Ulinzi wa Bunge ikiwemo makazi ni kazi ya Polisi. Bunge halina askari lina ''a sergeant at arms'' ambaye mamlaka wigo wake ni ndani ya Bunge. Mkandara anaposema hajui ulinzi wa nyumba za Wabunge ni jukumu la nani, inanishangaza sana!..Ni eneo la SERIKALI.
..wanaishi Wabunge, Mawaziri, Makatibu wakuu.
..Siku ya tukio walinzi waliondolewa.
..Magufuli angekuwa hahusiki, na ana nia njema, angewakamata wahusika.
Unajua Mkuu wangu Umanisukuma niseme ovyo halafu watu muanze Mjadala mwingine kunitoa katika Ukiukaji Wa Katiba...Ni eneo la SERIKALI.
..wanaishi Wabunge, Mawaziri, Makatibu wakuu.
..Siku ya tukio walinzi waliondolewa.
..Magufuli angekuwa hahusiki, na ana nia njema, angewakamata wahusika.
Ulinzi wa Bunge ikiwemo makazi ni kazi ya Polisi. Bunge halina askari lina ''a sergeant at arms'' ambaye mamlaka wigo wake ni ndani ya Bunge. Mkandara anaposema hajui ulinzi wa nyumba za Wabunge ni jukumu la nani, inanishangaza sana!
Ikiwa magufuli hahusiki basi hatua zingechukuliwa kwa walioondoa walinzi na uchunguzi ungeanzia hapo. Kinyume chake wanamtafuta dereva! Ikiwa Magufuli hahusiki IGP na Waziri wa mambo ya ndani wangefukuzwa kwa tukio lililoichafua nchi! hakuna aliyehusika halafu tunaambiwa ni Wahuni!
Unajua Mkuu wangu Umanisukuma niseme ovyo halafu watu muanze Mjadala mwingine kunitoa katika Ukiukaji Wa Katiba.
Unaposema ni Eneo la Serikali yaweza kuwa swa kama Serikali hiyo unayoseme ni MIHIMILI mitatu. Kwa kawaida tunaposema Serikali huwa na maana ya Government.
Na kulingana na Katiba zote duniani, Bunge hutambuliwa ni sehemu ya Serikali isipokuwa Tanzania ambako uyaona ama kusikia Wabunge wakijitofautisha kuwa sehemu ya Serikali.
Kwa hiyo, sikushangai unavyokazania maneno yako. Kisha Huyu Tundu Lissu alikuwa mjinga kiasi gani yaani anafuatwa na gari toka Bungeni kuelekea kwake, anafika pale hakuna Walinzi geti liko wazi, bado anaingia na kusubiri litakalo tokea.
Ikisha basi eneo hilo halina Wafanyakazi? Yaani wale Wabunge wooote hawana wafanyakazinhata wa ndani isipokuwa Tundu Lissu? Risasi zipigwe nje hakuna alotoka kuangalia kulikoni?
Halafu sikia ati kapigwa risasi mguu gani basi tofayti na alipokaa! Dereva ati kachipa nje na kujificha chini ya Gari! Then jamaa wanaondoka bila kuhalikisha kazi wameinaliza. Aaah, mkuu wanhu ebu sinema nyingine acheni, zilimuua mtoto wa Bruce Lee!
Ulinzi wa Bunge ikiwemo makazi ni kazi ya Polisi. Bunge halina askari lina ''a sergeant at arms'' ambaye mamlaka wigo wake ni ndani ya Bunge. Mkandara anaposema hajui ulinzi wa nyumba za Wabunge ni jukumu la nani, inanishangaza sana!
Ikiwa magufuli hahusiki basi hatua zingechukuliwa kwa walioondoa walinzi na uchunguzi ungeanzia hapo. Kinyume chake wanamtafuta dereva! Ikiwa Magufuli hahusiki IGP na Waziri wa mambo ya ndani wangefukuzwa kwa tukio lililoichafua nchi! hakuna aliyehusika halafu tunaambiwa ni Wahuni!
4. Camera ziliondolewa..Mambo haya matatu hayawezi kubadilika pamoja na jitihada za upotoshaji.
1.Lissu amepigwa risasi.
2.Walinzi waliondolewa siku ya tukio.
3.Polisi hawafanyi uchunguzi.
Mkandara sijui kama unajitoa ufahamu au vipi. Tundu Lissu alifuatiliwa na magari wiki kabla akiwa Kanisani na alitoa taarifa kwa viongozi kupitia media ikiwemo namba za gari! hakuna lililofanyikaKisha Huyu Tundu Lissu alikuwa mjinga kiasi gani yaani anafuatwa na gari toka Bungeni kuelekea kwake, anafika pale hakuna Walinzi geti liko wazi, bado anaingia na kusubiri litakalo tokea.
Kuna mfanyakazi alitoka nje kusaidia.Ikisha basi eneo hilo halina Wafanyakazi? Yaani wale Wabunge wooote hawana wafanyakazinhata wa ndani isipokuwa Tundu Lissu? Risasi zipigwe nje hakuna alotoka kuangalia kulikoni?
Kwahiyo huamini kama alipigwa risasi! pleaseHalafu sikia ati kapigwa risasi mguu gani basi tofayti na alipokaa! Dereva ati kachipa nje na kujificha chini ya Gari! Then jamaa wanaondoka bila kuhalikisha kazi wameinaliza. Aaah, mkuu wanhu ebu sinema nyingine acheni, zilimuua mtoto wa Bruce Lee!
Magufuli na Serikali yake walijichafua kwa tukio lile...Magufuli na genge lake walijua kazi yao imekwisha.
..kwamba Lissu kama hakufia Dodoma hospital, basi angefia Nairobi.
..Mungu si Athumani, Lissu akaibuka, na kwa bahati nzuri akili zake ziko timamu, akaeleza tukio zima.
