Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

Duh! Sasa mtoto kapandishwa juu ya mti angekutanan na nyoka JE? Unataka kuniambia kuwa wakati wote alikuwa ameweka alama ya V. Jamani x2
 
Hii ni rushwa, chadema waenguliwe kwenye huu uchaguzi wa Rais maana wamekiuka maadili na kanuni za uchaguzi. Hawana sifa ya kuendelea kushiriki
 
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
ajaletwa na roli lakini
 
1995 nilishiriki kikamilifu kampeni za chadema ikiwa ndio mikutano yenye washiriki wachache sana. Lakini wakati huo nikiwa na umri chini ya miaka 10 nilikuwa namwelewa mgombea mmoja wa udiwani chadema. Alieeleza sera zake makini zikanigusa. Tangu hapo mimi ni mwanachama mwandamizi wa chadema. The implanted instincts since then shall never wear off.
Ulikuwa una miaki mingapi wakati ule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho huyo ameandaliwa mapema kama yule aliyetoa mikeka na kuku, ni maigizo ya nyumbu mbugani.
Tatizo lako wewe chanzo chako cha habari ni channel 10 na tbc na uhuru na mzalendo tu
 
Chadema mnasema maendeleo sio vitu kwenye sera yenu kwa nini mumempa vitu yaani madaftari na peni huyo mtoto?

Mwangalieni usoni dogo anavyowashangaa!! mbona mnasema maendeleo sio vitu halafu mnanipa vitu? Dogo anaonyesha wazi kachukia na hawaelewi Chadema anauliza nini hiki mlichonipa mkononi wakati mnasema maendeleo sio vitu na nimemsikia mimi mwenyewe Lisu akiongea nilipokuwa juu pale penye mti? Mbona siwaelewi?

View attachment 1572220
Am going to save this photo as i have this gut feeling he is going to be somebody
 
Kweli kutoa ni Moyo

Kumtangaza ulie msaidia ni masimango

Watoto kwenda kwenye kampeni za CCM wanaitwa watoto wakienda chadema wanaitwa mashujaa

Tutunze ndimi zetu tufikiri ukurasa ujayo
toka kampenu zimeanza huyo ni mtoto wa kwanza kuonekana mkutanoni akiishangaa Chadema hapo CHadema wanaona kama wameona mwezi ndio ujue CHadema ya SASA ina hali ngumu.Watoto kuonekana mkutanoni ni kama almasi

Hali mbaya Chadema
 
Am going to save this photo as i have this gut feeling he is going to be somebody
ukiona kobe kapanda juu ya mti kapandishwa

Kick za Chadema haziishi .Wamempandisha wakamlisha maneno wakamwambia weka alama ya vidole viwili tukupige picha

Waweza mtumia kukusanya pesa na kuzitafuna
 
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Utakuwa huna akiri, umeona ujumbe huo aliouwasilisha?
 
Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .

Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !

View attachment 1572209View attachment 1572210

Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
Huyo dogo ni mwamba kweli kweli.
Hichi ndio kizazi tunachokihitaji hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom