Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa
Saa ukombozi ii karibu, nayo saa ipo yaja, nayo ni Sasa Mungu amefuta machozi ya kilio cha watu wake

Nikatapashokorobobobo

Shindyaraikorobo kotaryabasika papaa papaa rikabababababa

Naomba kila mmoja anene kwa lugha ryaibosindarasiatoba
Shororbasikandoroo bobobobo

Ktk jina La yesu mtu mmoja Sema AMEN
 
Kumekucha...

Ikija kubainika kuwa ni kweli Mkuu alikuwa mdhoofu mtuhumiwa atabadirishiwa mashtaka ama yatabaki kama yalivyo?

Nachelea kusema huyu atashtakiwa Kwa kosa la kuingilia mamlaka ya taasisi bila idhini.
Watamvunja miguu alafu watamtupa mtaroni.
 
Kigai anapanda ranks haraka, last time I checked alikua RCO Kibaha.
 
Hizo sifa zote ni kwa hilo jizi la kura?
Achana na mimi cockroach. Wewe ni kiumbe mfu na usiye kuwa na hoja za kuargue na mtu kama mimi, tulio liona darasa kwa ndani na kupata exposure ya maisha kwenye nchi nyingine pia. Hoja zako za kibongo bongo ni nyepsi sana na hazina mantik. Ni hoja za masikini wa akili. Mtu asiye liona darasa kwa ndani. PERIOD!
 
Kumekucha...

Ikija kubainika kuwa ni kweli Mkuu alikuwa mdhoofu mtuhumiwa atabadirishiwa mashtaka ama yatabaki kama yalivyo?

Nachelea kusema huyu atashtakiwa Kwa kosa la kuingilia mamlaka ya taasisi bila idhini.
Watamuachia wakati kashachakaa!
 
Hii kamata kamati ya hovyo hovyo ndiyo imepelekea watanzania wengi kuwa na chuki na utawala huu wa awamu ya chato
 
Kigogo sii Mange, Kigogo ni Taasisi Haiwezekani Account iwe Online 24 hour, Ukishtuka saa 9 usiku Kigogo yupo online Anytime yupo Online Uje umkamate kiboyaboya hivi wamuulize Kangi Lugola.
Mimi Twitter inagoma nilisahau neno la siri nikasema nifungue acc mpya imegoma
 
Ndani ya hii miaka 6 ya huyu mgonjwa nchi yetu imekuwa ya hovyo kabisa!!
Miaka mitano bila nyongeza za mishahara, wafanyabiashara wengi kufungiwa biashara zao, Account zao, kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi, na mateso mengineyo kibao ikiwemo uchakachuaji kwenye chaguzi zote
 
Huyu jamaa anaitwa sele 0715132277 au 0787132277 ni rafiki mkubwa wa mtukufu anapita pita mitaani anasema tayari mpigie awape ukweli halisi tupate kujua ukweli
 
Back
Top Bottom