..Na shahidi MKWELI kuliko wote ni yule aliyeathirika na tukio.
..Tundu Lissu hawezi kusema uongo kuhusu jambo kubwa kama lile linalohusu maisha yake.
..Magufuli na genge lake kuanzia hapo wakapigwa ganzi wasijue namna ya kujinasua.
..Kwamba wamehusika ni jambo lililowazi. It is an OPEN SECRET. Mtihani ni kupatikana kwa IGP mwenye ujasiri wa kuwakamata, na Dpp wa kuwashtaki.
Mkandara sijui kama unajitoa ufahamu au vipi. Tundu Lissu alifuatiliwa na magari wiki kabla akiwa Kanisani na alitoa taarifa kwa viongozi kupitia media ikiwemo namba za gari! hakuna lililofanyika
Siku anafuatiliwa alikuwa anaelekea nyumbani, alipofika na kuingia akshambuliwa hapo hapo. Lissu hakuwa na muda wa kuchunguza. Watu walibaini baada ya tukio wakati wanahangaika, kwamba getini kulikuwa wazi hakukuwepo walinzi. Kama unafuatilia, na nina uhakika hujui, dereva alisema kuna mfanyakazi wa ndani alimsaidia wakati wa harakati
Jambo usilotaka kulieleza zaidi ya kutafuta flimsy excuses ni haya; kwanini walinzi waliondolewa? Kumbuka, hakuna hata mtu mmoja aliyewahi kukanusha kwamba walinzi waliondolewa.
Pili, kwanini baada ya tukio Camera ziliondolewa, na zilionyesha nini na kwanini mhusika hakufuatiliwa kwa kuficha ushahidi
Chuki yako dhidi ya TL isikuonde kwenye ukweli ukajikuta unatetea mambo na kuacha vicheko!
CCM wenyewe wanasema alitaka kuuawa! wewe unasema hapana! Kwani hujasikia akina Mama ...
Kuna mfanyakazi alitoka nje kusaidia.
Kwahiyo huamini kama alipigwa risasi! please
Yaani amiri jeshi mkuu mwenye Polisi,Usalama wa Taifa,Jwtz,magereza ,Uhamiaji,Zimamoto alihujumiwa na 'wahuni' wasiomilikia Dola?...1. Ok, nambie kulikuwa na tatizo gani kununua ndege kwa cash badala ya Mkopo? Maanake hao hai wanaolalamika wamenunua nyumba zao magari yao kwa cash! Kinachpungua nini?
2. Kwa hiyo wewe huamini kulikuwa na Vita ya Kiuchumi? Damn ndio maana nakubaliana sana na Nyani Ngabu anaposema Miafrika Ndivyo Tulivyo. Yaani yote ya Makinikia, Kuvamia Benki Kuu, Bandari, Mishahara hewa, Kufichua Mafisadi mpaka kurudisha kesi ya Escrow, IPTL, Acacia, Symbion, Tanzanite na Dhahabu ilokuwa ikiuzwa Kenya kwa njia za Panya na Mikataba mingine ikaandikiwa na kupitishwa na Bunge Sheria Mpya ya Madini! Ulitaka Vita ya namna gani bdio Uamini? Mafisadi wote wanaojilikana walikimbilia South Africa au Dubai leo wamerudi wote.
3. Vita ndani ya CCM haikumhusu yeye kabisa, Ilikuwa watu wa Lowassa vs JK Nyie mkachukua Upande wa Mafisadi kwa sababu ya Lowassa.
4. Hoja ya Kuengua Wagonbea haikuanza na Mahufuli ilikuwepo miakanyote na Vyama vyote vikifanya. Dr Slaa si Chadema walimuengua wakamoa nafasi Lowassa? Yule mshikaji Ben Saa Nane sii alienguliwa kule Arumeru akapewa Nasari unadhani hatujui?
Mimi nilikuwa mfuatiliaji sana wa Siasa za Bongo, sema sikutaka kuandika Mapungufu hayo maana yalikuwepo miaka. Wagombea wa vyama vyote vya Upinzani walikuwa viongozi wa Chama. Toka Mwenyekiti, Katibu, wajumbe wa Kamati kuu na kadhalika kwa kila jimbo. Unataka kunambia hapakuwepo watu wengine walotaka kushika Ubunge?
5. Kupotea kwa Watu, narudia tena siamini kazi ile ilifabywa na Magufuli bali kubdi la Wahuni walompiga vita kupitia njia hizo. Chukulia mfano hai Mmoja wa Mo Dewji! Rais anasimama hadharani kwenye Mkutani akamuuliza OCD kqma sikosei "Kwa nini kesi ile haipo. Mmemkamata dereva, mmemkamata mmiliki wa nyumba alowekwa inakuwaje kesi haipo?" Na mpaka leo hii kesi imekufa! Still kuna watu waliendelea kuamini Dewji katekwa na Magufuli. Kuna meli ilikamatwa ina tani moja ya Heroin unreahinsikia kesi yake?
6. Utasemaje Magufuli ndiye aloleta Ukanda, Ukabila wakati nyie ndio Mlomwita "Sukuma Gang" Wakati viongozi wale wanatoka Kanda ya Ziwa na wa Makabila tofauti! Yaani msukuma hakufaa kuwa kiongozi? It's Mental Slavery inayowatesa maana wenfine hawajali rais au Kiongozi anatoka wapi, dini gani, kabila gani.
Tanzania toka naijua kila mteule atatazamwa Kabila lake, Dini yake, ama anatoka Ukanda gani! Usinambie hujui wakati hii kitu ipo toka Nyerere. Alipingea hata kuea sii Mranzania. Dini yake, amkatoliki, akaitwa Mchonga meno! Nani mwenye tatizo hapo!.
Maasalaam, naomba tuishie hapa maana utanifanya niingie Black Book buree..
