Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Acha Uongo sema huna hela, kwani hadi uwe huko aliko tu ndo umnunulie?

Uongo gani sasa!? Au ni wivu unakusumbua tu...!? Ni kweli sina hela, pia utambue kutoa si kuwa na hela! Kwa mwezi natumia zaidi ya 90k kwa ajili ya bando, hizo sare ni kiasi gani ndio nishindwe kununua? Kuna maoni ambayo tayari nimekwisha yachukua na nitayafanyia kazi!
 
Anayemhoji anaonekana mshamba kuliko dogo mwenyewe
 
Unayo akili timamu?
 
Kizazi cha haki, dogo kaweka historia ya kuwahi kuishi na "kumzimikia" mwanaharakati bora kabisa wa haki za binaadam na utawala bora kuwahi kutokea Africa!
Usishangae kesho ccm kutoa maelekezo wazazi wa dogo wahojiwe uraia wao, pengine hata wapewe kesi ya uhujumu uchumi
 
Kushusha bendera za Chadema Mbarali haitasaidia lolote
 
Sasa mtoto kupanda juu ya mti ndio Jambo kubwa
Tushapanda Sana miti Kama tunataka kushangaa Jambo tulipokuwa watoto
Yaani watu mnapenda kukuza vituko kijinga a duuh
 
Sasa mtoto kupanda juu ya mti ndio Jambo kubwa
Tushapanda Sana miti Kama tunataka kushangaa Jambo tulipokuwa watoto
Yaani watu mnapenda kukuza vituko kijinga a duuh
Nyie mlipanda juu ya miti kuvuta bangi , huyu kapanda kuona Ukombozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…