Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Wahaini wa Zanzibar (Hanga na wenzake) walishirikiana na mamluki wavamizi kutoka Tanganyika kuivamia Zanzibar.Mapinduzi ni UHAINI ulioondosha utawala wa kikatiba uliokuwepo Zanzibar.
Wahaini wa Zanzibar (Hanga na wenzake) walishirikiana na mamluki wavamizi kutoka Tanganyika kuivamia Zanzibar.Mapinduzi ni UHAINI ulioondosha utawala wa kikatiba uliokuwepo Zanzibar.
Mkuu unanirushia maswali mengi kwa wakati mmoja kiasi kwamba nashindwa kukufuatili kwa kituo. Na nineshasema mara kibao ya kwamba Wazanzibar hawautaki Muungano na sababu kubwa ni Siasa za HIZBU dhidi ya ASP yaani Ugonvi wao wa toka zamani. Mmoja for the Sultanate, ASP against Sultan. Ndiko walikotokea..Mkuu Mkandara hoja hii usiwaulize Watanganyika!Waulize Wazanzibar ndio wenye agenda ya Tanganyika irudi.
Rasimu ya Warioba: Wazanzibar walitaka Serikali 3(S3) au Muungano wa Mkataba. Hawakuta S2 su S1
Ushahidi ni Kitabu cha Aboud Jumbe na kilichomwondoa madarakani ni serikali 3 akisisitiza Tanganyika irudi.
Maalim Seif akaibeba agenda akisema ili Muungano uwe wa haki na sawa Tanganyika irudi ''HAKI SAWA''.
OMO na kina Jussa wanataka serikali ya Tanganyika irud kimya chao ni kuvmbiwa na vibuyu vya asali na ving'ora . Nyerere alitukanwa LANAATULLAH, unajua hili Mkandara, ndio msingi wa watu kukuambia una UNAFIKI.
Unajuwa wazi wanaoitaka Tanganyika ni Wazanzibar wakilaani 'Tanganyika kuvaa koti la Muungano'
Wazanzibar wanadai Tanganyika irudi, wanamtukana Nyerere na Jussa ni shahidi, Mkandara ulikuwa kimya
Leo unaingiza hoja za Udini kana kwamba yameanza jana. Hukumbuki Jumbe aliondolewa na kitu gani, Wariba alisema nini, Maalim alitaka nini, OMO anataka nini! Mamlaka kamili ni uwepo wa S3
Kwamba Wazanzibar wakisema sawa, akisema Mtanganyika ni kosa, unamshaiwishi vipi aliyekuita mnafiki kwamba hakuwa sahihi. Katika '' with all due respect you've double face''
Tanganyika ikirudi itafadika na nini!
Kwa miaka 62 Tanganyika imetoa kila ilicho nacho kulinda Muungano, kelele hazijakoma
Wazanzibar wanachukua uvumilivu wa Tanganyika kama advantage na kuita KERO ambazo nyingi ni upuuzi.
Hivi kuagiza maziwa na kuyaingiza Tanganyika bila kulipia kodi ni Kero!
Kelele za Muungano zinadumaza mijadala yenye maana kwa ujenzi wa Tanganyika.
Raia wanasema Muungano uwepo lakini uwe na mipaka kwa faida ya pande zote na si mbeleko.
Mkuu hapa hakuna ukweli.
Nimekutembeza katika Historia kuanzia Jumbe hadi OMO , wote wanadai Tanganyika.
Tupo hapa Jamvini, rudi miaka 20 nyuma utaona tatizo la Muungano halikuanza na Samia.
Nyerere alikutana na akina Jumbe , Ramadhani Faki na Maalimu.
Mwinyi alikutana na G55, Mkapa akakutana na Mauaji Pemba, JK akakutana na Katiba
Magufuli akapiga marufuku kuzungumzia kwa mkono wa chuma lakini watu walizungumza
Mkuu unapoletewa hoja zikakuzidi unatumbukiza hii karata hatari ya Udini, too low
Mbona hujiulizi kwanini Wazanzibar wapo kimya licha ya miaka mingi ya kuitaka Tanganyika
Udini should never be a line of defence. Unapaswa kujibu hoja as a veteran in this forum.