Maasalaam
Binadamu tumeumbwa kila mooja wetu amepewa akili tunatofautiana matumizi yake tu. Na sidhani kama naweza washawishi lolote juu ya Zanzibar, Serikali 2 wala hili jipya la Tundu Lissu maanake mmesha kuwa mateka wa Story hadith kolea!..hawa mabwana ukiwasikiliza hoja zao, ni ama wanaamini, au wanataka kuwaaminisha wengine, kwamba Lissu ni suspect ktk jaribio la mauaji dhidi yake.
Lazima kuwa na matumizi rational ya akili. Kwamba Tundu Lissu kajipiga risasi inahitaji akili ya ziadaBinadamu tumeumbwa kila mooja wetu amepewa akili tunatofautiana matumizi yake tu.
Sio suala la kushawishi, ni uweke hoja mezani. Kwa serikali 2 siyo sisi ni Wananchi hawataki isipokuwa wachache. Hata mzee Wasira sasa anaonekana kushutuka pengine kwa shikilizo la CCM wenye akili.Na sidhani kama naweza washawishi lolote juu ya Zanzibar, Serikali 2 wala hili jipya la Tundu Lissu maanake mmesha kuwa mateka wa Story hadith kolea!
Alirudi kwasababu alikuwa na ''kinga'' ulimwengu ukiweka macho! Magufuli si mjinga wa kujianikaEbu jiulizeni, Tundu Lissu alokoswa koswa kuuawa na Magufuli alikubalije kurudi nchini kugombea Urais tena dhisi ya hasidi wake baada ya kuahidiwa Usalama wake na mtunyule yule alotaka kumuua?
OK, tuthibitishie alivyoweza kujitwanga risasi! au kama ni Feki prove it.Hizi kamba jamani mtanisamehe mimi mtoto wa Mjini sifungiki kirahisi hivyo!
Kwanini Magufuli alizuia Bunge kuchunguza, akazuia uchunguzi wa Polisi hadi leoNimesema toka mwanzo walomtwanga risasi Tundu Lissu walikuwa WAHUNI tu, sio Usalama wala Jeshi la Polisi, na ubaya
Hivi CHADEMA wangeweza kuwa na SMG Msajili akawa na ushahidi na asikifute! pleaseni kwamba wakati ule vyama hivi vya Siasa vyote vilikuwa vikimiliki majeshi yao.
Lile gate linalindwa na Askari , hakuna Mbunge hata mmoja aliyebisha!Kuhusu Area D pale nimesema ni Eneo la Mhimili wa Bunge wanakaa Viongozi wa Bunge, Mawaziri (Wabunge) na Wabunge wengine. Ulinzi unafanywa na Polisi kwa viongozi wa Wateule.na upande wa Wabunge wana Private Security Guards, inategemea kutoka kampuni gani. Hapakuwa na Walinzi wa aina moja ama kituo kimoja.
Nope! Marehemu Turky alitoa pesa, of course baada ya kubaini wangemmaliza hapa TanzaniaKama mnakumbuka hata mipango yote ya kuntoa Lissu pale na kumpeleka Hospital ilifanywa na Bunge sio Serikali (Executive) mimi nazungumzia protocal nyis mnatumia hisia zenu ama matango mlolishwa. I know how the System works..
Kama alifanya 'uhuni' hukumu yake si kupigwa risasi ni kufikishwa mahakamani. Mimi nakumbua Tundu Lissu aliwahi kusema anafuatiliwa toka Dar wakati ule wa scandal ya Makinikia na Acacia! Sijui Alisomamisha gari akawauliza wanataka nini? At time Tundu Lissu alikuwa anawasaidia Barricks (Acacia) kujua kinachoendelea Serikalini - Akitekeleza kazi ya Wahuni.
Makonda hajafungua kesi dhidi ya tuhuma hizo ''zinazochafua'' jina lake kila siku! unadhani ni kwaniniHaya, Baadae wakiwa Dodoma mkasema Makonda kaonekana Dodoma sijui ndiye alofanya mpango wa.kumpiga risasi Tundu Lissu. Makonda akatoka akarhibitisha alikuwa Dar siku walizosema.
Kilitokea nini kwa Mbunge wa Singida Nyalandu baada ya kwendaOk, Najiuliza ilikuwaje Samia akenda Nairobi kumtazama Tundu Lissu asionekane YUDA msaliti wa Magufuli?
Haki ya mtu si fadhila, mbona walipomuondolea na kumnyima matibabu hukusema. Haki haiombwi inadaiwaAsiishie hapo tu akalimpa mafao yake ya Ubunge, akamfadhili akiwa Belgium, kutudi akamoa na gari la Kutembelea.. Ghafla Tundu Lissu adui yake ati ni Mbowe Mwenyekiti wake ati Kalamba Asali? Daaah! Ghafla hivyo!
Hee unahitaji ushahidi gani leo?Na nyie mkaamini kabisa kwamba Mbowe kalambishwa Asali na Samia
kwa Tume gani ya uchaguziKikubwa kilicho nishangaza mimi zaidi ni Uchaguzi wa 2025, Chadema pamoja na jitihada zote za kufanya Reforms bado.wataingia Uchaguzi Mkuu na nilijua kama Tundu Lissu atasimama hata bila reforms zote, atashinda Uchaguzi a land slide asilimia 80-90.
ACT walishiriki, wamevuna niniSikuona kabisa Samia akimshinda Tundu Lissu 2025, hata kama wataiba kura ingekuwa sii rahisi kabisa kupindua matokeo. Pia kina January, Nape, Bashe wajuzi wa kampeni na Bao la Mkono wametupwa nje, Yaani ilikuwa mteremko tu. October 2025, CCM kulisha vurugika, walowania kugombea wamepigwa chini, Kwenye Ubunge majina yamekatwa! Wwru roho juu. Chadema wakaachia kamba! Khaaaa?
