YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mnamtumia dogo ku steam out frustration zenu zilizorundikana!!!! maskini wee,Mnatia hurumaHuyo dogo ni mwamba kweli kweli.
Hichi ndio kizazi tunachokihitaji hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamtumia dogo ku steam out frustration zenu zilizorundikana!!!! maskini wee,Mnatia hurumaHuyo dogo ni mwamba kweli kweli.
Hichi ndio kizazi tunachokihitaji hapa Tanzania.
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Kwani Lissu kawabeba kwenye malori kama wale wa mwingine. Au unataka awafukuzeWhat a double standard. Si mnasema watoto wabaki shule kujisomea na sio kuhudhuria mikutano ya kisiasa Kama wanavyosombwa na ccm? Nilifikiri mngemchapa viboko ati.
Huyo dogo katoka zake shule baada ya muda wa masomo akajiongeza zake yeye binafsi ili kwenda kusikiliza sera za Tundu Lissu kuhusu Elimu bora.What a double standard. Si mnasema watoto wabaki shule kujisomea na sio kuhudhuria mikutano ya kisiasa Kama wanavyosombwa na ccm? Nilifikiri mngemchapa viboko ati.
Unaweza kuzituma mkuuSafi sana, huyu ningekuwa huko alipo ningemnunulia pia sare za shule nyingine kama seti tatu hivi!
Mbona wamempa vitu vichache [emoji1787][emoji1787], wangempa na baiskeli banahAma hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .
Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !
View attachment 1572209View attachment 1572210
Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
Rushwa haichagui miaka0ana miaka 18 huyoo?
Uhai alionao mdude umetokana na Mungu lakini kwa dua zetuTulishindwa kumlinda Mdude tutaweza kumlinda huyu dogo???
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
matumizi ni kwa wanaowatumia watoto kwa RC kuandika barua rasmi ili shule zifungwe kwa ajili ya kujaza uwanja , kumbuka huyu dogo alinaswa na camera ya BBC akihangaika kutaka kumuona Lissu jukwaani , hakusombwa na ChademaMkuu unajua kujitetea
Swala ni matumiz ya watoto kwenye kampen
Huyo dogo alitakiwa achapwe viboko na makamanda maana hawataki watoto kwenye mikutano yao ya kampeini, hapo sasa ndio utajua CHADEMA imejaa double standard ! Ndio maana tunaojitambua tunasema ni CCM mbele kwa mbele.
Kahojiwa mtoto hawajahojiwa walimu shule anayosomaHuyo mtoto amehojiwa akasema alimaliza masomo saa 6 ndiyo akaenda kumuona Lissu.
Hakuna kitu kama hicho huyo ameandaliwa mapema kama yule aliyetoa mikeka na kuku, ni maigizo ya nyumbu mbugani.
Kahojiwa mtoto hawajahojiwa walimu shule anayosoma
Taarifa zilizopo shuleni ni kuwa alitoroshwa na mtu kwenda naye kwenye huo mkutano wenzie wakiwa darasani .Nahisi atakuwa huyo aliyemhoji .Sababu wanafunzi wenzie wanasema walimuona na mtu aliyeondoka naye
Huyu mtoto hakuambiwa aende kumwona Lissu. Aliamua mwenyewe. Achana na wale watoto wa shule wanaoamrishwa na viongozi wa shule kwenda kwa Magufuli.
Na ushahidi wa watoto wenzie ambao ni wengi walioko shule anaposoma nao hautiliwi shaka utakapotolewa ambao watoto wenzie walimuona akitoroshwa na kuondoka na mtuHujui kuwa ushahidi wa mtoto hautiliwi shaka?
msimung'unye maneno , semeni Mkoa wa MwanzaKuna mikoa ilibidi shule zifunguliwe Jumanne kisa tu Jumatatu kuna uzinduzi wa kampeni za chama pendwa!
Hatujasahau hilo, wasitusahaulishe kwa sababu ya Zakayo shujaa mmoja.
Na ushahidi wa watoto wenzie ambao ni wengi walioko shule na hautiliwi shaka utakapotolewa ambao walimuona akitoroshwa na kuondoka na mtu