Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwahiyo kila litakapotukia jambo lenye utata watalisolve kwa kumficha mzee na mzee atakubali?Jamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.
Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
Hivi nikuulize tu, hivi utafurahi ikitokea baba yako au babu yako au mjomba yako anazushiwa jambo ambalo sio la kweli.Unawakumbuka waliokuwa wanasema LOWASA ni MGONJWA!?
Umemkumbuka mpenzi wako....?Watawala, Mjitafakari matendo yenu..
Nchi imekosa mshikamano na badala yake tunaombeana mabaya hadharani,
Hakuna haja ya kukimbizana na watu mitandaoni.., mtakamata wangapi?
Jengeni nchi yenye umoja, msilingie na kujivunia vyeo mlivyo navyo
##YUKO WAPI RAIS WETU KIPENZI?
Huyo kijana akamatwe tu.
Maana ni uzushi, Meko haumwi, amekufa kibudu, na mzoga wake bado upo India, kwanini huyo kijana katoa taarifa ya kuumwa badala ya kusema ukweli kuhusu kifo cha dikteta Jiwe?
Ndio majibu ya swali nililokuulizahivi nikuulize tu, hivi utafurahi ikitokea baba yako au babu yako au mjomba yako anazushiwa jambo ambalo sio la kweli.
kama hupendi basi acha tabia ya kudandia maneno ambayo hayana uthibitisho.
usipende kushabikia mambo usiyo yajua.bora uka kaa kimya.
DPP anasemaga hana haja ya kuendelea na kesi, ila mhusika anakua kasota muda mrefu.Ikiwa kama anaumwa kweli inakuwaje?
Nani kathibitisha ni mgonjwa??Hivi mtu kuwa mgonjwa ni dhambi?
Si umeona wameuunganisha na uzi wa mtu mwingine!! Yaani hapa wamekusamehe sana. Wiki hii wanajitahidi kuziondoa nyuzi zenye mlengo huu wa maswali.Kwa nini ufutwe mkuu?
Unafikiri hahahaha, tuache tu ushabiki maana pia hautusaidiMatamko ya serikali!?
Wenye mamlaka ya kusema wapo kimya na siku zinaenda, unazuia uvumi kwa kukamata watu au kwa kuonyesha ukweli? Mbona kuwatafuta na kukamata ni kazi kubwa kuliko kusema tu mh. Raisi yupo kwake kwa mapumziko simpo tu"....
Habari yako mkorintoweee mama wewe[emoji44][emoji44]
Haijafungwa washa vpn...iko poaHawa jamaa hawako serious yaani wamefunga twitter halafu wanatumia hiyo hiyo twitter kama source ya kufikisha habari?
Nzuri kabisa, niko tu naangalia idadi ya wachawi wenye umri mdogo kabisa TZ.Habari yako mkorinto
CHADEMA wamemtelekeza hawaendi hata kumsalimia, maskini [emoji22]Hivi Mdude yupo jela?
Ukibakwa kama mdude unaitisha waandishi!!!![emoji28][emoji28][emoji28].Huyo kijana akamatwe tu.
Maana ni uzushi, Meko haumwi, amekufa kibudu, na mzoga wake bado upo India, kwanini huyo kijana katoa taarifa ya kuumwa badala ya kusema ukweli kuhusu kifo cha dikteta Jiwe?