Walimweka kando kwa lipi! na unaamini kulikuwa na uchaguzi. Damu huzioni kwasababu tu unachukia Lissu!!Upande wangu nikajua hii michezo tu, Samia atapita bila mshindani na kukamilisha yote wakamweka ndani mchezo umeisha, Mpina nae akajitutumua wakamweka kando! Njia nyeupeeee.. To me all that was well planned.
Hewaaaa! sasa umeongea! Nilisema tangu mwanzo CHUKI dhidi ya Lissu inakutia upofu! ndio maana unaamini kwa dhati kabisa Tundu Lissu hakupigwa risasi na kama anazo alijipiga! Bro! chuki kitu kibaya sana! dahMtanisamhe Wana Chadema lakini huyo Tundu Lissu wenu simuamini kabisaa, kwangu ni.MHUNI na Kesi atashinda, wakati Muafaka Ukifika anarudi Mtaani Rastaman Bob Manley - ONE LOVE. Muwe na siku njema.
Kuna pahala popote mimeandika ama kusema Tundu Lissu alijipiga yeye risasi mwenyewe? Sasa nawezaje waridhisha watu kama nyie ambao mnatunga vitu na kusingizia wengine? Unawezaje weka maneno yako mdomoni mwangu wakati sijasema hivyo!Lazima kuwa na matumizi rational ya akili. Kwamba Tundu Lissu kajipiga risasi inahitaji akili ya ziada
Ukiambiwa Tanzania haipakani na Cameroun ukatumia akili kukataa hayo si matumizi sahihi ya akili
Sio suala la kushawishi, ni uweke hoja mezani. Kwa serikali 2 siyo sisi ni Wananchi hawataki isipokuwa wachache. Hata mzee Wasira sasa anaonekana kushutuka pengine kwa shikilizo la CCM wenye akili.
Kutuambia Serikali 3 itaongeza gharama bila kuweka namba ni kupotosha, in fact ni opposite
Unachokwepa kwa Serikali 3 ni Zanzibar kukosa ubwete na pili kuwajibika jambo isilo fanya sasa hivi
Unafahamu wazi hatuhitaji Zanzibar, wanatuhitaji, period.
Alirudi kwasababu alikuwa na ''kinga'' ulimwengu ukiweka macho! Magufuli si mjinga wa kujianika
OK, tuthibitishie alivyoweza kujitwanga risasi! au kama ni Feki prove it.
Kuna report za Madaktari na hizo zinathibitisha alicharazwa risasi. Nazo ni feki?
Kwanini Magufuli alizuia Bunge kuchunguza, akazuia uchunguzi wa Polisi hadi leo
Kwanini hawakuachia Camera wahuni waonekane. Kwanini Walinzi waliondolewa
Hivi CHADEMA wangeweza kuwa na SMG Msajili akawa na ushahidi na asikifute! please
Lile gate linalindwa na Askari , hakuna Mbunge hata mmoja aliyebisha!
Hivi siku ya tukio hao private walikuwa wapi, hao wa viongozi walikuwa wapi! na kwanini hawakuwepo! Uchunguzi unasema nini kuhusu hilo!
Nope! Marehemu Turky alitoa pesa, of course baada ya kubaini wangemmaliza hapa Tanzania
Kama alifanya 'uhuni' hukumu yake si kupigwa risasi ni kufikishwa mahakamani
Makonda hajafungua kesi dhidi ya tuhuma hizo ''zinazochafua'' jina lake kila siku! unadhani ni kwanini
Unaamini kama alikuwa Dodoma angesema hivyo! awe implicated.
Hapa ndipo matumizi sahihi ya fikra yanahitajika
Kilitokea nini kwa Mbunge wa Singida Nyalandu baada ya kwenda
Samia hakwenda kumtazama Tundu Lissu kama sehemu ya safari, alikwenda kwasababu alikuwa katika shughuli Nairobi na isingeleta picha kama angerudi bila kumuona! alikwenda kwenye Mkutano si kumuona
Haki ya mtu si fadhila, mbona walipomuondolea na kumnyima matibabu hukusema. Haki haiombwi inadaiwa
Hee unahitaji ushahidi gani leo?
kwa Tume gani ya uchaguzi
ACT walishiriki, wamevuna nini
Walimweka kando kwa lipi! na unaamini kulikuwa na uchaguzi. Damu huzioni kwasababu tu unachukia Lissu!!
Hewaaaa! sasa umeongea! Nilisema tangu mwanzo CHUKI dhidi ya Lissu inakutia upofu! ndio maana unaamini kwa dhati kabisa Tundu Lissu hakupigwa risasi na kama anazo alijipiga! Bro! chuki kitu kibaya sana! dah
Binadamu tumeumbwa kila mooja wetu amepewa akili tunatofautiana matumizi yake tu. Na sidhani kama naweza washawishi lolote juu ya Zanzibar, Serikali 2 wala hili jipya la Tundu Lissu maanake mmesha kuwa mateka wa Story hadith kolea!
Ebu jiulizeni, Tundu Lissu alokoswa koswa kuuawa na Magufuli alikubalije kurudi nchini kugombea Urais tena dhisi ya hasidi wake baada ya kuahidiwa Usalama wake na mtunyule yule alotaka kumuua? Nanjamaa.karudi kweli tena kwa mbwembwe nyingi Sikuamini macho yangu. Magufuli yule.watu waliogopa hata kuisema Serikali yake? (Tulivyoaminishwa)
Hivi ungekuwa wewe ungerudi? Semeni Ukweli? Kwa.ujasiri gami yaani.. Halafu Magufuli akampa kweli Ulinzi akamwacjia atembee mikoa yote kufanya kampeni kali, fedha zilitoka wapi? Katika kampeni zake zote za ONE LOVE kuna kila sherehe!