Hoja ni hizi na ndizo unatakiwa kujikita na kuzifafanua , ni katika mjadala;
1. Je si kweli kwamba waliotaka Tanganyika irudi ni Wazanzibar na ndio waanzilishi wa hoja
2. Je, si kweli kwamba OMO alipoteza cheo cha AG Zanzibar kwa hoja ya Serikali tatu Bunge la Katiba
3. Je, si kweli kwamba matatizo ya Muungano yalianza wakati wa Nyerere?
3b. Je, si kweli Wazanzibar walimtukana Mwalim na kumlaani kwa LAANATULLAH kwasababu ya Muungano
4. Je si kweli kwamba Samia akiwa Bunge la Katiba aliyakuta matatizo hayo!
5. Je, si kweli kwamba kauli za kibaguzi kama za akina Sada Mkuya na H. Mwinyi zinachochea mgawanyiko!
6Je, si kweli kwamba kila Taasisi ya JMT ina mbadala wake Zanzibar na kuzua maswali kuhusu Muungano
7. Je si kweli kwamba ndani ya Tanzania Zanzibar inapewa ''special treatment' kuliko eneo jingine!
8. Je, si kweli kwamba Zanzibar haina mchango katika kuendesha Muungano lakini inadai zaidi kila siku
9. Je, si kweli kwamba uwepo wa ZanID umelenga kuwatenga Watanganyika na fursa za Zanzibar
10. Je, si kweli kwamba Zanzibar inapewa 9% kutoka 4.5% ya pato la Tanganyika !
11. Je, si kweli kwamba kuna nafasi za upendeleo kwasababu ya Uzanzibar ndani ya JMT
12. Je, si kweli kwamba mjadala wa G55 ulianza wakati wa Mwinyi (mzanzibar) na aliyeuzima ni Nyerere (Mtanganyika ) na kwamba hakuna udini wala Utaifa bali hoja
Orodha inaendelea
Nawaalika Wakongwe watuthibitishie kama mijadala ya Muungano haikuanza 2006 hapa JF
JokaKuu Pascal Mayalla Mzee Mwanakijiji Mwalimu Gagnija Rev.Kishoka Maxence Melo Nyani Ngabu Kiranga
Narudia. Serikali ya JMT ni Serikali inayoshughulikia Mambo yote ya Muungano na yale yasokuwa na Muungano kwa Tanzania Bara. Najua unataka niisema Tanganyika, ndio Bara ni Tanganyika yenu ile ya Muingereza. Umefurahi?Unapozungumzia Bara unamaanisha Tanganyika?
Hiyo 'bara' unaweza kueleza ni kwa namna gani imekiuka vipi katiba kwenye HAKI, USAWA, UWAKILISHI na UTEKELEZAJI.
Na hiyo Zanzibar imekikuka katiba katika mambo yapi?
Hivi mnashindwaje kunielewa? Sasa hivi na Serikali mbili Tanganyika inagharamia asilimia 96 ya Serikali ya JMT, yes tumevaa Koti la Muungano kwa kujivika madaraka sisi wala sio gharama hizo...hivi tunavyozungumza Tanganyika imebeba gharama za kuendesha mambo ya muungano, na mambo ya Tanganyika.
..kwani wanaposema Tanganyika imevaa koti la muungano wewe unadhani wanamaanisha nini?
..Kwa hiyo kuigatua serikali ya Tanganyika kutoka ktk serikali ya muungano siamini kama kutaleta ongezeko la gharama kwa kiasi kikubwa.
..Kwa hiyo hoja yangu, iko palepale kwamba serikali ya Tanganyika iundwe, na hatua za kudhibiti ukubwa wake, na gharama zake, zizingatiwe.
