Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
huyo mtoto wa shule kapandishwa juu ya mti kwa lazima hata sura yake inaonyesha wasiwasi.
 
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .

Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !

View attachment 1572209View attachment 1572210

Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
Sio rushwa hiyo??
 
Lakini mgombea wetu si anapinga kutumia watoto kufanya kampeni? Mbona mnataka kumharibia? Watoto hawatumiki kufanya kampeni.
Kampeni zingekuwa na watoto huyo mtoto asingepanda kwenye mti. Si unawaona watoto wanavyowekwa mbele kwenye kampeni za green party?
IMG-20200917-WA0031.jpg
 
Huyu dogo anaonekana yupo vizuri hata wakati anafanyiwa interview anajielewa sana, just imagine yupo std 3.

Huko Instagram watu wamesha anza kumkabidhi vifaa vya shule
Kalishwa maneno shuleni Kwao walinu wanasema alitoroshwa na mtu na wanafunzi wenzie wanasema hivyo
 
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Huyo nae Ana kiu ya haki,kwa mapenzi yake,kwao amaamua kwa hiyari take tens kumbuka mikutano haifanyiki juu ya miti,kitendo Cha kupewa vifaa vya shule ni ahamasike kupenda shule pia. Itamjenga kuwa mtu Bora zaidi hapo baadae.
 
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .

Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !

View attachment 1572209View attachment 1572210

Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
Tundu Lissu Jnr the making...........
 
Back
Top Bottom