Halafu baada ya Uchaguzi ati Magufuli yule yule alomrudisha nchinj ndio kataka tena kumuua baada ya Uchaguzi? Jamaa akatimka tena Ubelgiji na kuanza kampeni dhidi ya NCHI yake badala ya CCM au Magufuli.
Hizi kamba jamani mtanisamehe mimi mtoto wa Mjini sifungiki kirahisi hivyo! Nimesema toka mwanzo walomtwanga risasi Tundu Lissu walikuwa WAHUNI tu, sio Usalama wala Jeshi la Polisi, na ubaya ni kwamba wakati ule vyama hivi vya Siasa vyote vilikuwa vikimiliki majeshi yao. That was very dangerous kwa Usalama wa Taifa. Mpaka Majambazi walikuwa na SMG.
Kuhusu Area D pale nimesema ni Eneo la Mhimili wa Bunge wanakaa Viongozi wa Bunge, Mawaziri (Wabunge) na Wabunge wengine. Ulinzi unafanywa na Polisi kwa viongozi wa Wateule.na upande wa Wabunge wana Private Security Guards, inategemea kutoka kampuni gani. Hapakuwa na Walinzi wa aina moja ama kituo kimoja.
Kuna mtu kasema Bunge linalindwa na Askari Polisi, ndio kwa sababu Bunge ni sehemu ya Serikali kisha hata wewe unalindwa na Polisi. Kina.msemo usemao Serikali ni WATU, Serikali ni SISI.. Sijui mtaitafsirije kauli hii.
Kama mnakumbuka hata mipango yote ya kuntoa Lissu pale na kumpeleka Hospital ilifanywa na Bunge sio Serikali (Executive) mimi nazungumzia protocal nyis mnatumia hisia zenu ama matango mlolishwa. I know how the System works..
Halafu Nguruvi3 Anasema Tundu Lissu alikuwa akifuatiwa toka kanisani. Mimi nakumbua Tundu Lissu aliwahi kusema anafuatiliwa toka Dar wakati ule wa scandal ya Makinikia na Acacia! Sijui Alisomamisha gari akawauliza wanataka nini? At time Tundu Lissu alikuwa anawasaidia Barricks (Acacia) kujua kinachoendelea Serikalini - Akitekeleza kazi ya Wahuni.
Haya, Baadae wakiwa Dodoma mkasema Makonda kaonekana Dodoma sijui ndiye alofanya mpango wa.kumpiga risasi Tundu Lissu. Makonda akatoka akarhibitisha alikuwa Dar siku walizosema. Yaani maneno mengi yakasemwa Magu akaendelea kushughulika na Acacia, akaita viongozi wa vyama vyote wakutane nar Ikulu, Chadema pekee ndio Mbiwe hakwenda kuonana nae.
Ok, Najiuliza ilikuwaje Samia akenda Nairobi kumtazama Tundu Lissu asionekane YUDA msaliti wa Magufuli? Asiishie hapo tu akalimpa mafao yake ya Ubunge, akamfadhili akiwa Belgium, kutudi akamoa na gari la Kutembelea.. Ghafla Tundu Lissu adui yake ati ni Mbowe Mwenyekiti wake ati Kalamba Asali? Daaah! Ghafla hivyo!
Na nyie mkaamini kabisa kwamba Mbowe kalambishwa Asali na Samia wakati Mbowe huyo huyo kafilisiwa mali zake zote na Magufuli, Mbowe mkapa huyo mpaka kesho hajarudishiwa hata Kijuko lakini Tundu Lissu alofadhiliwa kapewa na gari la kutembelea na Samia na hata kukutana na Abdul ndio MSAFI. Oooh alipelekwa na Wenje, yaani sijui Huyu Jamaa Mchawi?
Kikubwa kilicho nishangaza mimi zaidi ni Uchaguzi wa 2025, Chadema pamoja na jitihada zote za kufanya Reforms bado.wataingia Uchaguzi Mkuu na nilijua kama Tundu Lissu atasimama hata bila reforms zote, atashinda Uchaguzi a land slide asilimia 80-90.
Sikuona kabisa Samia akimshinda Tundu Lissu 2025, hata kama wataiba kura ingekuwa sii rahisi kabisa kupindua matokeo. Pia kina January, Nape, Bashe wajuzi wa kampeni na Bao la Mkono wametupwa nje, Yaani ilikuwa mteremko tu. October 2025, CCM kulisha vurugika, walowania kugombea wamepigwa chini, Kwenye Ubunge majina yamekatwa! Wwru roho juu. Chadema wakaachia kamba! Khaaaa?
Ukishangaa ya Firauni Utaona ya Mussa! Hee, ghafla namuona akiwambia watia Nia hawataenda Uchaguzi! Wale watu walikwenda kwa nia ya Kugombea Uchaguzi Mkuu, Mwenyekiti anawataarifu ghafla hakuna Uchaguzi., halafu anadai ilikuwa toka mwanzo - No reform No Election hawatashiriki Uchaguzi...What a Play!
Upande wangu nikajua hii michezo tu, Samia atapita bila mshindani na kukamilisha yote wakamweka ndani mchezo umeisha, Mpina nae akajitutumua wakamweka kando! Njia nyeupeeee.. To me all that was well planned.
Mtanisamhe Wana Chadema lakini huyo Tundu Lissu wenu simuamini kabisaa, kwangu ni.MHUNI na Kesi atashinda, wakati Muafaka Ukifika anarudi Mtaani Rastaman Bob Manley - ONE LOVE. Muwe na siku njema.
Jumaa Mubarak - Maasalaam
Kuna pahala.mimeandika ama kusema Tundu Lissu alijipiga yeye risasi? Sasa nawezaje waridhisha watu kama nyie ambao mnatunga vitu na kusingizia wengine.
Tundu Lissu hawezi kuwa na KINGA ndani ya nchi alokimbia Ukimbizi hakuna Sheeia hiyo na wala ukisha ingia nchi jiyo huru wanaweza kufanya lolote. Isitoshe kwa nini aliomba Magufuli amhakikishie Usalama wake?
