Sheria za hii nchi ni za ki se nge sana
Hususani sheria ya mitandaoni ni za ki ma Ku ma ku
 

Ni jizi la kura, na wewe huko ulaya huna lolote la maana zaidi ya kufua nguo za ndani za wazungu fullstop.
 
Badala mseme anauwa ili nchi ianze maombi rasmi ya kumnusuru mnaficha...endeleeni bac
 
Huo uonevu unyanyasaji kwa wananchi ndiyo imepelekea wengi kuichukia Serikali hii ya awamu ya chato
Badala ya kujibu hoja wanakamata watu, kama si kweli si ajitokeze? Mbona simple tu
 
Badala mseme anauwa ili nchi ianze maombi rasmi ya kumnusuru mnaficha...endeleeni bac
Huo uonevu unyanyasaji wa kukamata kamata watu hovyo ndiyo imepelekea wananchi kuichukia Serikali hii ya chato
 
Tatizo lililopo kuna watu mnawachukulia kama miungu fulani hivi kuwa hawawezi kuumwa Wala kufa. Mh Rais mstaafu Kikwete alijijua yeye ni binadamu ambaye anaweza kuuma na anaweza kufa pia. Na ndiyo maana alipoumwa alisema na hata tezi dume alienda kutibiwa kila mtu alijua na ikawa rahisi wananchi kumuombea.
 
Acha kubwabwaja kijana mwenzako tayari ananyea debe!
 
Huyo alikuwa anaumwa na alijitangaza mwenyewe. Huyu haumwi wewe unatangazaje? Umeshamsikia tena Balozi wa Mashoga anatoa updates za India/China? Ameshajua aliingia choo cha kike.
 
Kabla hawajamkamata, namba mojeri angejitokeza kama dakitare wa strateji pale tibisiii kukanusha ingekuwa gudi saner..! Hivi na wale walioandika kwenye gazzete kwamba uboowe naye kapita hivi wamekamatwa au..??? Najaribu kuota kwa loud subwoofer kibabe tuu, Msinimaize wasiojulikana black or white.. Jmoc njema tulipe kodi kwa spidi ya hatareeeee ila ukiokotwa kwenye mtaro kesho asubuhi haituhusu, kapambane na mning'inio..!
 
Maajabu makubwa kabisa haya!

Amesambaza kwa kutumia media gani?

Hakuna weledi hapo. Waliosambaza ni wengine huyo wanamuonea tu ili waonekane wanapiga kazi. Mediocrely done.

Hakika bandiko lako limejaa dharau ya kitoto au kama ya mtu ambaye hakwenda shule.

Tuishi kwa kuheshimu taaluma za watu. Hata pale panapokuwa na makosa yasahihishwe kitaaluma na si vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…