Serikali ya JMT ni serikali ya Bara kivipi wakati Bara ilishakufa 1964? Usanii na mauzauza tu! Kama vipi na SMZ nayo ife basi tubaki na JMT ivae makoti yote mawili (Bara & Visiwani)Nitakujibu kwa maelezo mafupi sana. Zanzibar wanayo Serikali yao na Serikali ya JMT ni Serikali ya Bara kwa mambo yote ya Muungano na yasokuwa ya Muungano. Tumeua ndege wawili kwa jiwe moja. Kinachokosekana ni JINA tu la Tanganyika. Ni sawa leo badala ya kukuita Mwalimu tukupe jina la Mhadhili.. yaani tumekupandisha hadhi 😂😂😂
Kwa hiyo wewe ukibadilisha jina la Mwalimu ukaitwa Mhadhili basi utakuwa umekufa?Serikali ya JMT ni serikali ya Bara kivipi wakati Bara ilishakufa 1964? Usanii na mauzauza tu! Kama vipi na SMZ nayo ife basi tubaki na JMT ivae makoti yote mawili (Bara & Visiwani)
Mambo yasokuwa ya Muungano wafaidika ni pekee ni Zanzibar sababu wanafanya ya kwao bila kuingiliwa... Bara inanufaika vipi na mambo yasio ya Muungano?
Mkuu Tanganyika imebeba gharama za kuendesha Muungano, mambo ya Tanganyika na Zanzibar..hivi tunavyozungumza Tanganyika imebeba gharama za kuendesha mambo ya muungano, na mambo ya Tanganyika.
Ni kweli wanachosema Wazanzibar kwamba Tanganyika imevaa koti la Muungano! Koti hilo linagharamiwa likitatuka au likiwa na chawa na Watanganyika ingawa Wazanzibar wamejisetiri. Ili kuweka usawa rudisha Tanganyika tujue haya yanabebwa na Watanganyika , yale na Wazanzibar na haya ni ya pamoja..kwani wanaposema Tanganyika imevaa koti la muungano wewe unadhani wanamaanisha nini?
Hakuna gharama zitakazoongezeka ni njia ya kutisha watu. Hadi sasa Tanganyika inabeba 100% , uwepo wa Tanganyika utaifanya Zanzibar iwajibike na kupunguza mzigo! in fact uwepo wa Tanganyika ni nafuu kwa gharama...Kwa hiyo kuigatua serikali ya Tanganyika kutoka ktk serikali ya muungano siamini kama kutaleta ongezeko la gharama kwa kiasi kikubwa.
Yes, tazama mfano huu. SMZ ina Wawakilishi 50 tu kwasababu inadhibiti gharama zake. Wabunge kutoka Zanzibar wanaokuja kulala Dodoma na kujadili hoja za Yuda wapo 100+ kwasababu wanalipwa na kodi za Tanganyika. Ndio maana kuna Jimbo Zanzibar lina Mbunge aliyechaguliwa na watu 3,500, yaani wachache kuliko Wanafunzi wa UDSM DUCE. Sababu ni kwamba SMZ haijali hata kama Wabunge wanaokuja Dodoma watakuwa 1000 haiwalipi. Leo ukiwaambia Wabunge walipwe na SMZ watakataa..Kwa hiyo hoja yangu, iko palepale kwamba serikali ya Tanganyika iundwe, na hatua za kudhibiti ukubwa wake, na gharama zake, zizingatiwe.
Mkandara stamp zilizotoka Mwaka 1964 baada ya Aprili 26 zilisomeka hivi '' The United Republic of Tanganyika and Zanzibar'' . Baadaye ndipo likaja jina la Tanzania. Nyerere alitumia sana Tanzania Bara na Tanzania VisiwaniUnapozungumzia Bara unamaanisha Tanganyika?
Mkandara Mwafrikamtanzania anauliza kwa muktadha wa Muungano , mambo gani ya Katiba yakihusu Usawa. uwakilishi, na Utekelezaji yamekiukwa DHIDI YA ZANZIBAR? Usizungumzie haki nyingine baki katika muunganoHiyo 'bara' unaweza kueleza ni kwa namna gani imekiuka vipi katiba kwenye HAKI, USAWA, UWAKILISHI na UTEKELEZAJI.