Ok, say alikuwa na Kinga sijui kaitoa wapi, kwa nini alikimbia mara tu baada ya Uchaguzi akisema Magufuli anataka kumuua! Hiyo kinga iliisha mara tu baada ya Uchaguzi?
Sikia brother, kwa Mkristu anayeamini Yesu ni Mungu, siwezi shindana naye kujaribu kumwambia Yesu sio Mungu! Hutaweza na utaonekana wewe ndio una Chuki na Ukristu. Kwa hiyo, nimeeleza yangu, doubt zangu kuhusiana na tukio lile.
Muuaji alopania kuua hawezi kulenga Matako ya Tundu Lissu akaacha kupiga risasi Kichwani au Kifua! Na kumbea zaidi kuhalikisha kazi ameimaliza. Kama alivyotumwa. Kwa hiyo ndio nasema walomoiga risasi Tundu Lissu ni Wahuni, kama unaelewa maana sina haja ya kukueleza maana.
Swala la Serikali mbili nimeonyesha wazi kwamba Upande wa Bara sasa hivi unahudumia asilimia 98 ya gharama zote, na tukichukua Serikali 3, Bara itahudumia asilimia 198!
Haijalishi mtapunguza nini ama nini. Na sikubaliani kuwa na rais wa Heshima asokuwa na Mamlaka kamili. Nikasema utampigia Kura rais huyo kwa sifa zipi? Huyo rais ata promise Wananchi kitu gani ikiwa sehemu zote za Haki na Maendeleo zimeshikwa na marais wengine. Na kama rais wa JMT atakuwa na mamlaka kamili basi Katiba ya Jamhuri inatakiwa kuwa na Mambo yote ninya Muungano, kisha ndio states zitajadili yapi yaondolewe kuwa sii ya Muungano. Hatuwezi kuandika Katiba Mpya ambayo tayari yamekiukwa halafu tuchukue yalobakia ambayo yanaifanya Serikali Kuu haina Income. Watapata wapi hela za kuendesha Serikali hiyo? Kuziomba nchi hizi na obvious Tanganyika ndio itagharamia 100% laa mtapuga kelele Muungano uvunjike
I have said enough, sina sababu ya kuendelea kujadili mambo ambayo tayari nimeshatolea ufafanuzi wangu.
Maasalaam
Inabidi nicheke tu kwa leo. Habari zote ni tungo yaani mtu anachofikiri yeye ndio unataka kila mtu aamini. Samahani mkuu, sitoendele na habari ya Tundu Lissu kwa sababu mnaamini Yeye kaletwa na Mungu kuikombia TanganyikaUmeongea mambo mengi lakini nitayajibu kwa kifupi ili nisikuchoshe.
1.ULINZI AREA D.
Ni eneo lililokuwa makazi ya Naibu Spika, Waziri wa Madini na Nishati, Makatibu wakuu, na Wabunge.
Mahali popote wanapoishi viongozi ni lazima pawe na ulinzi. Naibu Spika, Waziri. lazima makazi yao yawe na ulinzi 24/7.
2.RISASI ZILITOKA WAPI [ mguu wa kulia vs kushoto ].
Hii ni hoja ya kipuuzi sana. Madai kwamba risasi zilitoka upande wa kushoto hivyo Lissu alipaswa kuumia zaidi mguu wa kushoto hayana mashiko.
Kulinganisha shambulizi lile kwa kutumia nadharia ya practice targets za wakati wa mafunzo ya JKT pia sio sawasawa.
Lissu hakuwa amening'inizwa mfano wa practice target wakati wauwaji walipotumwa kumshambulia.
Lakini ili kuwaridhisha wanaoshadidia nadharia hiyo, mkono wa kushoto wa Tundu Lissu ulijeruhiwa kuliko wa kulia.
3.MAMA KUMTEMBELEA NAIROBI.
Mama alikwenda Nairobi kumuwakilisha Magufuli ktk uapisho wa Rais wa Kenya kama sijakosea.
Kama Mama angeondoka Nairobi bila kumtembelea Lissu hospitali ingeleta picha mbaya kwa serikali ya Tanzania.
Kwa hiyo Magufuli alikacha kwenda Nairobi ili kukwepa fedheha ya kumtembelea Lissu.
Mama alikuwa hana namna.
4.KUMPA JINA BAYA LISSU ILI KUHALALISHA SHAMBULIZI.
Mara kwa mara kumekuwa na madai kwamba Lissu alikuwa akiwasaidia Accacia.
Watu wanasahau kwamba kati ya Watanzania waliopambana na makampuni ya madini kwa muda mrefu ni Lissu.
Kwenye sakata la madini Lissu alipinga zile ripoti kwamba sio za kweli na zitaliumiza taifa ikiwa tutashitakiwa ktk mahakama za kimataifa.
Na madai hayo ya Lissu yalikuja kuthibitika pale Mwenyekiti wa Tume za uchunguzi Prof.Mruma aliposhindwa kuzitetea alipokabiliana na mawakili wa kimataifa.
Hakuna mtu amerudi na kumshukuru Lissu kwa kusema ukweli kuhusu umadhubuti wa findings za Tume za uchunguzi.
Tundu Lissu alisimamia UKWELI wakati wote wa sakata la madini.
5.PROF.MRUMA KUTOA MACHOZI SIKU AKIWASILISHA RIPOTI.
Hapa kuna maswali ya kujiuliza.
Je, Prof.Mruma alitoa machozi kwasababu ya uchungu wa wizi wa rasilimali uliofanywa na makampuni ya madini?
Au, Prof.Mruma, alitoa machozi kwasababu alilazimishwa ku present ripoti ya uongo yenye mambo yasiyoweza kutetewa mbele ya wanataaluma, na wabobezi wa sheria?
