Watamvunja miguu alafu watamtupa mtaroni.Kumekucha...
Ikija kubainika kuwa ni kweli Mkuu alikuwa mdhoofu mtuhumiwa atabadirishiwa mashtaka ama yatabaki kama yalivyo?
Nachelea kusema huyu atashtakiwa Kwa kosa la kuingilia mamlaka ya taasisi bila idhini.
Achana na mimi cockroach. Wewe ni kiumbe mfu na usiye kuwa na hoja za kuargue na mtu kama mimi, tulio liona darasa kwa ndani na kupata exposure ya maisha kwenye nchi nyingine pia. Hoja zako za kibongo bongo ni nyepsi sana na hazina mantik. Ni hoja za masikini wa akili. Mtu asiye liona darasa kwa ndani. PERIOD!Hizo sifa zote ni kwa hilo jizi la kura?
Uzushi ndiyo dhambi, acha kukwepa hoja ya msingi.Hivi mtu kuwa mgonjwa ni dhambi?
Watamuachia wakati kashachakaa!Kumekucha...
Ikija kubainika kuwa ni kweli Mkuu alikuwa mdhoofu mtuhumiwa atabadirishiwa mashtaka ama yatabaki kama yalivyo?
Nachelea kusema huyu atashtakiwa Kwa kosa la kuingilia mamlaka ya taasisi bila idhini.
Inaunguza watoto!!Ugali wa moto mboga ya moto.
Ndani ya hii miaka 6 ya huyu mgonjwa nchi yetu imekuwa ya hovyo kabisa!!Tanzania kuna raha sana...
Aliahidi kuishi kama mashetani, yakatimiaNdani ya hii miaka 6 ya huyu mgonjwa nchi yetu imekuwa ya hovyo kabisa!!
Sijasema kuficha hapo ni kudestroy tu kama yaliyotokea alipokufa stalin wa soviet union hali ilikuwa kama hiviUna maana wapo busy kuficha mafaili?
Mimi Twitter inagoma nilisahau neno la siri nikasema nifungue acc mpya imegomaKigogo sii Mange, Kigogo ni Taasisi Haiwezekani Account iwe Online 24 hour, Ukishtuka saa 9 usiku Kigogo yupo online Anytime yupo Online Uje umkamate kiboyaboya hivi wamuulize Kangi Lugola.
Media za Kenya hawana tena hamu na siasa za Tanzania!Huu ukimya watu washakula mitama huko si Ngurumo wala Lissu wote kimyaaa .... Sasa watakuwa wanapika spinning nyingine [emoji38]
Miaka mitano bila nyongeza za mishahara, wafanyabiashara wengi kufungiwa biashara zao, Account zao, kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi, na mateso mengineyo kibao ikiwemo uchakachuaji kwenye chaguzi zoteNdani ya hii miaka 6 ya huyu mgonjwa nchi yetu imekuwa ya hovyo kabisa!!
Wewe usiye pimbi sema mtukufu yupo wapi sasa? Acha history za nyuma tuongee ya leo leoKigogo ni pimbi tu.
Hii si mara ya kwanza kam-wish namba 1 kifo....
Huo uonevu unyanyasaji kwa wananchi ndiyo imepelekea wengi kuichukia Serikali hii ya awamu ya chatoInawezekana alifanya reference ya aljzeera......sasa kosa lake nini?