Hivi mnashindwaje kunielewa? Sasa hivi na Serikali mbili Tanganyika inagharamia asilimia 96 ya Serikali ya JMT, yes tumevaa Koti la Muungano kwa kujivika madaraka sisi wala sio gharama hizo.
Tukiwa na Serikali 3 bado tutagharamia aslimia 96 ya Mambo yote ya Muungano kama ilivyo sasa hivi kisha tutagharamia 100% mambo yasokuwa na Muungano.
Kwanza umeshasema Stamp zilitoka 1964 zikisomeka The United Republic of Tanganyika na Zanzibar inabadilusha kitu gani kwa Nchi moja. Hata miaka hiyo Ilikuwa ikisemwa Serikali ya Zanzibar na Pemba. Ni kama unaniuliza tofauti ya British na United Kingdom.Mkandara stamp zilizotoka Mwaka 1964 baada ya Aprili 26 zilisomeka hivi '' The United Republic of Tanganyika and Zanzibar'' . Baadaye ndipo likaja jina la Tanzania. Nyerere alitumia sana Tanzania Bara na Tanzania Visiwani
Kama utakumbuka taarifa ya habari '' kutoka sauti ya mapinduzi Tanzania visiwani''
Mwafrikamtanzania anauliza hiyo serikali ya Tanzania Bara unayoongelea ni ile ya Tanganyika?
Mkandara Mwafrikamtanzania anauliza kwa muktadha wa Muungano , mambo gani ya Katiba yakihusu Usawa. uwakilishi, na Utekelezaji yamekiukwa DHIDI YA ZANZIBAR? Usizungumzie haki nyingine baki katika muungano
Kwa ukumbusho tu, hebu tumsikilize Mh. Tundu Antiphas Lissu, ambaye Mkandara anamwita mhuni aliwahi kusemaje kuhusu huu muungano...
Sio Mimi huyo. Umenitag hapo, huyo jamaa anafanana kdg ID na mimiMkandara stamp zilizotoka Mwaka 1964 baada ya Aprili 26 zilisomeka hivi '' The United Republic of Tanganyika and Zanzibar'' . Baadaye ndipo likaja jina la Tanzania. Nyerere alitumia sana Tanzania Bara na Tanzania Visiwani
Kama utakumbuka taarifa ya habari '' kutoka sauti ya mapinduzi Tanzania visiwani''
Mwafrikamtanzania anauliza hiyo serikali ya Tanzania Bara unayoongelea ni ile ya Tanganyika?
Mkandara Mwafrikamtanzania anauliza kwa muktadha wa Muungano , mambo gani ya Katiba yakihusu Usawa. uwakilishi, na Utekelezaji yamekiukwa DHIDI YA ZANZIBAR? Usizungumzie haki nyingine baki katika muungano
Nimemtag yeye ndio aloweka jina lako akitaka nimjibu yeye kwa niaba yako.Sio Mimi huyo. Umenitag hapo, huyo jamaa anafanana kdg ID na mimi
Nilitaka kukuonyesha kwamba hakuna serikali ya Tanzania Bara! haikuwepo na haitakuwepoKwanza umeshasema Stamp zilitoka 1964 zikisomeka The United Republic of Tanganyika na Zanzibar inabadilusha kitu gani kwa Nchi moja. Hata miaka hiyo Ilikuwa ikisemwa Serikali ya Zanzibar na Pemba. Ni kama unaniuliza tofauti ya British na United Kingdom.
Mkuu ugumu upo wapi? Tuonyeshe wapi Tanganyika imekiuka katiba ya JMT dhidi ya Zanzibar! go straight to the pointLa pili, Kukiuka Katiba ya JMT haina Uzanzibar wala Ubara. Viongozi wanapokiuka Katiba ya Jamhuri kunaathiri image ya nchi nzima. Iwe kupitia Maandishi, Matamko, Haki za Binadamu, Uchaguzi, Utekaji au mauaji haijalishi yametokea upande gani wa Muungano.