Na kwanini Ripoti za Prof.Mruma, na Prof.Ossoro, hazijawekwa wazi kama ripoti nyingine za uchunguzi za Dr.Kipokola, Lau Masha, na Mark Bomani?
Ripoti zile zingekuwa za kweli Tanzania ingekwenda mahakama ya kimataifa na Accacia wangetulipa fidia.
6.USALITI KTK RASILIMALI ZA WATANZANIA.
Hii ni dhambi mbaya sana ambayo Magufuli alijaribu kumpachika Lissu.
Magufuli alitaka Tundu Lissu aende kaburini kama msaliti wa taifa hili.
MUNGU amekataa hilo na uwezekano mkubwa ni jina la Tundu Lissu kupambwa ktk historia ya Tanzania.
Magufuli hakugusa mtu hata mmoja aliyehusika ktk kuidhinisha mikataba yote mibovu ya madini na nishati.
Magufuli mwenyewe kabla ya kuwa Rais hakuwahi kupinga mikataba ya madini pamoja na kwamba nyumbani kwao Geita kuna mgodi wa madini.
Lakini kitu cha ajabu kupita vyote ni Magufuli kumpa ubunge wa CCM, Deo Mwanyika, aliyekuwa Ceo wa Barrick, na Accacia, tawi la Tanzania.
Na ukiacha hayo kuna kiongozi mkubwa wa Tanzania alitembelea Canada wakati tuko ktk vita vya uchumi. Je, serikali ya Magufuli ilikuwa na "ndimi mbili" wakati wa vita hiyo?
7.LISSU KURUDI WAKATI WA UCHAGUZI
Ni kweli kabisa hakuna aliyetarajia Tundu Lissu atarudi Tanzania wakati wowote.
Lakini Tundu Lissu kurudi kipindi cha uchaguzi ni kwasababu ya hakikisho la ULINZI kwa wagombea Uraisi.
Na uchaguzi ulipoisha na ulinzi kuondolewa Tundu Lissu akatoroka chini ya kinga ya balozi wa Ujerumani.
Je, kungekuwa hakuna sheria ya wagombea Uraisi kupewa ulinzi Tundu Lissu angerudi Tanzania?
Je, Magufuli asingekufa Lissu angerudi?
8.VIONGOZI WA BUNGE KUMSUSIA.
Viongozi wa Bunge walijiweka mbali na Tundu Lissu wakati akijiuguza. Mtu wa kawaida lazima ajiulize kulikoni.
Kulifanyika jitihada za mazungumzo kati ya familia, na viongozi wa bunge, kurekebisha sintofahamu zilizokuwepo, lakini hazikuzaa matokeo mazuri.
Je, Bunge lilikuwa likishinikizwa lisimsaidie Tundu Lissu wakati akijiuguza? Nani alikuwa akitoa mashinikizo hayo?
9.LISSU NA MAMA SAMIA
Mama Samia alipoingia madarakani alijaribu kujenga taswira ya upatanishi.
Ni kipindi hicho ndipo Tundu Lissu alikutana naye.
Kwa tuliyoyashuhudia tunaweza kusema Mama Samia alikuwa na nia ya dhati ya kurejesha HAKI na usawa ktk siasa?
Kuna taarifa kwamba Mama alimkirimu Tundu Lissu na kumfadhili kurudi Tanzania.
Je, kuna ubaya gani kufanya hivyo? Mimi nilitarajia mambo hayo yafanyike kupitia utaratibu rasmi.
Kuna ubaya gani kwa serikali kuwapa kifuta machozi wote walioumizwa kwasababu ya misimamo yao ya kisiasa?
Inabidi nicheke tu kwa leo. Habari zote ni tungo yaani mtu anachofikiri yeye ndio unataka kila mtu aamini. Samahani mkuu, sitoendele na habari ya Tundu Lissu kwa sababu mnaamini Yeye kaletwa na Mungu kuikombia Tanganyika
Jumaa Mubarak..
Ahsante sana, umesaidia sana kumjibu hoja ya kwanini tunasema '' Mkandara anaamini Lissu kajipiga risasi''..kila mtu ameletwa na MUNGU hapa duniani.
..tatizo la baadhi yenu mna chuki ya waziwazi.
..haiwezekani mwanadamu ameumizwa kiasi kile halafu utoe maneno ya kejeli kwamba kwanini kapigwa "matakoni," hakupigwa kichwani.
..Ni nani huko kwenye CCM yenu yuko tayari kupigwa risasi ya "matako" kama ni jambo rahisi na la kumkejeli mtu?
Hili bandiko limehitimisha hoja! Sitazungumzia tena kuhusu Lissu ! Bandiko limemaliza hoja.Umeongea mambo mengi lakini nitayajibu kwa kifupi ili nisikuchoshe.
1.ULINZI AREA D.
Ni eneo lililokuwa makazi ya Naibu Spika, Waziri wa Madini na Nishati, Makatibu wakuu, na Wabunge.
Mahali popote wanapoishi viongozi ni lazima pawe na ulinzi. Naibu Spika, Waziri. lazima makazi yao yawe na ulinzi 24/7.
2.RISASI ZILITOKA WAPI [ mguu wa kulia vs kushoto ].
Hii ni hoja ya kipuuzi sana. Madai kwamba risasi zilitoka upande wa kushoto hivyo Lissu alipaswa kuumia zaidi mguu wa kushoto hayana mashiko.
Kulinganisha shambulizi lile kwa kutumia nadharia ya practice targets za wakati wa mafunzo ya JKT pia sio sawasawa.
Lissu hakuwa amening'inizwa mfano wa practice target wakati wauwaji walipotumwa kumshambulia.
Lakini ili kuwaridhisha wanaoshadidia nadharia hiyo, mkono wa kushoto wa Tundu Lissu ulijeruhiwa kuliko wa kulia.
3.MAMA KUMTEMBELEA NAIROBI.
