongozi wao kusundikwa kwenye basi la shule kule UK.
 
Back
Top Bottom