Yes, ili tusaidie jamii tusiongee '' in general'' tuwe na specifics, na ndizo tunakuuliza point out wapi Tanganyika imekiuka katiba ya JMT dhidi ya Zanzibar.Madai yote haya ya Katiba Mpya na Serikali 3 yanatokana na Ukiukaji wa Katiba iliyopo. Hakuna sura, Ibara wala kipengele cha Katiba hii kinaruhusu mambo yanayofanyika ni kinyume cha hayo niloyataja hapo juu..
Ni kweli na nikukumbushe zaidi. Kuna mtu aliniuliza katika mijadala kama CCM wanataka kuweka mgombe nani angefaa. Nilimjibu kwamba kwa nchi ilipofikia inahitaji 'Dikteta'' atakyepambana na rushwa na Ufisadi uliotamalaki ambaye ni Magufuli. Hii ilikuwa kabla ya kuchukua Fomu! nilieleza sababu kwamba anasimamia kazi na ana misimamo thabitiNikurudishe nyuma zaidi kabla ya 2015 kama unakumbuka wakati Tunakaribia Uchaguzi. Sote humu tulisema Tanzania inahitaji Rais dikteta, rais ambaye atafanya maamuzi magumu kupambana na UFISADI. Tukayasema mambo kadhaa ambayo Chadema ikayatumia Kisiasa na hata kuyatumia kuelekea Kampeni za 2015. Unakumbuka?
Sikuwahi kukubaliana na Lowassa kwenda CHADEMA kwa hoja kwamba huwezi kupiga vita Ufisadi kisha ukaukumbatia kwa njia nyingine. Niliandika pia kwamba Dr Salaa akae kimya bila kutumiwa na akina Mwakyembe kwasababu Historia itawahukumu waliofanya hayo! Nilielewa hasira zake kwasababu ya kukiukwa misingiOk, akatokea Lowassa kuhamia Chadema, mimi nilikuwa mtu wa kwanza kusema itakuwa kosa kubwa sana Chadema kumchukua Lowassa, wanamuacha Dr. Slaa.
Ni kweli na nilisema kwamba CHADEMA hawawezi kushinda Urais lakini mkakati wa kupunguza CCM majority kwa kuwa na Wabunge wengi nauunga mkono. Hii ni kwasababu bila 2/3 CCM hawawezi kufanya lolote.Na nilisema wazi kule CCM hakuna mtu wa kumshinda Dr. Slaa uchaguzi ule! Nakumbuka vizuri tulipelekana sana na Nguruvi3. Upande wenu mkidai Chadema inatafuta majority Bungeni as if tuna Utawala wa Viti (Electoral voting). Mlinipiga vita kama hii ya leo kuhusu Muungano.
IlitokeaCCM wakamchagua Magufuli strategically kwa sababu ghafla Lowassa akawa Fisadi anayetakiwa kuondolewa. Sera na Ilani zote za Chadema Magufuli akazibeba! Tena akawa exactly kama Chadema walivyokuwa wakiwasema Viongozi wa CCM.
Nilimkubali Magufuli kwa sera zake za kusimamia kazi, kurudisha heshima ya utumishi na uwajibikaji makaziniGhafla Chadema wakaanza kumgeuka Magufuli wakijua kawazidi karata, kachukua Sera zao na kazifanyia kazi. Kama kawaida yenu Mkamtumia Tundu Lissu kumpasua Magufuli personally, mkasahau adui yenu ni CCM sio Magufuli. Chama gani hakina Itikadi kinaenda na mihemko! I was disappointed..
Nimekueleza kwanini nilimkubali na kwanini nilimkataa Magufuli hapo juu.So, On my side, I remained na Magufuli kwa sababu alifanya vitu ambavyo tuliombea miaka kibao toka 2010. Udikteta kupiga vita UFISADI, Kufanya maamuzi magumu kwenye rasilimali za Taifa. Na mengine tulokuwa tukijadili toka 2010.