Mama alikwenda Nairobi kumuwakilisha Magufuli ktk uapisho wa Rais wa Kenya kama sijakosea.
Kama Mama angeondoka Nairobi bila kumtembelea Lissu hospitali ingeleta picha mbaya kwa serikali ya Tanzania.
Kwa hiyo Magufuli alikacha kwenda Nairobi ili kukwepa fedheha ya kumtembelea Lissu.
Mama alikuwa hana namna.
4.KUMPA JINA BAYA LISSU ILI KUHALALISHA SHAMBULIZI.
Mara kwa mara kumekuwa na madai kwamba Lissu alikuwa akiwasaidia Accacia.
Watu wanasahau kwamba kati ya Watanzania waliopambana na makampuni ya madini kwa muda mrefu ni Lissu.
Kwenye sakata la madini Lissu alipinga zile ripoti kwamba sio za kweli na zitaliumiza taifa ikiwa tutashitakiwa ktk mahakama za kimataifa.
Na madai hayo ya Lissu yalikuja kuthibitika pale Mwenyekiti wa Tume za uchunguzi Prof.Mruma aliposhindwa kuzitetea alipokabiliana na mawakili wa kimataifa.
Hakuna mtu amerudi na kumshukuru Lissu kwa kusema ukweli kuhusu umadhubuti wa findings za Tume za uchunguzi.
Tundu Lissu alisimamia UKWELI wakati wote wa sakata la madini.
5.PROF.MRUMA KUTOA MACHOZI SIKU AKIWASILISHA RIPOTI.
Hapa kuna maswali ya kujiuliza.
Je, Prof.Mruma alitoa machozi kwasababu ya uchungu wa wizi wa rasilimali uliofanywa na makampuni ya madini?
Au, Prof.Mruma, alitoa machozi kwasababu alilazimishwa ku present ripoti ya uongo yenye mambo yasiyoweza kutetewa mbele ya wanataaluma, na wabobezi wa sheria?
Na kwanini Ripoti za Prof.Mruma, na Prof.Ossoro, hazijawekwa wazi kama ripoti nyingine za uchunguzi za Dr.Kipokola, Lau Masha, na Mark Bomani?
Ripoti zile zingekuwa za kweli Tanzania ingekwenda mahakama ya kimataifa na Accacia wangetulipa fidia.
6.USALITI KTK RASILIMALI ZA WATANZANIA.
Hii ni dhambi mbaya sana ambayo Magufuli alijaribu kumpachika Lissu.
Magufuli alitaka Tundu Lissu aende kaburini kama msaliti wa taifa hili.
MUNGU amekataa hilo na uwezekano mkubwa ni jina la Tundu Lissu kupambwa ktk historia ya Tanzania.
Magufuli hakugusa mtu hata mmoja aliyehusika ktk kuidhinisha mikataba yote mibovu ya madini na nishati.
Magufuli mwenyewe kabla ya kuwa Rais hakuwahi kupinga mikataba ya madini pamoja na kwamba nyumbani kwao Geita kuna mgodi wa madini.
Lakini kitu cha ajabu kupita vyote ni Magufuli kumpa ubunge wa CCM, Deo Mwanyika, aliyekuwa Ceo wa Barrick, na Accacia, tawi la Tanzania.
Na ukiacha hayo kuna kiongozi mkubwa wa Tanzania alitembelea Canada wakati tuko ktk vita vya uchumi. Je, serikali ya Magufuli ilikuwa na "ndimi mbili" wakati wa vita hiyo?
7.LISSU KURUDI WAKATI WA UCHAGUZI
Ni kweli kabisa hakuna aliyetarajia Tundu Lissu atarudi Tanzania wakati wowote.
Lakini Tundu Lissu kurudi kipindi cha uchaguzi ni kwasababu ya hakikisho la ULINZI kwa wagombea Uraisi.
Na uchaguzi ulipoisha na ulinzi kuondolewa Tundu Lissu akatoroka chini ya kinga ya balozi wa Ujerumani.
Je, kungekuwa hakuna sheria ya wagombea Uraisi kupewa ulinzi Tundu Lissu angerudi Tanzania?
Je, Magufuli asingekufa Lissu angerudi?
8.VIONGOZI WA BUNGE KUMSUSIA.
Viongozi wa Bunge walijiweka mbali na Tundu Lissu wakati akijiuguza. Mtu wa kawaida lazima ajiulize kulikoni.
Kulifanyika jitihada za mazungumzo kati ya familia, na viongozi wa bunge, kurekebisha sintofahamu zilizokuwepo, lakini hazikuzaa matokeo mazuri.
Je, Bunge lilikuwa likishinikizwa lisimsaidie Tundu Lissu wakati akijiuguza? Nani alikuwa akitoa mashinikizo hayo?
9.LISSU NA MAMA SAMIA
Mama Samia alipoingia madarakani alijaribu kujenga taswira ya upatanishi.
Ni kipindi hicho ndipo Tundu Lissu alikutana naye.
Kwa tuliyoyashuhudia tunaweza kusema Mama Samia alikuwa na nia ya dhati ya kurejesha HAKI na usawa ktk siasa?
Kuna taarifa kwamba Mama alimkirimu Tundu Lissu na kumfadhili kurudi Tanzania.
Je, kuna ubaya gani kufanya hivyo? Mimi nilitarajia mambo hayo yafanyike kupitia utaratibu rasmi.
Kuna ubaya gani kwa serikali kuwapa kifuta machozi wote walioumizwa kwasababu ya misimamo yao ya kisiasa?
Hao wahuni wana nguvu kubwa kuliko vyombo vyote vya ulinzi na Usalama ndio maana hawajawahi kupatikana.Kwa hiyo ndio nasema walompiga risasi Tundu Lissu ni Wahuni, kama unaelewa maana ya Wahuni sina haja ya kukueleza maana.