Wewe ni limbukeni.Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
View attachment 2362652
View attachment 2362653
kama usalama sio rahisi kwa mtu mmojammoja kwanini uende mahala hapo kwa wakati huo? mbona viongozi wengine (sio waafrika) usalama wa kiongozi mmojammoja ulikuwepo? dharau hizo ujue!! Kila uhai una thamani kwa Mungu, maadui wa viongozi wetu wakuu wako kila nchi pia. Kulinda viongozi wetu kama vifanga vya kuku kwenye cage sio sawa.Kuna mengi huyajui katika issue za kiusalama wa viongozi mkuu.
Kwani kuna shida gani? Huwa wanjikweza tu wakiwa hapa lakini ni wa kawaida sana! Mimi nawaangalia wale mabodigadi wao kuna mbinti mmoja yule kipepeo huwa anatembea kwa kutanua mikono hatari lakini huko mbona amenywea? Kumbe inawezekana kabisa marais kutembea bila walinzi!!πππππHadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
View attachment 2362652
View attachment 2362653
Kilichowafanya wafanywe vile kule ni vitu vifuatavyo:Nikiwaambia jpm wetu angemtuma waziri mnabisha.
Mseveni, kagame umewaona huko?unajua kwa nini? Si wababe? Lazima kulinda status walijua mzungu anaweza washushushia heshima .
Hii ni Ngorika au Raha LeoπππView attachment 2363215
Subiri waakiiirudi sasaa kutoka huko!! kivumbi, airport na barabara zao zinafungwa kuruhusu wao tu awapite na misururu mirefu ya magari na walinzi (kodi na tozo) kwenda kuwalaki, traffic njia nzima hadi waendako, uasafiri wa wananchi, wagonjwa na mizigo unalemazwa kwa masaa 3 kupisha msafara huo upite, hivyo kazi za uzalishaji mali za wananchi zinasimama na watu (wafanyakazi, wanafunzi, wagonjwa, wafumaniaji) kuchelewa wanakokwenda.Kwani kuna shida gani? Huwa wanjikweza tu wakiwa hapa lakini ni wa kawaida sana! Mimi nawaangalia wale mabodigadi wao kuna mbinti mmoja yule kipepeo huwa anatembea kwa kutanua mikono hatari lakini huko mbona amenywea? Kumbe inawezekana kabisa marais kutembea bila walinzi!!πππππ
Huenda waliona ni rahisi kuwalinda wakiwa pamoja kuliko kumlinda mmoja mmoja.kama usalama sio rahisi kwa mtu mmojammoja kwanini uende mahala hapo kwa wakati huo? mbona viongozi wengine (sio waafrika) usalama wa kiongozi mmojammoja ulikuwepo? dharau hizo ujue!! Kila uhai una thamani kwa Mungu, maadui wa viongozi wetu wakuu wako kila nchi pia. Kulinda viongozi wetu kama vifanga vya kuku kwenye cage sio sawa.