Sina Chama lakini nina msimamo! Chama cha Siasa kinachoongozwa na mtu yoyote awe Dovutwa au Mzee wa Ubwabwa, ACT au CHADEMA kinachoweza kuiondoa CCM nakiunga mkono! Anyone who can provide a silver line, niko naye ! na siogopi kusema naichukia CCMNilipoona watu wote mmegeuka kiitikadi (Ideology) binafsi nikaamua kujikata Jamiiforums na kuondoka maana matusi yalizidi. Ni Chadema kupitia Lissu walomjengea Maadui Magufuli na Mafisadi wakaona mwanya..Yalofuata anajua Mungu pekee...
Duuh! Ananichonganisha 😀Nimemtag yeye ndio aloweka jina lako akitaka nimjibu yeye kwa niaba yako.
Kama #jamiiforums inahifadhi Mada za zamani ningeomba wahusika watuwekee hapa iile thread tulikuwa tukijadili Lowassa kwenda Chadema.. Ukweli utajulikana.Ni kweli na nikukumbushe zaidi. Kuna mtu aliniuliza katika mijadala kama CCM wanataka kuweka mgombe nani angefaa. Nilimjibu kwamba kwa nchi ilipofikia inahitaji 'Dikteta'' atakyepambana na rushwa na Ufisadi uliotamalaki ambaye ni Magufuli. Hii ilikuwa kabla ya kuchukua Fomu! nilieleza sababu kwamba anasimamia kazi na ana misimamo thabiti
Sikuwahi kukubaliana na Lowassa kwenda CHADEMA kwa hoja kwamba huwezi kupiga vita Ufisadi kisha ukaukumbatia kwa njia nyingine. Niliandika pia kwamba Dr Salaa akae kimya bila kutumiwa na akina Mwakyembe kwasababu Historia itawahukumu waliofanya hayo! Nilielewa hasira zake kwasababu ya kukiukwa misingi
Ni kweli na nilisema kwamba CHADEMA hawawezi kushinda Urais lakini mkakati wa kupunguza CCM majority kwa kuwa na Wabunge wengi nauunga mkono. Hii ni kwasababu bila 2/3 CCM hawawezi kufanya lolote.
Ilitokea
Nilimkubali Magufuli kwa sera zake za kusimamia kazi, kurudisha heshima ya utumishi na uwajibikaji makazini
Kusimamia rasilimali za nchi hasa kampeni ya kudhibiti Wanyamapori waliobebwa hovyo wakati wa Kikwete
Nilimkubali Magufuli kwa maamuzi thabiti hata kama ni mabaya. Mfano, maamuzi ni kuhamia Dodoma, bwawa la Nyerere. Nilikubali sana 'guts' zake
Nilianza kutofautiana sana na Magufuli baada ya kubaini hana heshima kwa utu wa mwanadamu, hakubali kupingwa na kila mwenye mtazamo tofauti ni adui.
Nilimkataa kwa kuanzisha nepotism na makundi ya kikabila na kikanda. Magufuli ni mmoja wa viongozi walio panda smbegu za Ukanda na kuaminisha watu ukiwa kiongozi kwenu kwanza.
Hata tunayoyaona sasa blue print yake ni magufuli. Kilichonitofautisha zaidi ni kuunda magenge ya kuua Wananchi yakiongoza na akiba 7ya, au yale ya kumuua Tundu Lissu! Haya sikukubaliana naye tena na ninasema alipanda mbegu mbaya inayotutafuna hadi leo!
Nimekueleza kwanini nilimkubali na kwanini nilimkataa Magufuli hapo juu.
Sina Chama lakini nina msimamo! Chama cha Siasa kinachoongozwa na mtu yoyote awe Dovutwa au Mzee wa Ubwabwa, ACT au CHADEMA kinachoweza kuiondoa CCM nakiunga mkono! Anyone who can provide a silver line, niko naye ! na siogopi kusema naichukia CCM