Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,936
- 4,947
Vipi huo muda aliopoteza vipindi?
Usichanganye mambo mlamu, kule mbogamboga ni kwamba kengele inagongwa wanafunzi wote waende uwanjani... ni tofauti na huyu dogo Zakayo wa Yesu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huo muda aliopoteza vipindi?
Ndio maana leo nikimuona Mrema ananisikitisha sana, jamaa alikuwa na mvuto na hamasa hadi kwa watoto wadogo. Nikiwa bado kijana mdogo 1995 nilimkubali sana, lakini nisicho jutia ni kuwa hata alipozingua sikuwahi kuelekea uelekeo wa ccm.Vibe la Mrema na timu yake ilikuwa si mchezo, nakumbuka tulitoroka shule kwenda kumsubiri jamaa tukiwa wadogo sana.
So hapo unazungumzia uwingi wa waathiriwa wa kampeni (quantity). Hujajali kabisa kuhusu quality ya mtoto kukosa masomo. Dunia ya Leo hatuangalii tuu uwingi lakini pia uthamani wa Jambo husika hata kwa wachache. Point yangu haikuwa kufananisha what CCM is doing but also what CDM are praising for the same mistake. By the way Nina kadi hai ya CHADEMAUsichanganye mambo mlamu, kule mbogamboga ni kwamba kengele inagongwa wanafunzi wote waende uwanjani... ni tofauti na huyu dogo Zakayo wa Yesu!
So hapo unazungumzia uwingi wa waathiriwa wa kampeni (quantity). Hujajali kabisa kuhusu quality ya mtoto kukosa masomo. Dunia ya Leo hatuangalii tuu uwingi lakini pia uthamani wa Jambo husika hata kwa wachache. Point yangu haikuwa kufananisha what CCM is doing but also what CDM are praising for the same mistake. By the way Nina kadi hai ya CHADEMA
Ilikuwa ni muda wa lunch. Watoto walitakiwa waende kula halafu warudi kumalizia vipindi vya jioni. Huyo hakwenda kula, alienda kumshangaa lisu. Pengine hakurudi Tena shule, au alisinzia darasani sababu ya njaa. A worst thing hakutii ratiba ya shule ambayo ni utovu wa nidhamu ambao ninyi mnaubariki. What a double standard.Kwa hoja yako hii, kama ni hoja anyway... utahitaji pia ujue tukio ilikuwa muda gani pengine ni baada ya masomo!
Ilikuwa ni muda wa lunch. Watoto walitakiwa waende kula halafu warudi kumalizia vipindi vya jioni. Huyo hakwenda kula, alienda kumshangaa lisu. Pengine hakurudi Tena shule, au alisinzia darasani sababu ya njaa. A worst thing hakutii ratiba ya shule ambayo ni utovu wa nidhamu ambao ninyi mnaubariki. What a double standard.
Anajitambua kuliko hata ukoo wenu wotee jumlisha na waliokufa...!!Huyu mtoto hajitambui.
Aiseeee !!hii ni rushwa
Chadema huo ni ushahidi kuwa mikutano yenu inahudhuriwa na watoto wadogo
mumekuwa mkisema ohh mikutano ya CCM wanahudhuria watoto wadogo huyo mliyempa daftari Chadema ni kikongwe huyo?
Lakini mgombea wetu si anapinga kutumia watoto kufanya kampeni? Mbona mnataka kumharibia? Watoto hawatumiki kufanya kampeni.
What a double standard. Si mnasema watoto wabaki shule kujisomea na sio kuhudhuria mikutano ya kisiasa Kama wanavyosombwa na ccm? Nilifikiri mngemchapa viboko ati.
Mkuu unaweza kuzituma tu,hebu timiza dhamira yako usiiache ipotee!!
Nyie mataga acheni kupotosha!
Huyo mtoto hakupelekwa na chadema wala hakuchukuliwa shuleni moja kwa moja na kupelekwa kwenye kampeni, tofauti na wale walioambiwa na ccm wasiende shule wapekekwe kwenye kampeni!
Huyo mtotoa alikuwa tayari ametoka shule hivyo akaamua mwenyewe kwa mapenzi yake kwenda kumuona TAL, mnaposema chadema inatumia watoto kwa kutumia case ya huyo mnapotosha mno!
Msikilizeni hapa
Sera ya Elimu bure ilikuwa ya CHADEMA 2015-2020 ambayo CCM waliivamia ikawashinda! Kwa hiyo CHADEMA wameonyesha mfano kuwa Sera hiyo wataisimiamia vizuri kwa kugawa vifaa bure kwa watoto wa shule!Chadema mnasema maendeleo sio vitu kwenye sera yenu kwa nini mumempa vitu yaani madaftari na peni huyo mtoto?
Mwangalieni usoni dogo anavyowashangaa!! mbona mnasema maendeleo sio vitu halafu mnanipa vitu? Dogo anaonyesha wazi kachukia na hawaelewi Chadema anauliza nini hiki mlichonipa mkononi wakati mnasema maendeleo sio vitu na nimemsikia mimi mwenyewe Lisu akiongea nilipokuwa juu pale penye mti? Mbona siwaelewi?
View attachment 1572220